Wednesday, March 13, 2013

THE GREATEST KATIKA MUONEKANO MPYA

Wadau wa Tasnia ya filamu Tanzania wamekuwa na maswali mengi kuhusu kupungua kwangu jamani ni mazoezi tu wala hakuna kitu kingine nimeona niwawekee picha ili muweza kujua kwamba  hakuna cha ziada bali ni mazoezi tu sasa mtasema wadau kwamba niendelee kupungua au inatosha naomba maoni yenu wadau..

Mwalimu wa mazoezi akinipa mavituuuuzi anaitwa Emanuel.

The Greatest mazoezini nadhani maswala yatakuwa yamekwisha baaada ya kuwawekea picha hizi..

 Nikiwa makini na mazoezi...

Mambo yakiendeleaaaaa..

 Mazoezi ni muhimu sana katika maisha ya binadamu wadau msikae kizembe mazoezi ni bora kwa afya yako..

 Hatari sana mazoezi ni wito wadau wengi walikuwa wakinishauri juu ya mazoezi nimetekeleza mawazo yenu...

 Balaaaaaa...

 Nikisikiliza maelekezo kwa umakini kutoka kwa mwalimu Emanuel


 mazoezi ni wito

 Baaada ya kumaliza mazoezi nilipata muda wa kuongea macahache na mwalimu..

 Picha na mdau...

11 comments:

Anonymous said...

ULIVO SASA IVI INATOSHA KBSAAAAAAAAA USIPUNGUE TENA. KINGINE USIJAZIE SAAAAAAAAANA JUU UKAWA HULINGANI NA CHINI KM JOHN BRAVO.YANI PIGA CHUMA JAZIA KIASI YANI USITANUKE SAAAAAAAAANA JUU.KUWE NA UWIANO YANI MVUTO UTAZIDI SAAAAAAAAAANA. BINAFSI NAVUTIWA SN NA MUONEKANO WAKO WA SASA KITAMBI SIO KBS.

Anonymous said...

Safi sana na hongera maana sio mchezo, umependeza sana kwa kweli.

Anonymous said...

Waoooh! thats so gud!!!!! sasa inatoshaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

yani wewe kila kitu ni kuiga tuuuu... umeona umuige kanumba alipoamua kupungua na kuomba ushauri kwa fans wake kama aendelee au laaah!... huna lolote

mdau

Anonymous said...

tisha man... kaushia hapo...

Anonymous said...

ki ukweli umependeza.tumbo limeondoka kabisa.ulikuwa kama mja mzito,sasa hivi mwili umekaa fit sana.hongera sana

emmanuel matutu said...

bakwambia bado mav\i tu kaka watakaa wenye majungu.. afu kaza zaidi movie za hisia zaidiii

Anonymous said...

Achia hapo.uki punguwa sana kuzidi hapo watakusahawu.rakini endereya na zoezi nivizuri sana kwa hafya ya bina damu.ongera nasafari yenu ya Rwanda

Anonymous said...

Kama ni hivyo sawa wengine walishaanza kuhisi ni ugonjwa wetu uleeeee

Anonymous said...

Umependeza, natumai nguo pia inabidi ubadilishe. zisiwe kubwa.

Anonymous said...

umependeza sn ray,,uwe ivo ivo BIG NO kunenepa na kitambi hupendezi ht,,ss uache kuvaa manguo makubwa ya enzi za unene,,nunua mpya zitakazo kufit mwili wako,,good look for sure...mwaaah