tag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post4828568871177461484..comments2023-04-02T10:53:55.820-07:00Comments on RAY THE GREATEST: DSTV SO MUCH MOREraythegreatest2006http://www.blogger.com/profile/04064118543292146641noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-85000895228956846902012-02-01T03:33:16.178-08:002012-02-01T03:33:16.178-08:00Nimefurahi kweli kuona picha za swahiba wako naomb...Nimefurahi kweli kuona picha za swahiba wako naomba haya mambo muyamalize kiume bana. Wengi tunajua mlikotoka na mafanikio yenu ila wenye chuki wanataka kuwatenganisha tafadhali malizaneni tofauti zenu hatutaki kuwaona kwenye magazeti ya udaki sisi ni wapenzini wenu na tunawapenda saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-24791535550539658822012-01-31T01:05:38.830-08:002012-01-31T01:05:38.830-08:00ray naomba tuelimishe kuhusu kuhusu hicho kibao mu...ray naomba tuelimishe kuhusu kuhusu hicho kibao muhimu kaz yake nini hasa maana nakiona sana kwenye cinema za hollywood, tupe darasa..thank youAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-90319964307864274632012-01-30T08:00:57.288-08:002012-01-30T08:00:57.288-08:00Ray this wats up boy, nimefurahi sana umeweka pich...Ray this wats up boy, nimefurahi sana umeweka picha za swahiba wako, mwenyezi Mungu awazidishie heri.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-10343658610409301552012-01-30T00:27:19.725-08:002012-01-30T00:27:19.725-08:00Dalili njema kuona picha ya kanumba bila shaka ule...Dalili njema kuona picha ya kanumba bila shaka ule ujinga unaelekea kwisha,wanaume hawanuniani.Tonynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-76627229616009374792012-01-30T00:12:43.993-08:002012-01-30T00:12:43.993-08:00Hiyo ni step nzuri namuona kanumba leo kwenye blog...Hiyo ni step nzuri namuona kanumba leo kwenye blog yako, hope mtazika kabisa tofauti zenu mrudi kama zamani, jamani kumbukeni mlipotoka kaka zanguAnonymousnoreply@blogger.com