Saturday, May 4, 2013

RJ YALETA VIFAA VIPYA

Katika kuhakikisha kwamba ubora wa filamu Nchini Tanzania unazidi kukua kampuni ya RJ Company imeshusha vifaa vingine vya kisasa ili kuzidi kuongeza ubora wa kazi katika kampuni yetu ya RJ Company kama kawaida slogan yake inavyosema BEST QUALITY EVER kwa hiyo wadau wa tasnia hii mtegemee mazuri toka katika kampuni yako bora ya RJ Company..

Hapa tukianza kuifunga Camera mpya ya kisasa..

Tukiwa makini katika swala zima la ufunguji wa Camera.

Kijana wangu Razack Ford akiwa makini katika kuifunga Camera hiyo...

Boom Mic ya kisasa kama mnavyoona wadau mambo yatakuwa sio mchezo..

Hapa mambo yakiwa yamekamilika wadau

Camera


23 comments:

Anonymous said...

Hongera sana dogo hayo ndiyo maendeleo, kaza buti sasa elekeza nguvu ktk utungaji wa story nzuri.


Shabiki wa Ubungo

Anonymous said...

Hongerasana kwa kazi nzuri unayoifanya Mr Ray.. Unaonyesha bidd kubwa katika kazi zako, nakupa pongezi kwa hilo..

Samahani sio kama nakukosoa, najaribu tu kurekebisha, unaposema kampuni ya RJ Company unakuwa unakosea, either sema kampuni ya RJ au RJ Company.

Nakutakia kazi njema kaka yangu,

Big Up

Mdau Anonyyyy

Anonymous said...

Hongera sana

Anonymous said...

msaanii usiyekuwa na vision kazi kununu vifaa vipya,,,...
story zako soft unaedit edit too za nigeria ndo maana marehem tayari lakini kwenye tuzo bado anakuangashi....
YANI WW BADO SANA.....
NAKUKALI NYWELI NADHANI KANUMBA ANGEKUWE ANGEACHA KUKALI NDO UNGEACHA MAANA WEWE KWA KUIGA NDO UNAJUA BASI TENA BABA KUIGA

Anonymous said...

Hongera sana. Mungu awatangulie mbele naomba kuuliza nikiingia mitandaoni kuna habari naisoma lakini sijaielewa n Rayi kweli umezaa na Batuli?

Anonymous said...

Tuwekee picha ya mwanao halafu utueleze watanzania kwanini ulificha kama una mtoto. Hakikisha sababu utakazotoa ziwe za msingi. Wewe ni kioo cha jamii ni aibu kuficha baraka kama hiyo. Mwanaume kuwa na mtoto au watoto ni civil kubwa sana.

Anonymous said...

upo juu!

Anonymous said...

Hauna mpinzani big up to all rj members. Haya bwana ray huyu mtoto kwenye mitandao ni wako kweli tupe plain fans wako? Pamona ya kwamba tunaona kafanana na weee kwa kila kitu ukituweka wazi tutapata majibu na kama wako hongera yule msanii uliyezaa nae mzuri jamani

Anonymous said...

Hello Mr ray a.k.a the greatest naomba utuondolee mabishano nipo na washkaji mlimani city tukamuona Batuli na kid mmoja hivi ni handsome he is around 6 yr. Washkaji wakapoint this kid is yours tell us the truth man.

Anonymous said...

Morning bwana Kigosi nimepita kwenye mtandao starsbongo nimeona jambo limenisurprise wameweka picha yako katikati mtoto wako na babymama wako batuli. Frankly speaking tumeshangaa ofisi nzima kumbe una mtoto? Kwanini unahide sasa? Jambo jema kama hilo fans wako tunapaswa kujua Kanumba mwenzio hana alichoacha cha maana sasa wewe mungu kakupa zawadi kwanini hujawahi kuweka wazi? Kwanza wewe na mwanao ni kama mapacha yaani dada hakutoka nje kabisa ni copy and paste anywy let me say something CONGRATULATIONS SANA. Tunasubiri tuone picha ukiwa umebeba mwanao na mama yake pembeni proud to be a FATHER. Karibu sana PSI floor ya 2 ofisi ya bodi ya utalii my name is Mr,Geofrey una mashabiki wako wengi sana hapa $ hellena#flora #daudi #jackline na wengine wengi. Salamu kwa mtoto na babymama wako.

Anonymous said...

Rj company mpo juu maisha ni hatua msichoke bado hatujafika level za kimataifa we need more power kwenye industry hii ua film. I'm Flora Nyalandu I live in America 《Dallas》 nimejaribu kufiatilia updates za movie zetu kupitia blogs mbalimbali za hapo Tanzania. In short tunawajua mastar wetu wa nyumbani kupitia blogs and news paper wanazoweka kwa mfano kwenye blog ya Millard Ayo tunapata news paper zote za kila siku and kupitia magazeti pia magazeti yenyewe wana blog zao zinatupa updates huku it is very nice kuona Tanzania wasanii wa film wanatamba sana kwenye media na hata tukiingia YouTube nako tunaona movie ingawa zinakuwa za muda. Mr Vincent Kigosi kupitia blog tunaomba mtuuzie film mpya kupitia mitandao mtaongeza kipato na mtatangaza kazi kwa umbali zaidi. Binafsi mm ni shabiki wa Ray, jb and baba haji.kwa kina dada nampenda Rose Ndauka ingawa kwangu no 1 ni Batuli. Mwezi ujao nakuja Tanzania nitafika ofisini kwako nitaomba niletwe ili tushikane mkono katika kukuza kazi zetu. Baada ya machache please explain to me about your son. Kwanza nimefurahi kuzaa na star nimpendae. We need your explanation na talk to Batuli nae atoe explanation juu ya hili. Kazi njema na afya njema kwenu wote.

Anonymous said...

hongera sana Ray the Greatest

Anonymous said...

hongera sana Ray the Greatest

Quavo alimasi said...

congratulation guys!!!

Anonymous said...

Happy birthday brother kaka. Sherehe wapi leo? Tunasubiri kuona familia yako rasmi

Anonymous said...

I enjoy what you guys tend to be up too. This kind
of clever work and coverage! Keep up the amazing works
guys I've incorporated you guys to my personal blogroll.

Feel free to surf to my website :: home-page

Anonymous said...

Hi namuona mzazi mwenzio /batuli\ twanga hapa kapendeza balaa

Anonymous said...

Kila niliamka asubuhi nafungua blog yako nakuta patupu acha uvivu wewe au ndio unalea mtoto wako? Haya fungua blog www.swahiliworld.com nimekuta latest za mtoto wako. Rehema

Anonymous said...

Twisted inatoka lini mbona miyeyusho,
Tangu kanumba amefariki umepotea kabisa kwenye game.

Anonymous said...

It great bro. Careful with satanism my guy, always call jesus to be you. Yeye anaitwa muweza yote.
Maisha bila Yesu ni bure,hata uwe na sifa namna gani kama hauna yeye ni bure. Kanumba amevuma lakini leo inakuwa tu story

Anonymous said...

I like hii blog ina news nzuri za filamu za kiswahili, soma sakata la Ray akidaiwa kuzaa na batuli
http://swahiliworldplanet.blogspot.com/2013/05/batuli-afunguka-kuhusu-baba-wa-mtoto.html

Anonymous said...

hongera sana kaka ray. uko juu nakukubali.

Anonymous said...

Hongera The Greatest