tag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post4622669011480944709..comments2023-04-02T10:53:55.820-07:00Comments on RAY THE GREATEST: JOHARI NDANI YA BAD LUCKraythegreatest2006http://www.blogger.com/profile/04064118543292146641noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-67091015041728756032013-04-09T12:03:19.472-07:002013-04-09T12:03:19.472-07:00Kaka naomba nikupongeze ila pia nikukosoe. Kwanza ...Kaka naomba nikupongeze ila pia nikukosoe. Kwanza jina la hii movie ni "BUD LUCK" au "BAD LUCK" maana unatuchanganya wadau. Kama vp mimi najitolea kufanya consultation bure pale unapohitaji msaada wa lugha (iwe ni script au publication yoyote)maana kitaalamu kama hata lugha unakosea then hakuna mtu mwenye akili zake timamu atakuchukulia serious, trust me. Pili terminology kama "Dolly" wewe unaiita "Dori" inaonyesha hujui vifaa vinavyotumika kwenye kazi yako, jifunze zaidi na ni vizuri kuvifahamu. Tatu, nimejaribu kuangalia movie nyingi tu za kibongo (sio zako peke yako) nimeona taa mnazielekeza juu tu (light ceiling bouncing)kwenye kila scene. Jamani sio kila scene taa zianatakiwa kuelekea juu kwasababu kila scene in mood yake na taa ndio zinasaidia kutengeneza mood ya scene sasa kama kila mahali ni taa juu tu video inakua flat...Hivi vitu nilivyovitaja hapa havihitaji pesa wala degree, kwahiyo jaribu kurekebisha. Kwa leo naishia hapa! MekuAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/15840559232661182744noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-53945996234984123352013-04-06T19:24:46.275-07:002013-04-06T19:24:46.275-07:00Bhaaaaaasi kama Johari yumo Batuli yumo sasa hapo ...Bhaaaaaasi kama Johari yumo Batuli yumo sasa hapo unategemea nini? Hii balaaa full majanga naingoja ila Jina sijalisoma Bud Lucky nini? Bud ni kiingereza au kihindi? Mr.samsonAnonymousnoreply@blogger.com