Monday, December 10, 2012

UCHAGUZI WA BONGO MOVIE

Baada ya muda kwisha kwa uongozi uliopita, majuzi wanachama wa Bongo Movie walipata fursa ya kuchagua viongozi wapya watakaongoza gurudumu la Bongo Movie embu tuone mambo yalivyokuwa katika viwanja vya Readers club ambapo uchaguzi ulipofanyika..

The Greatest nikimwaga sera zangu ni katika kufanya kampeni ambapo mimi nilikuwa nagombea nafasi ya Uenyekiti wa Bongo Movie

 Juma Chikoka(Chopa) akifanya kampeni. yeye alikuwa anagombea nafasi  ya Katibu Msaidizi.


 Single Mtambalike yeye aligombea nafasi ya Mtunza Fedha Mkuu wa Bongo Movie

 Chiki Mchoma Katibu Mkuu

 Jack Wolper mtunza fedha msaidizi.


 Hata hivyo wajumbe hawakuwa nyuma katika upande wa kuuliza maswali..

 Ulifika muda wa kupiga kura The Greatest nikiongoza jahazi..

 Wagombea wezangu hawakuwa nyuma nao kupiga kura.

 Chopa..

  Chiki..


 Upigaji kura ukiendelea..

 JB mwenyekiti mstaafu akipigi kura..

 Taratibu zikiendelea

 The Power bila kukosa.

 Shilole.

Irene Uwoya yeye aligombea nafasi ya Uenyekiti Msaidizi.

Zoezi lilikamilika na mambo yalikuwa hivi, The Greatest nikapata nafasi ya Mwenyekiti Mkuu, Irene Uwoya Makamo wa Mwenyekiti Chiki Mchoma Katibu Mkuu Single Mtambalike Mtunza Fedha Mkuu, Makamo wake ni Jackline Wolper, hivyo ndio mambo yalivykuwa..
 JB Mwenyekiti Mstaafu akitoa mkono wa pongezi kwa viongozi waliochaguliwa.

 Furaha zilitawala sana kwa wagombea walioshinda...

Mwenyekiti wa Bongo Movie Unit(The Greatest) nikiwa na katibu wangu(Chiki Mchoma) na muweka adhina msaidizi wa Bongo Movie Unit(Jack Wolper)

7 comments:

Anonymous said...

kwa ufupi hongera...
bongo movie unit mpo wachache sana.... watu kibao ... hakuna aisee.... chama chenu bwana ... inabini mwenyekiti public relation practitioner ka mm ili ukuze chama na uwe kiongozi bora..
emmer

emmanuel matutu said...

inabidi upunguze kuvaa hizo heleni usiwe sharo sana..
jiachie kulingana na mazingira... mwenyekiti cheo kikubwa
cheo zamana....
isadie bongo movie...

Anonymous said...

inabidi upunguze kuvaa hizo heleni usiwe sharo sana..
jiachie kulingana na mazingira... mwenyekiti cheo kikubwa
cheo zamana....
isadie bongo movie...

Anonymous said...

Kwanza pongezi ziwafikie baada ya hilo naomba kukosoa mnapeana uongozi kwa majina au kwa kufuata katiba fulani? Mtu Kama Jack na Irene mnawapaje uongozi wakati wao wenyewe wameshindwa kujiongoza? Kaka Jb sioni sababu ya wewe kuachia ngazi unahisi uamuzi mliofanya ni sahihi? Hivi mtu kama Jack akiomba kuonana na Rais anaweza kupewa appointment? Kwa civil gani? Hiyo ya kukaa utupu asubuhi hadi jioni? Wapo mastar wenye heshima tele Monalisa, Lucy Komba, Johari, Natasha Batuli, Riyama na wengine kibao msiangalie sura za magazeti angalieni jamii inataka nini? Always tunachangia comment kwenye blog zenu ili mfumbue upeo jitambueni uongozi sio tittle bali ni mzigo wa moto Mrs,Matayo

Anonymous said...

kichefuchefu kitupu sasa hao viongozi wanawake wataongoza nini? wasagaji wao, walevi, watembea nusu utupu, bangi, ndoa zao hazidumu kwa ukahaba civil zote mbovu wanazo hakuna jambazi atakaeongoza dunia uncle ray tafuteni suluhu kuondoa makanya boya katika kazi zenu ni kingozi gani mwenye sifa kama zao hao dada zenu mbona wasanii bora wa kike wapo? au mnapeana kwa kutizama nani anaandikwa sana kwenye skendo? sijawakubali kabisa IRENE NA JACKLINE ni uozo wa BONGO UNIT hao wasichana wengine wanawakubali vipi wenzao wenye aibu tele kwenye nchi hii? NB;usibanie comment hii maana watanzania huwa hampendi kuambiwa ukweli mnataka msifiwe upuuzi tu.

Anonymous said...

MAJUMA KADHAA YALIYOPITA NILIKUA NATAZAMA TAARIFA YA HABARI YA CHANNEL 10,NIKAMUONA MZEE SMALL AKIWA ANAUMWA NA HAKUA KATIKA HALI NZURI NA KIKUBWA KILICHONIFANYA NIHUDHUNIKE ZAIDI NI KUOMBA KWAKE MSAADA WA MATIBABU,KWA WANAOITWA WADAU AU WASAMALIA WEMA.LAKINI CHA KUSHANGAZA MPKA LEO SIJASIKIA TAMKO AU MSANII YEYOTE KUONGELEA HALI YA MZEE SMALL NA NAJUA WENGI HAMNA TAARIFA HIZI,LAKINI NILIONA JUHUDI KUBWA KWA SAJUKI NA AKAENDA KUPATA MATIBABU INDIA,NYIMBO ZILIIMBWA NA MICHANGO IKAPATIKANA,NA LEO ARUSHA KWENYE UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID KULIKUA NA TAMASHA LA KUMCHANGIA SAJUKI TENA,SAFI KWA HILO,LAKINI NAPATA MASHAKA MAKUBWA NA UMOJA HUU WA WASANII HASA LINAPOKUJA SWALA LA KIFO AU MARADHI,KWA NINI MMEKUA MKIBAGUA WASANII WA KUWAIMBIA NYIMBO NA WA KUWACHANGIA????MZEE KIPARA HAKUNA ASIEJUA MCHANGO WAKE KWENYE SANAA HII YA TANZANIA LAKINI AMEFARIKI KWA DHIHAKA SANA,SIKUSIKIA WIMBO WALA TAMASHA NA MLOPELO PIA AMEKUFA JUZI HAPA IDADI YA WASNII WALIOFIKA MSIBANI NAIJUA,NAOMBA KUWAULIZA WASANII WENZANGU MNATUMIA VIGEZO GANI VYA KUSAIDIANA KATIKA UMOJA WENU MSANII ANAPOPATWA NA SHIDA?????
swali la msaani moja kwenye ukura wakw kwenye facebook jana ,, mwenyekiti una changamoto .. watu wanakudharau onyesha uwezo/
emmer matutu

Anonymous said...

Hongera Jackline Wolper, Huyo kahaba Uwoya kashindwa kuongoza ndoa yake, bongo unit ndio ataiweza?