Tuesday, March 19, 2013

RWANDA MOVIE AWARDS 2013

Wadau kama nilivyowaandikia mwanzo kwamba tulikuwa Rwanda kwa ajili ya kutoa tuzo zinzoitwa Rwanda Movies Awards, hawa jamaa wako makini sana katika swala zima tuzo hii mi kumfanya msanii haweze kutengeneza kazi nzuri ili apate tuzo maana tuzo ndio kipimo cha msanii kujua uwezo wake umefika wapi, tuzo zenyewe ndizo hizo hapo juu kama mnavyoziona wadau wa tasnia ya filamu Afrika wacha tuone mambo yalivyokuwa..

Maandalizi yakifanyika kwa mrembo wetu Dada Irene Uwoya kabla ya kwenda sehemu ya tukio..

Hapa tukiwa Serena Hotel ya Rwanda lilipofanyika tukio ilo la utoaji wa tuzo kubwa zinazofanyika kila mwaka..

JB

JB na Uwoya kwenye pozi..


The Greatest nikiajiandaa kuelekea ukumbini.


Jb akiwa pamoja na Uwoya ndani ya Land Cruser..

The Greatest pamoja na King Majuto pia wakiwa ndani ya Land Cruser hakuna kubanana ni wawili wawili tu, jamaa walitupa eshima kubwa sana ..

Tukiwasili kwenye ukumbi wa SERENA HOTEL..


Tukielekea sehemu ya tukio..

Watu walikuwa ni wengi sana si unacheki mwenyewe bana mimi wala sina la kusema yani watu wa Rwanda wanawapa sapoti kubwa sana wasanii wao wa Nchi yao ili ni lakuigwa na nyinyi ndugu zetu Watanzania..

JB alikuwa wa kwanza kuingia ukumbini..

King Majuto akiingia ndani ya ukumbi.

Wadada wa Kinyarwanda walikuwa ni wakumwaga..

Irene Uwoya naye akiingia kwa mbwembwe nyingi sana

The Greatest nilikuwa wa mwisho kuingia..

Mambo yakiendelea..


Huyu dada wa kulia yeye alichukua tuzo ya msanii anayependwa kuliko wasanii wote Rwanda..

Mmoja wa wasanii wakubwa wa Rwanda ni huyu jamaa mwenye tai nyekundu yeye alichukua tuzo ya msanii anyependwa kwa upande wa wanaume..

Baadhi ya wasanii wa Rwanda..

Anaitwa Jackson ni Mwenyekiti wa tuzo hizo..

Watu walikuwa wengi sana..

Mwenyeji wetu huyo wa Rwanda yeye ni mwanajeshi alipewa jukumu la kutulinda..

Tuko makini..

Kambarage toka kampuni ya Steps pia alikuwepo..

Majuto akiongea machache..

Ratiba zikiendelea..

Ulifika muda wa The Greatest kutoa Tuzo..

Msanii bora wa kike ndiyo huyo hapo wadau..

The Greatetst nikimkabidhi tuzo mwandada huyo aliyeshinda kuwa msanii bora wa kike..

Nikiongea machache..

Jb pia akiongea machache na yeye..

JB akikabidhi tuzo..

ulifika muda wa Uwoya kwenda kutoa tuzo..

Akisubili muhusika kufika...

Akimkabidhi tuzo msanii bora wa kiume..

 Msanii wa kiume anayependwa Rwanda akielekea kuchukua Tuzo yake..

 The Gtreatest nikimpa hongera jamaa..

Akikabidhiwa Tuzo yake..

Akishukuru watu waliompigia kura..

Mmoja wa Warembo wa Rwanda naye akishukuru watu waliompigia kura..

Warembo wa Rwanda..

Hili kombe ni kwa ajili ya Filamu Bora ya Mwaka..

Wakishangilia kwa ushindi walioupata, hawa ni baadhi ya washiriki wa movie hiyo walioshinda.

Picha ya kumbukumbu.

Irene Uwoya akiojiwa mchache na waandishi wa habari..

Huyu Mama alikuwa ananifuta viatu kwa nguo zake uku akilia kwa uchungu baada ya kuniona kwakweli hawa watu wa Rwanda wana upendo mkubwa sana kwa wasanii..

Mdau wangu akilia kwa furaha..

Mambo yalikwisha na watu kuendelea na mambo mengine hivyo ndivyo mambo yalivyokuwa...

6 comments:

Anonymous said...

watu wanaponda sana kila unachofanya watu wahakosi cha kuponda.. sasa mr. hakuna haja ya kuwajibu piga kazi heshima itakuja tu...
MAVAZI NDO KITU KICHOBAKI IYO SUTI ILIKUWA KUBWA HAPO INAKUBID UVAI SUTI MODO LAKINI ISIWE SINGLE BATANI NAPO WATASEMA UMEIGA WAKINA DIAMOND
EMMA MATUTU

Anonymous said...

KAZA TU HESHIMA ITAKUJA KILA KITU MUACHIE MUNGU USILIPIZE WALA KUDHARAU MTU KWA ULIOKWISHA FANYIWA.. WAPI SUTI MODAL NDO TIME YAKE... BUT ISIWE SINGLE BATTON.. watesema umeiga mm simo
EMMA MATUTU

Anonymous said...

link na mitandao mingine bwaba

Anonymous said...

Dah, huyo mama alielia si mchezo, she real loves u

Anonymous said...

Hongereni kwa mwaliko, hivi umeshindwaje kupata majina ya hao Mastar wa Kinyarwanda? Wakati marehemu Kanumba alikuwa akienda Nchi za wenzetu anaandika jina la mtu hata akiwa sio star iweje wewe ushindwe? Unataka kusema hamkupata muda wa kushare ideas na wenzenu? Acha Umbululaa wewe fala wewe.

Anonymous said...

Good hivi Tanzania mnatuzo za film? Kama lah mnangoja nini? Anyway mlipendeza ingawa kidogo kama ulivaa suti kubwa halafu cameramen aliwatupa wenzio sana alishughulika na wewe na huyo scandal girl twende kwenye Main Points A.Huyo muigizaji wa Rwanda aliyevaa gauni refu la zambarau ni noumer nzuri sana acha apendwe B.Mmejifunza nini kupitia tuzo za wenzenu? C.Jifunze kujibu maswali muhimu ya blog ambayo wachangiaji huwa tunauliza au kuomba maelekezo D.Hili kwangu ndilo la muhimu nimejaribu kukuulizia sana kupitia kwa baadhi ya wasanii wa Standard, na stars wenzio kuhusu wewe ingawa majibu yao kama yanafanana wote wanajibu hivi: Ray hafai usimpe matangazo, wengine wanasema unaringa, una dharau, inshort kila mtu ananipa wasifu mbovu je ndivyo ulivo kweli? Wengine wanadai wewe mlevi. Makampuni yanataka kuwatumia kwenye matangazo sasa civil zako zinatisha. Michael Cods