Wednesday, January 2, 2013

R.I.P Sajuki..

R.I.P Juma Kilowoko(Sajuki). Tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi.....

5 comments:

Anonymous said...

NATAKA KESHO... MUDA WA MSIBA BONGO MMOVIE.............

Anonymous said...

jina linasomeka ray the greatest afu unaandika ujinga wakati wa huzuni... jifunze kutoka kwa magreat origenal kama
fidq,
eti nataka kesho... kama huwezi chati na watu kwenye mitandao na kujua kufurahisha au kupeana changamoto... ACHA GREATEST SMTHING BIG BROOOOOOO
EMMMANUEL

Anonymous said...

Mh bongo unit!!!?R.I.P Sajuki,pole sana wastara na wafiwa.Mungu awape uvumilivu.

Anonymous said...

mzee wa hereni uwe msibani uwe ofsi ya rahisi uwe na mongezi hata na mama mkwe utavaa tu hereni wakueleze nn...mie nilishakuomba uwe unavaa vitu kama hivyo kulingana na mahali au mazingira hutaki
AA

Anonymous said...

True unachefua ww why lakn afu ushamba hv na kwa mm ako unaenda hvo? C bure ipo namna!!