Thursday, November 29, 2012

R.I.P JOHN STEPHANO

Mwaka huu 2012 umekuwa ni mwaka mbaya kwa wasanii wa tasnia tofauti. Maana tumepata misiba mingi kwa wakati mmoja lakini hatupaswi kulalamika maana kazi ya Mungu haina makosa, Msanii aliyekuwa akichipukia kwa kasi ndugu yetu mpendwa wetu Bwana John Stephano alipofariki kwa matatizo ya tumbo Mungu ailaze roho ya maremu pema peponi sisi tulikupenda ila Mungu kampenda zaidi yeye mbele yetu sisi nyuma yake

 Wasanii wakiwa katika majonzi makubwa sana..

 Slim na Kupa..

 Wasanii wakiwa na maswali makubwa juu ya aina ya vifo wanavyovipata wasanii wenzetu

 Adam Kuambiana msanii wa filamu kama mnamkumbuka nilicheza naye katika sinema kali kwa jina Fake Pastor..

 Ratiba zikiendelea.

 Tino akisaini katika kitabu cha kumbukumbu..


 Baba wa marehemu Mzee Stephano..

 Ratiba za kuwaga mwili wa marehemu zikiendelea.

 Watu walikuwa wengi sana..

 Gari lililobeba mwili wa marehemu..

 Mambo yakiendele na watu kujiandaa kwenda makaburini.

 Batuli katika majonzi..

Wasanii wakimpeleka mwenzao kwenye makzi yake ya kudumu.


 Tukielekea makaburini.

 Mwili wa marehemu ukiwasili makaburini..

 Baadhi ya viongozi wa bongo movie unit wakijadili jambo.

 Cloud.

 Baba wa marehemu akiwasili..

 Mwili marehemu ukitolewa kwenye gari nakupelekwa kwenye sehemu iliyoandaliwa

 Hii ndi nyumba ya marehemu..

 Padre.

 Tukiuingiza mwili marehemu kwenye kaburi

 Ni huzuni kubwa sana unapondokewa na mtu uliyekuwa naye karibu.

 Parde akimuombea marehemu..

 Baba mzazi wa marehemu akiweka udongo..

Majonzi..

 Huruma

 Nape Mnauye akiweka udongo wa mwisho kwa marehemu

 Saimon Mwakifamba Rais wa wasanii Tanzania nzima naye akiweka udongo wa mwisho

Tunapenda kuwapa pole familia ya marehemu sisi tulimpenda ila Mungu kampenda zaidi

1 comment:

Anonymous said...

jamani huyu kaka alinifanya niipende muvi ya mrembo kikojozi especially ile scene aliyovalishwa dera nakuanza kupodolewa nilicheka sana, maskini RIP John so sad kusikia umekufa kwa uzembe wa madaktari ulikuwa too young to die