tag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post911947449345166718..comments2023-04-02T10:53:55.820-07:00Comments on RAY THE GREATEST: HARUSI YA KUPA NA JIMMYraythegreatest2006http://www.blogger.com/profile/04064118543292146641noreply@blogger.comBlogger14125tag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-72742074397914932052013-04-08T12:24:51.981-07:002013-04-08T12:24:51.981-07:00Ray mi nahitaj contacts za cheni nahitaji awe mc k...Ray mi nahitaj contacts za cheni nahitaji awe mc kwenye haruc yangu nitampataje?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-33002326157804881592013-04-08T01:57:08.183-07:002013-04-08T01:57:08.183-07:00hivi hizi harusi zenu zinakuwa na wazazi?hivi hizi harusi zenu zinakuwa na wazazi?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-18419315479012823622013-04-07T10:29:30.630-07:002013-04-07T10:29:30.630-07:00Hao wadada wa bongo movie mh...kwanza wako overwei...Hao wadada wa bongo movie mh...kwanza wako overweight mpaka Irene na Shamsa nao washakuwa vibonge jamani uzazi isiwe sababu, pili kuvaa hawajui yaani aliyejitahidi kujisitiri basi katupia vitupio vya ajabu haya hao wengine sasa nguo mtu inakubana mpaka unaonekana kituko, maziwa nje, make-up kha. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-86448430773447557632013-04-06T19:27:28.716-07:002013-04-06T19:27:28.716-07:00Kuna jambo 1 sio la kawaida au ni macho yangu nime...Kuna jambo 1 sio la kawaida au ni macho yangu nimegundua sherehe za bongo movie zote Aunt Ezekiel hayupo je nyie si mlikuwepo kwenye harusi yake??????? Mbona yeye hashiriki au ndio kusema hamumpi taarifa. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-49551406235988734312013-04-06T19:17:33.287-07:002013-04-06T19:17:33.287-07:00Irene Uwoya karanda weeeee sasa kaamua kurudi kwa ...Irene Uwoya karanda weeeee sasa kaamua kurudi kwa mume katanga weeeee wamemmaliza dunia nzima kachoka kazeeka karudisha makombo kwa Ndikumana. Huyo mwanaume nae anataka afe na Ukimwi tu hana lolote.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-45715298992586366162013-04-04T05:56:26.004-07:002013-04-04T05:56:26.004-07:00SASA MMEINGILIA NYWELE, SI DUKE HIYO AU HAMJUI , H...SASA MMEINGILIA NYWELE, SI DUKE HIYO AU HAMJUI , HAHAHAHAHAHAH!!!!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-14943962415524509562013-04-04T05:55:24.159-07:002013-04-04T05:55:24.159-07:00BINADAMU BWANA HAWANA JEMA. ALIPONENEPA SANA MLISE...BINADAMU BWANA HAWANA JEMA. ALIPONENEPA SANA MLISEMA, KAJIKONDESHA MWASEMA AWEJE MAAN MWATAKA AMUINGILIE MUNGU SASA, JUU ASIWEPO WALA CHINI AKAE KATIKATI ATAWEZA KWELI.... Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-9905553385520497702013-04-03T02:54:09.645-07:002013-04-03T02:54:09.645-07:00Hi Ray,
Mie napenda kuongelea vitu viwili hapa, kw...Hi Ray,<br />Mie napenda kuongelea vitu viwili hapa, kwanza hizi bifu zako na wenzako. Nimesikia ulikuwa na Bifu na Steve Nyerere, hivi wewe una matatizo gani? ulijifanya rafiki na marehemu Kanumba...ukaingia naye bifu kwa vitu vya kitoto sana...hata siku moja marehemu alipokuwa hapa London alisema wewe "una utoto fulani hivi" sasa hupo na bifu na Steve Nyerere na pia msanii mmoja wa kike.<br /><br />Cha pili wewe unajifanya kuwa kiongozi wa kundi la movie, kwenye safari we ni wa kwanza, lakini kwenye matatizo hauonekani. Tumeona Wema Sepetu anavyosaidia wasanii wenzake mfano la Kajala, tumemuona Dr. Cheni anavyoangaika kwenye shida za watu kama Lulu na Kajala, kwangu mimi Dr. Cheni ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wa kiume wa bongo sio wewe na huyo JB mmekazinia sifa na pombe na wanawake kujionyesha tu kwa watu. Wema Sepetu ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wa kike bongo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-2481866666905265342013-04-02T09:54:57.099-07:002013-04-02T09:54:57.099-07:00kwa ukweli ray usipungue tena sana mavazi yako maz...kwa ukweli ray usipungue tena sana mavazi yako mazuri lakini badala ya kuvaa shati la rangi hiyo ungevaa shati la rangi nyeusi ndani ya hiyo suti yako ungetoka chicha sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-52917222240165280342013-04-02T08:18:19.210-07:002013-04-02T08:18:19.210-07:00Jamani hao ma-star wa kike wamenenepa mpaka wamepo...Jamani hao ma-star wa kike wamenenepa mpaka wamepoteza mvuto. Matumbo kama wana mimba. Wengine wamejichubua kama vinyago. YUCK!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-89192615570022398622013-04-02T06:10:12.278-07:002013-04-02T06:10:12.278-07:00Umependeza sana, nimefurahi sana kumuona Irene Uwo...Umependeza sana, nimefurahi sana kumuona Irene Uwoya na shemeji Mungu awajalie ndoa yao idumu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-83859853021205419102013-04-02T00:56:23.434-07:002013-04-02T00:56:23.434-07:00yani umekua BH..wa ukwelii love uyani umekua BH..wa ukwelii love uAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-15027601259774687982013-04-01T18:35:16.070-07:002013-04-01T18:35:16.070-07:00kiukweli ray huna muonekano wakistar nywele zako k...kiukweli ray huna muonekano wakistar nywele zako kama kuku kaloa na mvua pia umekonda sanaaaaaaaaaaa,UNATISHA BANAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-21963290751978692762013-04-01T12:31:14.538-07:002013-04-01T12:31:14.538-07:00hayo ndo mavasi sasa uliovaaaa... sas hiyo introd...hayo ndo mavasi sasa uliovaaaa... sas hiyo introduction...kuoa umebaki ww sio tena uwambie wengineemmanuel matutuhttps://www.blogger.com/profile/11242879462745989304noreply@blogger.com