Thursday, November 29, 2012

DUBAI

Kwanza kabisa niwaombee msamaha wadau wa blog hii kwa kimya kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu.katika safari yangu ya Dubai nilipata fursa ya kutembelea sehemu zinazouza magari nakujionea magari makali sana kabla ya muda wa Harusi ya kufika embu cheki mwenyewe utaniambiaaa....

Range Rover

Hatari sana wadau

 Posh....

 
Matembezi yaliendelea kama kawaida.

Baaada ya kusafisha macho tulipata nafasi ya kwenda kupata msosi nikiwa pamoja na Jb pamoja na Cloud

Jb akishangaa jambo nami nikiendelea kugonga msosi.

Cloud.....

Baada ya shughuli zote tulizofanya mchana, ulifika muda wa kuelekea ukumbini ilipofanyika Harusi ya muigizaji wa kike Auntie Ezeckiel tucheki mambo yalivyokuwa...

Haya mambo yalianza namna hii Auntie akiwa ndani ya shela akiwa pamoja na mumewe Sunday( Demonte)

Mambo yakawa hivi Bwana Harusi akimvisha pete mkewe kwa heshima kubwa sana ya kupiga goti..

Ulifika muda wa Bi harusi kuchukua pete na kumvisha Mumewe.

Mapaparazi wakifanya mambo yao kama kawaida yao.

The Greatest nikiwa  na JB.

Ratiba zikiendelea.


Antie Ezekiel na mumewe Sande(Demonte).

Wakicheza Blues

Wakipata chakula.

Mdogo wake Demonte(kushoto) na Rehema rafiki wa Antie

JB..

Jb pamoja na mdogo wa Bibi Harusi Kimoko ..

Kama kawaida Bibi Harusi alibadilisha nguo nakuanza kuserebuka kuolewa raha jamani wacha Dada afanye yake

Demonte

Rhumba likiendelea..

Mambo yalikwisha na kesho yake tukafanya matembezi ya maeneo mbalimbali ..

1 comment:

Anonymous said...

siku izi unavaa kofia na tshirt unapendeza sana...
ila hadi kwenye msiba..(wa sharo)
duuu ndio maana hykuwa source kwenye interview mbalimbali kama J.B
PLOE SANA KAKA
ushiriki wako hakuwa poa na karibu na watu da... sijui kwa nn
emmer