Thursday, November 29, 2012

R.I.P SHALO MILIONEA

Majonzi na vilio vilitawala kwenye msiba wa msanii wa Bongo Fleva pamoja na Bongo Movie ndugu yetu Shalo Milonea uliotokea katika Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga kwa ajali mbaya ya gari msanii huyo alipokuwa akielekea kwenda kumuona mam yake mzazi na kukutwa na mahuti hayo inasikitisha sana jinsi vijana wadogo wanapoaga Dunia ila twapaswa kumshukuru Mungu kwa kila jambo kwanio kazi ya Mungu haina makosa..

The Greatest nikiwasili kwenye msiba wilayani Muheza kwenda kumpuzisha ndugu yetu mpendwa kwenye nyumba yake ya milele


 Majonzi na vilio vilitawala..

Rechel Saguda na Batuli kwenye majonzi makubwa sana poleni dada zangu.
.
 Odama wa katikati akisikiliza jambo fulani hivi...

Mwili wa Marehemu ukiwasili nyumabi kwao..

Watu walizimia sana kwa uchungu wa kumpoteza ndugu yetu..

 The Greatest nikiwa kwenye majonzi..

 Roma mwanamuziki wa kizazi kipya


 Mzee Majuto mwenye kanzu akiwa pamoja Waziri Mwanamuziki wa wa Band ya Njenje wana Kinyaunyau..

Mh;Nape naye alikuwepo tunakushukuru sana kwa kujitoa katika misiba yote miwili Asante sana Muheshimiwa kwa moyo uliotuonyesha wasanii wewe ni mfano wa kuigwa na viongozi wanzako..

Majuto akiongea machache juu ya marehemu.

Mwili wa Marehemu tayari kwa kwenda kuzikwa.

Mwili ukipelekwa sehemu rasmi iliyoandaliwa kwa kuzikwa marehemu Shalo Milionea.

Poleni sana wasanii wetu wa Tanzania kumpoteza ndugu yetu sisi tulimpenda ila Mungu kampenda zaidi

Mtunisie Msanii wa filamu mwenye shati jekundu wakimsindikiza Msanii mwenzake Shalo Milione.

Safari ya Mwisho ya Shalo Milonea tunapenda kuwapa pole familia ya Shalo kwa msiba mkubwa mlioupata 

5 comments:

Anonymous said...

RIP

Unknown said...

r i p shalo

Anonymous said...

am stil asking God hivi kweli ni mipango yake yeye mtu afe akiwa 24 yrs,27yrs,28yrs..... anyway RIP JOHN,RIP SHARO,RIP Kanumba.

Anonymous said...

Kuna wanawake wazuri lkn huyu batuli ni kiboko analia ila urembo wake unaonekana live poleni bongo movie and rip sharobaro

Anonymous said...

Maskini polen mungu atawavua mitihani pendaneni kaka ray mshikamane maisha hayana mwenyeww ila umenikera umependeza huna hata majonzi mtizame majuto, kitale na wanaume wengine umeshindwa hata na Nape badilika ustar kwenye kifo hakuna wanawake wameguswa wanalia hadi ukiwatazama unalia Odama, rechel na Batuli poleni sana sana sana na wadada wote poleni.