Friday, December 21, 2012

IRENE UWOYA NA MWANYAMALA HOSPITALI

Wadau wa kiwanda cha tasnia hapa nchini msanii wenu mkubwa mnaompenda Irene Uwoya juzi ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa, na msanii huyo alichokifanya ni tofauti na mastaa wakubwa wanavyofanyaga birthday zao kunywa pombe na kula bata la nguvu, lakini mlimbwende huyu yeye aliamua siku yake ya kuzaliwa kwenda kushiriki na wagonjwa wa Mwananyamala Hospital kwa kuwaona na kuwasaidia misaada mbalimbali hongera sana Irene Uwoya kwa ulichokifanya ni mfano wa kuigwa..

                    
Irene Uwoya akiwa anawasili kwenye Hospitali ya Mwanyamala.


Single Mtambalike...

Uwoya akuwa peke yake kwenye msafara huo bali alisindikizwa na wasanii toka Bongo Movie Unit kama mnavyowaona kwenye hiyo picha.

Ratiba zikiendelea...

Juma Chikoka(Chopa) akimsaidia Irene kutoa msaada..

Irene akitoa msaada uku akiwa na uchungu mkubwa baada ya kuonana na wagonjwa..

Ugawaji wa baadhi ya misaada ikiendelea..

Wagonjwa walimpongeza sana kwa uwamuzi aliouchukua katika siku yake ya kuzaliwa, Walisema ni wachache sana wenye maamuzi kama hayo..

Wagonjwa wa Mwananyamala Hospital walimshukuru sana Irene Uwoya kwa kitendo alichokifanaya..

10 comments:

V_SKILLS said...

nice

Anonymous said...

She did it gr8t! Hongera sana Irene yaani umetoka kivingine kabisaaaa...!

Anonymous said...

That's nice Irene, keep it up.

Anonymous said...

That's nice Irene, keep it up.

Anonymous said...

happy belated birthday Irene........................... heri amkumbukaye mnyonge ataokolewa siku ya taabu bwana atamlinda na kumuhifadhi hai ZAB 41;1

Anonymous said...

good very good!endelea kufanya vizuri,what goes,goes around.tena urikua umevala vizuli.mery christmas and happy new year ray.wishes gutoka rwanda

Anonymous said...

Kazi nzuri dada ivyo ndo tunavyo takiwa kuwa siyo kuharibu pesa na kulewa jamani tusaidie wale ambawo hawajiwezi ndipo tutabalikiwa na Mungu katika kazi zetu

Anonymous said...

kazi nzuri dada Mungu akubariki natena Mungu abariki kazi zako

Anonymous said...

Dahhh!!! Irene Hongera sana, kweli ulichokifanya mungu atakuongezea mara dufu, nimepata uchungu kuona watu wanavyougua jamani ukiamka salama mshukuru mungu sana, kuliko kunywa mipombe na kujimwagia kama wafanyavyo wengine nimekupenda bure kwakweli sina la kuongea zaidi ya hongera

Mama Leila

Anonymous said...

Hongera Irene.Mungu Akubariki.