Thursday, March 21, 2013

SAMSUNG

Nilipata mwaliko toka kampuni ya Samsung nami sikusita kwenda walikuwa wanazindua Camera yao mpya inayokwenda kwa jina la Samsung Camera yenye ubora mkubwa sana na ina internet ndani yake yani unapiga picha na hapo hapo unaproad jamani kweli Dunia imekuwa kijiji embu tucheki mambo yalivyokuwa..

Hapa tukipata picha na kijana wangu Dulla mtangazaji wa kipindi cha Planet Bongo

Dulla

 Ben Kinyaiya..

 The Greatest nikisalimiana na Raqee Mkurugenzi wa kampuni ya I Vew Media maarufu kwa utengenezaji wa macover ya filamu Tanzania..

 Mboni na Dulla wa Planet Bongo kwenye pozi..

 Dj Mafufu na The Greatest.

 Ratiba zikiendelea.

 Ulifika muda wa droo ya samsung atakaye shinda atapatiwa Samsung camera mpya.

 Dulla akijalibu zali lake.

Mboni Masimba wa kulia akuwa nyuma katika upande wa misosi na vinywaji..

picha ya kumbukumbu, vijana wangu mmependeza sana..

Amani kwa Dj Choka..

Pozi la mwaka ilo..

Tukiwa makini kufuatilia mambo ya Samsung yanavyokwenda wadau..

 Vijana wakikandamiza misosi

 Mmoja wa mshiriki katika droo..

The Greatest na Shafii Dauda Mtangazaji wa kipindi maarufu cha michezo toka Clouds Fm

 Izzo Bussines mwanamuziki wa kizazi kipya akiwa pamoja na kaka yake  The Greatest..

 Quick Racka msanii wa kizazi kipya.

Mshindi aliyejishindia Camera mpya ya Samsung.

5 comments:

Anonymous said...

nc kaka yangu
emmer

Anonymous said...

RAY UMEPUNGUA SASA NUNUA NGUO ZA KUENDANA NA MWILI ILO SHATI HAPO NA HATA SUTI ULOVAA RWANDA ZINAONEKANA KUBWA.
PIGA VITU MATATA VINAVOENDANA NA MWILI MPYA KUPUNGUA SI KAZI NDOGO LAZIMA UJIDAI

Anonymous said...

RAY UMEPUNGUA SASA NUNUA NGUO ZA KUENDANA NA MWILI ILO SHATI HAPO NA HATA SUTI ULOVAA RWANDA ZINAONEKANA KUBWA.
PIGA VITU MATATA VINAVOENDANA NA MWILI MPYA KUPUNGUA SI KAZI NDOGO LAZIMA UJIDAI

Anonymous said...

Nguo ulizovaa ndizo ulizovaa kwenye mwaliko kule kigali huoni vibaya kauka nikivae? Au ndio haujui kuwa kwenye blog uliweka nini? Halafu huyo Mboni kazeeka au macho yangu? Mbona havutii kwenye picha? Kawa chweeeee na miwani yake kama mpima vinyesi

Anonymous said...

Ray mashati yamimeremeto yanini? hubadiliki? kwani wewe mkongo? hivi unaangaliaga channel za kongo nini? acha ushamba bwana mpaka tumeyapa majina bongo movie shirts hayo mashati zamani tuliyaita ray na kanumba. duuh unakera na mkorogo uache. waachie kina aunt mudy. JB ananifurahisha sana sijawai kumuona kavaa haya masharti yake waka singo mtambalike hao ndio wajanja wa bongo movie.