Tuesday, May 28, 2013

HAPPY BIRTHDAY VINCENT KIGOSI

Ilikuwa ni sherehe ya kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa katika maeneo fulani katikati ya jiji.Ni siku ambayo nilisheherekea na ndugu zangu wa karibu na wasanii wenzangu.Ni siku ambayo nimekumbuka mambo mengi sana katika maisha yangu,mara nyingi swahiba wangu marehemu kanumba huwa nakuwaga naye katika sherehe kama hii,lakin ndio mambo ya mungu huwezi kulaumu,kilichobaki ni kumuombea mwenyezi mungu ampumzishe kwa amani Amen.

Odama na Maya.


Nachelewaa....Samahanini!

The Greatest nikiwa Odama kwenye pozi..

Shamsa Ford na Mayasa.

Odama na Recheal Saguda.

Nyerere na Hashimu pia walikuwepo siku hiyo.

Mambo yakiendelea kupamba moto..

Kijana wangu Salum Mpingo(Transport Manager wa RJ).

Mamo kama haya utokeaga mara moja kwa mwaka ndio huwa watu wanafanya Sherehe

JB akiwasili.

Inno Bachard mdau wa RJ akiwa ndio anawasili.

Happy Birthday.


Nikiteta jambo na Jb...Muda wa kupakana keki ulifika.


Hatari sana Wadau..

JB akifungua shampeni
The Greatest na Mdau namba moja wa kampuni ya RJ Inno Burchad.

Mandela na Chopa

Gambe time, wadau hivyo ndio mambo yalivyokuwa 

3 comments:

Mwanaisha.zunda@gmail.com said...

Ray hongera sana ila usiendelee kupungua tena

Anonymous said...

Kaka ray umetususa sana kwenye blog yako. Umetutenga sie wenye simu za nokia torch hatuna instagram naona unamaliza kila kitu huko. jaribu kuipa uhai blog yako kaka we love you.

Anonymous said...

Mungu akuongezee miaka mingine mingi zaidi