Monday, April 1, 2013

HARUSI YA KUPA NA JIMMY

Kama kawaida ya Bongo Movie Unit umoja ni nguvu utengano ni dhaifu, jumamosi iliyopita zilifanyika harusi za kufa mtu wadogo zetu Idrisa Makupa( Kupa) na Jimmy Mafufu( Kapten) walifunga Ndoa kwa pamoja nawapa hongera sana vijana wangu maana kitendo walichokifanya ni kitendo kikubwa sana, haya vijana wengine muige huo mfano muoe ili mmtoke kwenye ukapera ilo ndio wazo la leo embu tuone mambo yalivyokuwa.....

 Dr Cheni alikuwa MC katika sherehe hiyo.

 The Greatest nikiwa na Juma Chikoka(Chopa)


 Masudi Bitebo wa kushoto akiwa na mdau wa RJ COMPANY Inno Bachard.

 Shamsa Ford na Dick hawa ni wachumba tunategemea ndoa yenu soon ..

Shemeji yetu kwa Wiliam Mtitu..

 Faridi Uwezo Camera Man wangu akiwa kwenye pozi.

 Rashid Mrutu ni kijana wangu anayejituma sana kwenye kazi huyu ni Camera Man wa Movie hapa Nchini Tanzania pia naye alikuwepo kwenye harusi za vijana wetu..

 Jack Wolper.

 Odama..

 Lamata  mwandada pekee anayefanya kazi ya uongozaji wa sinema hapa Tanzania yani Director kwa lugha ya kigeni hongera dada yangu fanya kazi hio ni siri kubwa ya mafanikio kwa vijana..

 Barafu(Rick Ross) wa bongo..

 Mariam Ismail(Omotora)

 Mery Mawigi mwanadada wa Bongo Movie Unit..

Hawa ni Madj wa Doctor Cheni walituburudisha sana kwenye harusi ya vijana wetu..

 William Mtitu akiwa na Mkewe.

 Juma Chikoka..

 The Greatest nikilonga machache na ndugu yangu JB.

 Saguda Geogre..

 The Greatest nikiwa na Shemeji yangu Ndikumana Mume wa Irene Uwoya na Mama Loraa


Shangwe wadau..

Picha ya pamoja..

Mauma wa kulia Mwenyekiti wa kamati ya harusi hii akiwa na Juma Chikoka msanii wa filamu Tanzania..

 Mambo yakiendelea..

Dada Devota na  Mayasa Mrisho, hawa walifanya kazi kubwa sana katika harusi hii hongereni sana madada zangu..

The Greatest na Shamsa Ford..

 Nikiwa na wadau wangu wa RJ,

 Snura na Vivian..

The Greatest na Shemeji yangu Dick kwa Shamsa Ford..

 Cathy Rupia...

Odama na Rechel Saguda..

Watu wakipiga sebene la kufa mtu..

Hapa nikiwa mchezaji mkubwa sana wa timu ya Yanga anaitwa Haruna Nyozima toka Rwanda..

 Mwenyekiti wa kamati ya harusi(Mauma) na Mtitu William.

Picha ya kumbukumbu..

 Tukiteta jambo na ndugu yangu Nyozima..

 Yusuph Kisoki..

 Ulifika muda wa kuvalishana pete..


 Ndoa ni tamu jamani..

Kupa naye ulifika muda wake wa kumvisha pete Mkewe..

Hongera Kupa.

Baba mlezi wa Jimmy Mafufu..

 Mama na wanaee.

 Nisha Lady Gaga wa Bongo..

Vijana wa vibega Makomandoo walifanya shoo ya kufa mtu..

Hatari sana ilikuwa wadau  wangu ni shangwe kwenda mbele..


 Wacha weeee Saguda Goerge kwa rahaaaa zako.

 Chopa na Devota.

 Wamependeza sana maharusi wetu jamani hapa sasa wakitufungulia burudani ya muziki

Ulifika muda wa kutoa shoo kali sana toka kwa wasanii wa Bongo Movie Unit..

 Single Mtambalike mwanaume mauno babu weeee

 Juma Chikoka akifanya mambo yake..

 Steve Nyerere The Power..

Safi sana..

 Nikiwa na vijana wangu.

Wacha weeeeeeeeeee.

Irene Uwoya na Mumewe Ndikumana..

Jack Wolper akicheza na Bibi ..

Bongo Movie Unit..

Ndugu zangu.

 Vijana wangu wa RJ

Mambo yalikwisha na watu kutawanyika..

 Jamani rahaaaaa.
14 comments:

emmanuel matutu said...

hayo ndo mavasi sasa uliovaaaa... sas hiyo introduction...kuoa umebaki ww sio tena uwambie wengine

Anonymous said...

kiukweli ray huna muonekano wakistar nywele zako kama kuku kaloa na mvua pia umekonda sanaaaaaaaaaaa,UNATISHA BANA

Anonymous said...

yani umekua BH..wa ukwelii love u

Anonymous said...

Umependeza sana, nimefurahi sana kumuona Irene Uwoya na shemeji Mungu awajalie ndoa yao idumu.

Anonymous said...

Jamani hao ma-star wa kike wamenenepa mpaka wamepoteza mvuto. Matumbo kama wana mimba. Wengine wamejichubua kama vinyago. YUCK!

Anonymous said...

kwa ukweli ray usipungue tena sana mavazi yako mazuri lakini badala ya kuvaa shati la rangi hiyo ungevaa shati la rangi nyeusi ndani ya hiyo suti yako ungetoka chicha sana

Anonymous said...

Hi Ray,
Mie napenda kuongelea vitu viwili hapa, kwanza hizi bifu zako na wenzako. Nimesikia ulikuwa na Bifu na Steve Nyerere, hivi wewe una matatizo gani? ulijifanya rafiki na marehemu Kanumba...ukaingia naye bifu kwa vitu vya kitoto sana...hata siku moja marehemu alipokuwa hapa London alisema wewe "una utoto fulani hivi" sasa hupo na bifu na Steve Nyerere na pia msanii mmoja wa kike.

Cha pili wewe unajifanya kuwa kiongozi wa kundi la movie, kwenye safari we ni wa kwanza, lakini kwenye matatizo hauonekani. Tumeona Wema Sepetu anavyosaidia wasanii wenzake mfano la Kajala, tumemuona Dr. Cheni anavyoangaika kwenye shida za watu kama Lulu na Kajala, kwangu mimi Dr. Cheni ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wa kiume wa bongo sio wewe na huyo JB mmekazinia sifa na pombe na wanawake kujionyesha tu kwa watu. Wema Sepetu ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wa kike bongo.

Anonymous said...

BINADAMU BWANA HAWANA JEMA. ALIPONENEPA SANA MLISEMA, KAJIKONDESHA MWASEMA AWEJE MAAN MWATAKA AMUINGILIE MUNGU SASA, JUU ASIWEPO WALA CHINI AKAE KATIKATI ATAWEZA KWELI....

Anonymous said...

SASA MMEINGILIA NYWELE, SI DUKE HIYO AU HAMJUI , HAHAHAHAHAHAH!!!!!!!!

Anonymous said...

Irene Uwoya karanda weeeee sasa kaamua kurudi kwa mume katanga weeeee wamemmaliza dunia nzima kachoka kazeeka karudisha makombo kwa Ndikumana. Huyo mwanaume nae anataka afe na Ukimwi tu hana lolote.

Anonymous said...

Kuna jambo 1 sio la kawaida au ni macho yangu nimegundua sherehe za bongo movie zote Aunt Ezekiel hayupo je nyie si mlikuwepo kwenye harusi yake??????? Mbona yeye hashiriki au ndio kusema hamumpi taarifa.

Anonymous said...

Hao wadada wa bongo movie mh...kwanza wako overweight mpaka Irene na Shamsa nao washakuwa vibonge jamani uzazi isiwe sababu, pili kuvaa hawajui yaani aliyejitahidi kujisitiri basi katupia vitupio vya ajabu haya hao wengine sasa nguo mtu inakubana mpaka unaonekana kituko, maziwa nje, make-up kha.

Anonymous said...

hivi hizi harusi zenu zinakuwa na wazazi?

Anonymous said...

Ray mi nahitaj contacts za cheni nahitaji awe mc kwenye haruc yangu nitampataje?