Tuesday, March 19, 2013

TWISTED COMING SOON

Baada ya Waves of Sorrow kutingisha soko la ndani ya Nchi na Nje ya Nchi sasa ni zamu ya bonge la Movie linaenda kwa jina la Twisted ni movie kali sana si ya kuikosa kama kawaida ya Rj Company huwa hatubaatishi  katika swala zima la kazi tucheki jinsi location watu walipokuwa wanauandaa mzigo huo..

Cheki mwenyewe jinsi watu walivyojipanga katika kazi siunaona jinsi mataa yalivyosetiwa huku ni kutafuta ubora wa hali ya juu kama kawaida ya RJ COMPANY..

Mambo yakiendelea kama kawaida yetu hapa nikihakiki picha yangu kabla ya kuingia On Set

Mzee Masinde na Mama Njaidi On Set..


Msanii mpya anaitwa Welu akiwa On Set tunajaribu kuleta sura mpya wadau na tofauti na mlizozizoea..

 The Greatest na Welu msanii wangu mpya tukifanya mazoezi ya mwisho kabla mambo kuanza..

Crane ikifungwa.

Tukifanya majaribio ya crane kabla shughuli kuanza..

Farid Uwezo Cameraman wangu akifanya manjonjo yake akiwa pamoja na Samu Shoo LightMan wa Rj Company na The Greatest nikiwa pembeni yao..

 Vijana wakiwa kazini..

Nikipitia Script kabla ya kuingia On Set..

 Umakini kwenye picha..

Scene ya makaburini..

 The Greatest nikihakiki picha kwenye monita yangu..

Location maeneo ya Mbezi katika Lodge mpya inayokwenda kwa jina la Konfa Lodge

 Kijana Seve Countiunity wa Rj Company..

Scene za vijijini pia zimo safari hii..

Masinde na  Mama Njaidi wakisikiliza maelekezo toka kwa Director..
.
Kwa hiyo wadau wa movie nawaomba msiukose mzigo huu wa Twisted ni hatari sana..

2 comments:

Anonymous said...

nmekubali jina 2 linavutia, hongera tunaisubiri kwa hamu

Anonymous said...

hivi mmpewa kibali na familia husika kupiga picha makaburi yao??? Ujing ukizidi bana!