tag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post6976718419479891177..comments2023-04-02T10:53:55.820-07:00Comments on RAY THE GREATEST: PRINCIPLES OF WOMANraythegreatest2006http://www.blogger.com/profile/04064118543292146641noreply@blogger.comBlogger16125tag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-67494745213520440772012-09-07T03:22:48.341-07:002012-09-07T03:22:48.341-07:00movie hii nzuri sana ila maadili ya lulu hayafai k...movie hii nzuri sana ila maadili ya lulu hayafai kabisa mwambieni bas kuwa miaka kumi na nane sio kisingizio cha kufanya hayo mambo ila kwa ujumla big up sana ray the greatestAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-33114602191298399682012-06-03T03:34:40.089-07:002012-06-03T03:34:40.089-07:00nikicheki hizi picha na kusoma comments kireflect ...nikicheki hizi picha na kusoma comments kireflect yanayomsibu lulu sasa........ daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!ila Mungu atamsaidia i think she is innocentAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-60487249762028628782012-04-25T07:58:39.104-07:002012-04-25T07:58:39.104-07:00mh hii imeshatoka Ray?! i cant wait to see it baa...mh hii imeshatoka Ray?! i cant wait to see it baada ya tukio la lulu na marehemu kutokea sipati picha watu teh tehAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-17969966825114483432012-04-20T08:35:37.650-07:002012-04-20T08:35:37.650-07:00sana kaka ray upo juu kazi nzuri nakukubali sanaa....sana kaka ray upo juu kazi nzuri nakukubali sanaa.khalidi athumanihttps://www.blogger.com/profile/13122033213652273479noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-4907540443631431972012-04-20T08:33:46.556-07:002012-04-20T08:33:46.556-07:00Sana kaka umefanya kazi nzuri mno i'm your fun...Sana kaka umefanya kazi nzuri mno i'm your fun yani nakukubali sanaaaa..khalidi athumanihttps://www.blogger.com/profile/13122033213652273479noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-57707241643802038932012-03-18T13:03:08.995-07:002012-03-18T13:03:08.995-07:00yakh....i think i'm going to throw up....whats...yakh....i think i'm going to throw up....whats thisAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-73925013679317550452012-03-18T07:23:52.163-07:002012-03-18T07:23:52.163-07:00kwa mtoto uliyemlea kama lulu tangu mdogo leo unac...kwa mtoto uliyemlea kama lulu tangu mdogo leo unacheza naye kama mpenzi haipendezi umweke sehemu nyingine au kwa kuwa sio ndugu yako kuwa na aibu mkuu je ingekuwa mwanao ungecheza nae kama mpenzi kwako kwa sababu tu ana miaka 18Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-77490202705835710502012-03-17T08:10:37.590-07:002012-03-17T08:10:37.590-07:00Ray usihofu hayo unayoyaigiza ndiyo yanayofanyika ...Ray usihofu hayo unayoyaigiza ndiyo yanayofanyika kwenye jamii jibaba kutoka na vitoto vidogo,kumbukeni kazi za sanaa ni kufundisha,kuburudisha,kuonya na kuonyesha mambo yanayoendelea katika jamii zetu,hala hala tu na wewe usije ukafanya kweli.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-11074710308725860502012-03-16T09:36:36.178-07:002012-03-16T09:36:36.178-07:00haya tunasubiri tununue za mtaani bukubuku tunaang...haya tunasubiri tununue za mtaani bukubuku tunaangalia, ikishindikana tutaangalia kwenye banda la video mia tu. heheheh kazi bongo bhana!!!mkorofinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-39612897505511048922012-03-16T02:38:09.136-07:002012-03-16T02:38:09.136-07:00mh, unamsifu Lulu kakua ili umfanyaje? yani inaony...mh, unamsifu Lulu kakua ili umfanyaje? yani inaonyesha kabisa unamtamani loh, kama kuku ulokua unamfuga ili akue umchinje. ungempa scene ya ustaarabu c hivyo. eti anakuita baba. na we unasema mwanangu huku mnabusiana kwa namna hio........loh sio ustaarabu. haribu hao hao kina.........

aibu hata sikusupportAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-72461129868922384402012-03-16T00:43:54.370-07:002012-03-16T00:43:54.370-07:00Nitapenda kuiona hii maana inaonyesha mautamu kiba...Nitapenda kuiona hii maana inaonyesha mautamu kibao tu!sijuhi huko ndani lakini MH!Tuishie hapo na niwapongeze tu!Architectnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-71654958447792127152012-03-13T23:38:50.238-07:002012-03-13T23:38:50.238-07:00sijapeda kabisa jinsi ulivyo act na lulu inamaana ...sijapeda kabisa jinsi ulivyo act na lulu inamaana umeact kua lulu ni mpenzi wako au??? sijakupata kabisa, mmmmh kama umeact lulu ni mpenzi wako basi hayo makubwa na ni bonge la aibu aiseeeemelisanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-67986740484052124002012-03-13T11:42:44.467-07:002012-03-13T11:42:44.467-07:00Ray, kazi nzuri...ila ni Principles of a woman.Ray, kazi nzuri...ila ni Principles of a woman.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-81126558235297975142012-03-13T00:06:46.936-07:002012-03-13T00:06:46.936-07:00jamani Lulu ana 18 nakubali lakini jamani Ray hako...jamani Lulu ana 18 nakubali lakini jamani Ray hako katoto umekaona toka kadogo leo hii unakakumbatia ivo hushtuki???? jamani nasikia woga dah!!!!!! anyway na miaka inaenda watu wanakua na kazi ndo hizi za mkate wa kila siku. nipo nje ya Bongo km kawa ntapambana mkp niipate hii moveAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-21969228939521853532012-03-12T21:56:24.054-07:002012-03-12T21:56:24.054-07:00kaka mmi napenda sana sanaa ila sijabahatika kutok...kaka mmi napenda sana sanaa ila sijabahatika kutoka tafadhali nipe kampani pleaseAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-983198158107670106.post-2419860143413537832012-03-12T15:08:12.740-07:002012-03-12T15:08:12.740-07:00Mkuu Ray upo juu.Hongera sana kwa maendeleo hayo. ...Mkuu Ray upo juu.Hongera sana kwa maendeleo hayo. Baadhi ya wa Tanzania huponda sana kazi zenu lkn hakuna kukata tamaa.Hayo madongo yao yachukulieni kama Challenges.

Dismas Hiza
Administrator(www.tulonge.com)
0713 520 629Anonymousnoreply@blogger.com