Tuesday, October 2, 2012

FIESTA YA MBEYA

Bongo Movie walivamia jiji la Mbeya na kufunika mbaya katika tamasha kubwa la Fiesta linalofanyika mara moja kwa mwaka, hapa tukiwa njiani kuelekea Mbeya

Tukiwa tumefika Mbeya The Greatest nikiwa niko bize na Bbm

Tukapata sehemu ya kupumzika na kuziandaa pamba kwa ajili ya show ya usiku..

The Greatest na Auntie tukiwa ndani ya ukumbi mkubwa Mbeya wa The Vibes tukisubiri msosi..

 Tukipata chakula kitamu.

 Auntie Ezekiel akiwa na Wema naPetiman ndani ya Mbeya..


 Quack Racka mwanamuziki wa kizazi kipya.

 Shilole na Jonson


 Tin Daddy.

 Shilole na Wema.

Ulifika muda wa kusaka vipaji vipya vya uigizaji mjini Mbeya na tulifanikiwa kupata watu wawili tu na wote ni wa kiume..

 Ratiba zikiendelea...

 Tuliweza kupata bahati ya kumtembelea mheshimiwa  Mbunge Joseph Mbilinyi. Tuliweza kubadilishana naye mwazo mawili matatu.

 Mheshimiwa mbunge wa Mbeya mjini akiwa na Maua ya Bongo Movie.

 Johnson na Mr II

 Severyn na Mr II

Tukipata Picha ya pamoja na Mbunge wa Mbeya.

Thursday, September 6, 2012

BONGO MOVIE YAFUNIKA SERENGETI FIESTA

 Kama kawaida ya Bongo Movie inapokuwa kwenye show mbalimbali ufanya mambo makubwa sana. safari hii Bongo Movie wamepata dili ya kuzunguka kwenye Fiesta mikoa yote kwa kweli imeleta picha mpya kabisa ya Fiesta show ya kwanza kabisa ilianzia Moshi, Samahani sana wadau ya blog hii kwa kuwa nilikuwa kimya kwa muda mrefu sana kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu lkn kuanzia sasa mambo kama kawaida maburudani ya kutosha karibuni tuone mambo yalivyokuwa...

Bongo Movie tukielekea kuhojiwa machache na waandishi wa habari, mbali na Serengeti Fiesta pia tulifanya kazi ya kutafuta vipaji vipya vya Bongo Movie na watu walijitokeza kwa wingi sana..

Aunt Ezekiel akiwa na The Power katikati na Wema Sepetu kwenye poziii.

The Greatest nikihojiwa machache na Millard Ayo kuhusu fiesta Moshi.

Tukijadili machache.

The Power akihojiwa.

Wema Sepetu.

Aunt Ezekiel akiongea machache.

Tukielekea kwenye viwanja vya Fiesta.

Wema kwenye pozi na mkoko wake.

Tukiwasili kwenye fiesta.

Mambo yakiendelea ndani ya mjini Moshi kwa kweli shoo ilibamba sana Hongera Clouds Fm kwa kuandaa matasha yenye kiwango..

Bata likiendelea.

Fataki zikipigwa juu kama ishara ya show kuzinduliwa rasmi.

Prezoo akiwa kwenye pozi na Wema Sepetu.

Ferooz akiwa na ............

Shetta.

Wachaa weee jinome mama.......

Mwana FA wa kwanza kulia na Prezooo mwanamuziki toka Kenya ambaye aliwakilisha nchi yake kwenye shindano la BBA

Bob Junio a.k.a Mr Chocolate ndani ya Fiesta Moshi.
Vijana wa THT wakiwa kwenye maandalizi.

Steve Nyerere (The Power).

 The Greatest nikiwa na vijana wangu.

Aunt na Wema.

 Goz B na KingZilla.

 Ulifika wakati wa Bongo Movie kufanya kazi yao bila kukosea.Washabiki walishangalia  sana baada ya kutuona on the stage nikiongoza jahazi la Bongo Movie.

 The Greatest nikiwa na Wema, akionge machache.

 Wema akitoa show kali.

 Show ikiendelea.

Kama kawaida yangu kufunika nashukuru sana mashabiki wangu kwa kunipa support on the stage.

The Power kamua ndugu yangu.........

 Mwenyekiti wa Bongo Movie  JB akitoa show kali.

 Baba na Watoto wake on the steg.

 Shetta.

 Linah.

 Mwana FA.

Prezoo akiwa kwenye maandalizi..

Makamuzi yakiendelea.