Tuesday, April 9, 2013

HAPPY BIRTHDAY DAYNESS

 Mdau wa Bongo Movie Daynes jana ilikuwa BirthDay yake iliyofanyika katika Pub ya Benny Kinyaia tuche mambo yalivyokuwa...

 Huyu ndiye Daynes  hongera mtoto kwa kuzaliwa upya..

 Mc Ben Kinyaiya.

 Odama na mpiga picha maarufu wa blog ya Odama jina kapuni..

 Saguda na Recho.

 Daynes pamoja na mdogo wake .

 Mwanamuziki wa band maarufu jijini Twanga pepeta naye alikuwepo kumpa sapoti mdogo wake Dada Daynes.

 Mambo yakiendelea wadau wangu..

 Ben Kinyaiya kwa keki wewe ni noma kweli haya bana hongera zako kijana wangu kwa kubugia keki.

 Weweeeeeeee.

 Maswahiba haooooo

ulifika muda wa mwnamuziki wa Twanga Pepeta James Kibosho kula keki.

Picha ya pamoja.

10 comments:

Anonymous said...

hbr huwa sikomenti bt leo nimeamua kukomenti ni hivi vipodozi vinapozidi vinazeesha waugwana jmn muwe mnaacha siku nyingine kupaka hayo malotion yenu hayo kwanza yanaonekana siyo ya kusoftisha tu yanachubua pia mnaonekana vibaya kwakweli hampenzi hata jmn jitahidini kuwa natural wakati mwingine mwee na wachache sna mnaojua na kujipaka make up wengine ndo hivyo hivyo tu bora liende .

emmanuel matutu said...

sorry broo don't post this comment.....!!
coz doesn't relate with the post

hii inahusu scene za kugomba au kufoka au kukasirika katk movie zako

iana zote hizi huwa huwa unazicheza kwa stail moja ya kupayuka sana kwa asilimia 80...

try to change unaweza ukakutana na scene kama hizo na script yake inasupport the same thing (kupaza sauti) sometime its better even to modify da scene and script inorder to increase creativity....

creativity ni kitu muhimu sana..mfano....ile why, why....(BIG DADY)
verrrrii very simple ( VILLAGE PASTOR)
zoote hizi za KANUMBA...

Kwa upande wako....ngazi kwa ngazi, pumbavuuuuuu..ya kwanza ilivutia sana ulipoirudia movie
iliyofwataaa haikupendeza kabisa

inapendeza sana hatu ikiwa kwenye majukwa inaitumia..

kaka mm nipo bega kwa bega na kusoma na vitabu ilimradi ww uendelee kuwa role modal sio kila mtu akiulizwa JB,KANUMBA..this is enough man,,,, me i believe in you hata kama sitopata nafasi ya kufanya kazi na ww....
JAPO HAO WATU NILIOWATAJA HAPO NAWAHESHIMU NA NAWAELEWA KUWA NIWACHAPAKAZI HASWAAAAA


DONT POST THIS MAN....hii ni yangu na wewe...

emmanuel matutu said...

hbdy daynes.......!!!!!!

emmanuel matutu said...

john dumello

emmanuel matutu said...

huyo jamaa anapata mialiko na council na n.g.o nyingi sana marekani kama ww unavyopta events za hapa bongo....JOHN DUMELLLO GHANANIAN ACTOR

Anonymous said...

kaka tafuta bstory nzuri acha ujinga .. tangaza filamu za tanzania kimataifaaaaaa sio kusema utaleta wasanii waili wakubwa toka ghana na nigeriaaa au sijui kucheza sinema china wala kusaida wasnii wadogo asilimia 80...TAFUTA STORY NZURI

Anonymous said...

TAFUTA STORY NZURI
ULIVYOOENDA JUZI LEADERS CLB ULIONA MASHABIKI WENGI WAKO NI MATAJIRI SANA UMESHAPUNGIUZA MWILI TAFUTA STORY NZURI ACHA UJINGA

Anonymous said...

TAFUTA STORY NZURI ACHA UJINGA
WEWE CHEZA FILAMU USIJE UKAINGIA KWENYE SIASA MAANA HUTOPATA KURA NA WALA UKADIZAINI CLOTHLINE MAANA HAZITANUNULIWA JIKITE KWENYE MOVIEE

Anonymous said...

pole na kazi kakaangu ray, nilisikitika sana kuona mapadri wamekupiga sana mkwara na ile filamu yko ya sister marry, ila ukweli ni kwamba pamoja n kua walijitutumua ila hayo mambo yapo na wanayafanya, mungu si athumani ameonyesha ukweli wake, soma magazeti ya leo global publishers, mie niko bk,endelea kulisongesha gurudumu usiogope vitisho.

Anonymous said...

Ӏt iѕ in rеality a nіce and
useful piеce оf info. I'm glad that you simply shared this helpful info with us. Please stay us informed like this. Thank you for sharing.

Also visit my web site: party pills cheap