Friday, October 4, 2013

RJ PRODUCTION IKIWA NDANI YA JIJI LA ARUSHA

 Huu ndio mwanzo wa safari ya Rj Production kuelekea Jiji Arusha kwa ajili ya kwenda kufanya shooting ya Filamu yao mpya ya V.I.P . Kwenye filamu hii kuna wasanii tofauti na wale ambao wameshazoeleka kila siku  ni hao hao tu. Rj imeamua kuja na ujio mpya na tofauti kabisa...

 Said Mangushi (Cameraman)  


 Sam Shoo(wa kwanza kushoto) lightman wa Rj Company akiwa na Transport manager Salum mpingo..

 Mandela J. Ongati(Editor wa Rj Company)


 Safari ikiendelea..

 Production manager Severyn Mbawa akiwa na mmoja ya wasanii waliocheza kwenye filamu hii Hamisa Mabeto(Alice)..


 Water na Shasha


No comments: