Thursday, March 28, 2013

TWISTED

Cover la Twiste ndio litakuwa na muenekano huo wadau wa filamu Tanzania.

6 comments:

emmanuel matutu said...

kaka ww ni msanii bora zaidi tanzania but unamisi kitu kimoja story zinazocheza na hisia za watu
kwa mfano story ambazo nazizungumzia hapa ni kama ile ya
cold wind, fake pastor,opprah,shakira,dengerous desire. yaan watu wanakuchukulia kuwa unacheza movies za ushuani wanataka wakuone katika scene maisha magumu au majonzi sana mara ya mwisho mm kukuona unalia kwenye movie nadhani ilikuwa fake pastor na ile ya ulicheza na mabint wawili lulu na diana kimaro tena kigogo....
please let me meet you bro!! i can do smtthng!!

emmanuel matutu said...

your est actor zaidi tanzania but unamisi kitu kimoja story zinazocheza na hisia za watu
kwa mfano story ambazo nazizungumzia hapa ni kama ile ya
cold wind, fake pastor,opprah,shakira,dengerous desire,johari,behind the scene na waves of sorrow
kaka cheki interesting sory,, movie za sasa unazocheza hazilizi sana watu japo zinamafundisho.. no feeling at all JAPO ZINA MAFUNDISHO MAKUBWA ila za hapo juu zina sifa zote

emmanuel matutu said...

movie nzuri zaidi ulizo wahi kucheza
cold wind,
fake pastor,
opprah,
shakira,
dengerous desire,
johari,
behind the scene.
offside
na waves of sorrow
hizi movie sina sifa nyingi sana kaka

Unknown said...

kasahau woman of principle na yellow banana

Anonymous said...

kaka hata uwe maarufu kiasi gani bado una mengi ya kujifunza.....hebu kubali basi kupewa ushauri....sio mara ya kwanza kumuona huyu emanuel matutu akichangia na kukosoa hapa kwenye blog.....lakini inaonekana kama hujali kitu basi acha iyo kukutana naye unashindwa hata kureply tu.......unamuona yeye fala ama nini....wanaokwambia ukweli wanakupenda na wanataka kuona unafanya zaidi ya hapo.......halafu kitu kingine hili swala la kuigiza maisha ya kifahari kila siku unaooyeza mvuto wa muvi zako....nenda hata manzese kwenye nyumba za kuoanga kapige muvi...ushatengeneza mwili sasa ingia hata msituni upige moja ya tabutabu hiviii mbona vya kucheza vipo vingiiiii....ni hayo tu kaka mi nakukubali sana fanya zaidi ya hapo tuoneeee

Anonymous said...

Na ole wako iwe mbaya nimeshaona kwenye cover sijui dada gani huyo mwambie tunataka kiwango cha Waves of Sorrow kama kiwango hana awaachie kina Rose Ndauka na Batuli ukumbi