Thursday, March 28, 2013

JOHARI NDANI YA BAD LUCK

Blandina Chagula amaeamua kuja na mzigo wake binafsi unaokwenda kwa jina la Bad Luck, katika mzigo huo yumo Miss Tanzania wa Mwaka 2011&2012 amefanya Vitu Vikubwa sana ndani ya mzigo huo wadau, Johari amesema kuwa  sio mzigo wa kuukosa lini utatoka? bado kidogo mpaka itoke Twisted. ndani ya mzigo huo wa Bud Luck niliamua kupumzika na kuwaachia vijana waweze kufanya kazi bila ya kuwepo mimi maana kuna leo na kesho... hao hapo juu ni staff wa RJ COMPANY..

 Miss Tanzania aliyevua taji lake mwaka jana anakwenda kwa jina Saraha, kama nilivyowaambia wadau huyo mrembo kafanya mambo makubwa katika sinema hiyo ya Bad  Luck..

 Batuli naye yumo ndani ya nyumba ni hatari sana..

 Mautundu ya Light Man wangu Samu Shoo yakiendelea kama kawaida ya RJ

 Camera Man wangu wa kwanza kabisa kuanza kufanya naye kazi Razack Ford wa kushoto pamoja na Camera Man wangu wa sasa Farid Uwezo wakiwa pamoja kuhakikisha mambo yanaenda sawa kabisa .


Batuli akiwa On Set..

 Wadau wa RJ COMPANY wakiwa pamoja na Blandina Chagula (Johari).

 Vijana kazini.

Kazi ni ngumu sana Location wadau nyinyi tizameni tu kwenye tv lakini kunakuwa na kazi ngumu sana maana sio kazi ndogo kabisa tutieni moyo   msituvunje moyo mapambano bado yanaendelea..

Dori likifungwa ili kupata picha inayotembea, kama ulaya bongo sasa hivi vifaa vyote vipo watu washindwe kufanya kazi tu.

2 comments:

Anonymous said...

Bhaaaaaasi kama Johari yumo Batuli yumo sasa hapo unategemea nini? Hii balaaa full majanga naingoja ila Jina sijalisoma Bud Lucky nini? Bud ni kiingereza au kihindi? Mr.samson

Unknown said...

Kaka naomba nikupongeze ila pia nikukosoe. Kwanza jina la hii movie ni "BUD LUCK" au "BAD LUCK" maana unatuchanganya wadau. Kama vp mimi najitolea kufanya consultation bure pale unapohitaji msaada wa lugha (iwe ni script au publication yoyote)maana kitaalamu kama hata lugha unakosea then hakuna mtu mwenye akili zake timamu atakuchukulia serious, trust me. Pili terminology kama "Dolly" wewe unaiita "Dori" inaonyesha hujui vifaa vinavyotumika kwenye kazi yako, jifunze zaidi na ni vizuri kuvifahamu. Tatu, nimejaribu kuangalia movie nyingi tu za kibongo (sio zako peke yako) nimeona taa mnazielekeza juu tu (light ceiling bouncing)kwenye kila scene. Jamani sio kila scene taa zianatakiwa kuelekea juu kwasababu kila scene in mood yake na taa ndio zinasaidia kutengeneza mood ya scene sasa kama kila mahali ni taa juu tu video inakua flat...Hivi vitu nilivyovitaja hapa havihitaji pesa wala degree, kwahiyo jaribu kurekebisha. Kwa leo naishia hapa! Meku