Tuesday, October 2, 2012

BAADA YA PRINCIPELS OF WOMAN SASA NI WAKATI WA SISTER MARRY

Baaada ya sinema ya Woman of Principels kufanya vizuri sokoni sasa ni wakati wa sinema bora kuingia mtaani jina ni Sister Marry ni sinemma yenye story ya kipekee sana kama kawaida ya kampuni yako RJ Company kufanya kazi yenye kiwango cha hali ya juu lini mzigo huu unatoka nitawataalifu kupitia blog yenu hii ya Ray The Greatest..

Madada wamependeza sana na nguo za kisista kwanini wasiingie moja kwa moja kwenye utawa huo ni ushauri wa bure tu au wadau mnasemaje?

 Hiki ni kimoja ya kifaa ambacho nakitumia sana .....

 Vijana wakiwa kazini wakikabiliana na majukumu yao


 Sister Beata(Johari) akiwa on set

 Tukielezeana machache kabla ya kuingia on set.

 Kijana wangu Dura  akiwa on set..

Vijana wakipiga mzigo kwa umakini mkubwa sana.

 Sister Mkuu akitoa mafunzo ya Utawa kwa masister.

Kila mtu yuko makini kuhakikisha kuwa mambo yanenda sawa na ndio siri ya kampuni ya RJ kufanya vizuri na wala si uchawi wadu ni jitihada tu

Kila penye nia pana njia kazi ndio mafanikio ya mtu hata vitabu vya dini vinasema kuwa asiye fanya kazi  na asile.

 The Greatest nikiakikisha picha.

 Mambo yakiendelea kupamba moto.

 Tukifanya setting ya picha.

 Nikiwa makini na kazi yangu.

Huu mzigo si mchezo subirini kwa hamu sana mara nyingi huwa sikosei kwenye kazi zangu ni sinema niliyotumia hela nyingi sana mpaka kuona hivi watu walivyo....

16 comments:

Anonymous said...

hongera..kwa kazi..
lakini kwa nn watu wanakuchukia naomba unisaidie.. maana hata global wanatangaza movie hii kwenywe magazeti lakini kwa kudhihaki...pili jana eatv.. watu wamekushambulia kuwa umekop movi ya ndoa yangu wakati movi zote zimetengenezwa wakati mmoja na tatizo lilikuwa kwa script writer.yakuti...watu wanatoa maneno mengi hutomfikia STEVE mpaka unadedi inaniuma ga sana..pole sana
emmer

Anonymous said...

inabidi ujitahidi uhamie kimataifa..international plz..kigosi..

Anonymous said...

kaka hongera sana me si mpenzi sana wa filamu zenu za kibongo likini kwa hapa umenipata napenda dini nitainunua tu hii

Anonymous said...

Ray nawe acha kucopy na kupaste duuu! Suprice umecopy fom Nigeria, nahii tena hukohuko loooo haipendezi kuwa mbunifu, mpaka nammicc the great

BQ said...

mh Ray umenistua na hy sister Marry isije ikawa kama ile ya Nigeria maana nayo inaitwa hivyo hivyo na huyo sister alikuja kupatwa na makubwa sana si bora ungeita jina jingine isije ikawa ume copy na kupaste kaka

Anonymous said...

Ninavyofahamu mimi jina hilo huandikwa MARY na si MARRY kama ulivyoandika. Ni ushauri tu. Nawasilisha.

Anonymous said...

oh!

Anonymous said...

Mmezoea kuigiza ukristo vibaya na kukebei dini ili kujiingizia kipato ila mjue mwisho wenu ni karibu

Anonymous said...

KAKA CHEKI SPELLING ZA PRINCIPLE C DHAN KAMA ZIKO SAHIHI

Anonymous said...

Hey buddy mwili huo jamani sio kabisa....you have to look sexy kaka hivi unafikiri saa nyingine mtu unaangalia filamu unakuwa unasukumwa na vitu vingi ikiwamo waigizaji...swags zao nini eh unaona, inabidi uliteke soko lote sister du, wamama, watoto, brother men, wakaka wa kawaida n.k. Waangalie Ghana wako juu maana waigizaji watamuuuuu yaani kuwaangalia tu raha, si wakaka wala wadada yaani wamewekeza kweli kuanzia miili yao , pamba na kila kitu....Ni hayo tu kwa leo

Anonymous said...

next movie tuigizie za msikitini pia,then budha nk

Anonymous said...

sio kosa lako, kaka hao unapendekeza wawe watawa kweli umekosea njia, watawa hatuminywi ovyo kwanza umetudhalilisha sana kwa kuwavisha watu nguo za kitawa na misalaba while wakitoka hapo stand ya kwanza ni guest kwenda kuminyana...
ila acha copy n paste kaka, surprise yaleyale ukatofautisha mjenzi na mziba puncher, kwa hiyo hilo tu ndio uliona la maana kubadirisha, tutaona na hiyo sister mary umebadirisha nini japo sitanunua ila nitavizia kwa wajinga watakaonunua, ambao wana hela za kuchezea..

Debra

Anonymous said...

Wabongo hatujui kusfia kitu,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.mm napemda sana movie zako zina ,mafundisho sana.
Hao wanaokuponda watoe za kwao bac tuzione.
Big up kaka

Anonymous said...

kaka unatisha mimi nakukubali sana achana na watu wanopiga palacha palacha kama vp wakaect wao achna nao mi ni mmja kati ya wafuasi wako imara na ninakukubali in all ways wish u succecs and be strong for hypocryt.

Anonymous said...

Angalia spelling kabla ya ku-post bro.Otherwise keep it up.

Ramsey Com said...

broo hongera kwa kaz but nmependa ulivyotokelezea pale unapoungamisha. duu kama kweli vile au broo uingi kule nin?