Thursday, December 20, 2012

ARUSHA TRIP

Siku tatu zilizopita Bongo Movie Unit ilifanya ziara Jijini Arusha kwa ajili ya Semina ya kujenga mahusiano mazuri kati ya Bongo Movie Unit pamoja na Arusha Movie, Hii yote nikuonyesha ushirikaono na watengenezaji Movie wa Majiji mengine, licha ya tukio ilo tulicheza mechi kati yetu na Arusha Movie wacha tucheki mambo yalivyokuwa ndani ya Jiji la Arusha..

Tukiwa ndani ya safari kuelekea Jijini Arusha..

 Jimmy kapteni na Tino...

Tukipata  chakula pamoja na vinywaji maeneo ya Korongwe.

 Rahim na Muba...

 Rado wa kwanza kushoto  akiwa na Messi wa Bongo..

Tukiwa tumeshaingia katika Jiji la Arusha, Katibu Mkuu wa Bongo Movie Unit bwana Salum Choma akiwa katika pozi la mbwembwe.

Ulifika muda wa mechi na hapa tukipata maelekezo ya timu meneja ambaye ni Single Mtambalike.

 Marefa wakijiandaa kwa mpambano..

 Matimu Kapteni wa timu zote mbili wakiongoza Jahazi.

 Tukifanya mazoezi madogo madogo..

Mstari wa pamoja kwa ajili ya timu zote mbili kukaguliwa..

 The Greatest nikifanya utambulisho kwa wachezaji wenzangu.

 Hapa nikimtambulisha Rado au Baba Marge..

Timu Meneja Single Mtambalike bila kukosa..

Odama na Cathy wadada wa Bongo Movie.

 Mpambano ukikaribia kuanza

Maya na Rechel maua ya Bongo Movie..

Mpaka half time mambo yalikuwa ni 0 kwa 0.

 Chiki Mchoma...


 Recho Haule na Jack Wolper...

 Haji Magori aliweza kutupatia gori la kwanza kabla ya kipindi cha pili kuisha..

 Madada wa Bongo  Movie hawakuwa nyuma kwenye kushangilia.....

 Katibu Chiki na Mwenyekiti Mstahafu JB wakifurahia ushindi....

 Mechi iliweza kuisha Bongo Movie wakitoka kimasomaso kwa ushindi wa bao 1-0.Wageni rasmi wakijiandaa kwa kutoa Tunzo.

Timu  pinzani walizawadia mpira..

 Tulivishwa Medari na mgeni rasmi....

 Taratibu zikiendelea..

 Choppa...

 Tukishangilia ushindi..

 Tulipata picha ya pamoja..  


2 comments:

Anonymous said...

Hongereni sana kwa ushindi huo.
Ila ushauri wangu wakati mwingine kwa usalama wenu muwe mnasafiri magari tofauti tofautri kama BONGO MOVIE.Unajua ni hatari sana kupanda watu woooote toka sehemu moja gari moja hasa katika wakati huu hali ya usalama barabarani ni tete.ni ushauri tu.

Anonymous said...

Sajuki ameandaa tamasha la kuwashukuru watanzania ili ajipatie fedha za kumsaidia matibabu. Badala ya kumsupport, na nyinyi mnaandaa tamasha. Kaka wa watu akawa depressed mpk ameshindwa kufanya lililompeleka, yuko hospitali sasa. Milioni20 kwenu ni nini? Mnachezea pesa mchana na usiku, watu20 kila mmoja kutoa milioni1 kuokoa maisha ya mwenzenu, hamuwezi. Akifa mtajifanya kulia, wanafiki wakubwa!