Tuesday, October 2, 2012

FIESTA YA MBEYA

Bongo Movie walivamia jiji la Mbeya na kufunika mbaya katika tamasha kubwa la Fiesta linalofanyika mara moja kwa mwaka, hapa tukiwa njiani kuelekea Mbeya

Tukiwa tumefika Mbeya The Greatest nikiwa niko bize na Bbm

Tukapata sehemu ya kupumzika na kuziandaa pamba kwa ajili ya show ya usiku..

The Greatest na Auntie tukiwa ndani ya ukumbi mkubwa Mbeya wa The Vibes tukisubiri msosi..

 Tukipata chakula kitamu.

 Auntie Ezekiel akiwa na Wema naPetiman ndani ya Mbeya..


 Quack Racka mwanamuziki wa kizazi kipya.

 Shilole na Jonson


 Tin Daddy.

 Shilole na Wema.

Ulifika muda wa kusaka vipaji vipya vya uigizaji mjini Mbeya na tulifanikiwa kupata watu wawili tu na wote ni wa kiume..

 Ratiba zikiendelea...

 Tuliweza kupata bahati ya kumtembelea mheshimiwa  Mbunge Joseph Mbilinyi. Tuliweza kubadilishana naye mwazo mawili matatu.

 Mheshimiwa mbunge wa Mbeya mjini akiwa na Maua ya Bongo Movie.

 Johnson na Mr II

 Severyn na Mr II

Tukipata Picha ya pamoja na Mbunge wa Mbeya.

No comments: