Monday, December 31, 2012

HONGERA TERRY


Shamsa Ford juzi kati alifanya party kubwa kwa ajili ya mwanae kama shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kiumbe alichompatia nakuwaalika wasanii wanzake wengi ili kumpa sapoti kama kawaida ya  Bongo Movie Unit kupeana ushirikiano pale linapotokea jambo tucheki mambo yalivyokuwa...

Shamsa Ford akiwa na mwanaye Terry Dickson.

 Irene Uwoya akiwasili.

Shamsa pamoja na rafiki yake kipenzi Zamaradi Mketema mtangazi wa kipindi cha  Take One mwenye top nyekundu wakiwa na mdau.

 Ulifika wakati wa kufungua Shampeni , The Greatest niliwakilisha vyema.

 Mambo yakiendelea kupamba moto..

 JB pia,,,

 Kwa upande wakina Dada waliwakilishwa na Davina.

 Taratibu zikiendelea..

 Ulifika muda wa Keki, Shamsa akimlisha mchumba wake Dickson


Irene Uwoya akila keki..

 Ulifika muda wa Maya kula keki..

 Mama wa Bongo Movie Eliethy Chumila naye akuwa nyuma katika upande wa keki

 Cath Rupia.....

 Mariam Ismail..

 Ule muda muafaka wa The Greates kula keki ulifika.

Nikipata picha ya pamoja.


Mkurugenzi wa 5 Effect Wiliam Mtitu  kwenye picha ya pamoja na Shamsa na mchumba wake.
 Inno mdau namba moja wa Rj Company bila kukosa..

 Mambo ya ulabu palikuwa hapatoshi wadau.

 Msosi time.

 Muda wa kutoa zawadi...

 Kama kawaida ya Erick Ford( JB) kumwaga pesa kama njungu ni kawaida yake.

 Juma Chikoka naye akuwa nyuma katika kutoa mkono wa pongezi

 Taratibu za kutoa zawadi zikiendelea...

 Batuli(Neshi) akimwaga madolari.

 Davina naye akimwaga mvua ya pesa kwa Shamsa

Vivian naye akifanya mambo yake.

 Rado akitoa shoo ya hatari sana...


 Dickson Mchumba wa Shamsa akiongea machache kuwashukuru Bongo Movie na wadau wote.

 Single Mtambalike akimwaga cheche zake.

The Greateast nami nikiongea machache.

 Dick aliweza kufanya suprise kubwa ya kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake...

 Akiwa na furaha kubwa...

Shamsa akitoa neno lake la shukrani kwa wadau wote walioudhuria party ya mwanae na kuelezea furaha aliyonayo baada ya kuvishwa pete ya uchumba.

13 comments:

ME UK said...

hongera shamsa ford..jamani kweli watu hubadilka irene uwoya amebadilka mashaalah.. mwaka mpya uendelee hivyo hivyo

Unknown said...

hongera mdada

Anonymous said...

Haya ndo mkamwage manoti kwenye msiba wa Sajuki sio mnapewa daftari mnatoa elf 10

kokusimah said...

party ya shukurani kwa Mwenyezi Mungu haifanani hivi wapenzi, angeenda kula na yatima hapo ningeiita shukurani. Na bongo movie kama mnapeana ma unit panapobidi mlikuwa wapi kwa Sajuki jamani? inatosha kwa leo

Anonymous said...

KM MNAIGA STYLE ZA KUVISHA PETE KM WAZUNG, BASI MHAKIKISHE MNAJUFUNZA FULL STYLE, HUYO ALIEPIGA GOTI KUVISHA PETE, MWAMBIE SIO MAGOTI MAWILI UNAPIGA GOTI MOJA TU LOL

Anonymous said...

Ray samahani, lakini please do something about your sweaty armpit - it's embarrassing for a man of your position. Roll-on deoderant is a recommendation

Anonymous said...

Jamani naomba Namba ya Batuli

Anonymous said...

ongera sana shamsa

Anonymous said...

Uwongo hakuna suprise wala nini hiyo part ya mtoto ilikuwa ni kuwazuga nyinyi wao walikuwa wanajua kuwa wanakuja kuvalishana pete siwezi kuiita ya uchumba kwa sababu sioni wazazi hapo pete ya uchumba mtu huvalishwa baada ya mwanamme kupeleka posa na kutoa mahari kwa binti anayetaka kumuoa sio hivyo mnavyovalishana nyinyi siku hizi mnafanya kama fashion tu halafu eti suprise uongo mtupu! puu!

Anonymous said...

mshazaa ndo pete haikuji,muombeni mola awasamehe makosa yenu,mnafanya kufuru kwenye pesa kuna watu kibao wana shida ,achen hizo ria mbaya

Anonymous said...

shamsa muislam au mkristo?

Anonymous said...

nimewapenda bongo movieee hususan JB,NAOMBA YAKO NAMBA

Anonymous said...

Jaman Ray jaribu kwenda na wakati yaan hushughuriki na blog yako kama huna mambo ya kuweka basi acha plain ili tujue moja, jirekebishe basi!!!!