Friday, December 7, 2012

HAPPY BDAY JACK WOLPER

Jackline Wolper mwanadada wa Bongo Movie jana usiku aliwaalika wadau wengi katika kusheherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika katika ukumbi wa Synergy Lounge uliopo Oysterbay, Wadau embu tuone mambo yalivyokuwa..

 Barafu na Richie Mtambalike.

 Juma Chikoka(Chopa) akiwa na mdau Dulla.

 Baadhi ya wanachama wa Bongo Movie wakiwa na furaha..

 The Greastest(wa katikati),Dr.Cheni wa  na Chid Benzi mwanamuziki wa kizazi kipya..

 Maya..

 Irene Uwoya.

 Dr. Cheni kwenye pozi. Shamsha Ford.

 Jackline Wolper akiwa na Mke wa Mtitu William..

 Ino Bachard na Lyana Kinyoraa.

 Mtitu akiwa na mkewe..

 Bata zikiendelea.

  Petiman wakuache

Mambo yakizidi kupamba  moto.

 Sinta..


 Monalisa ...


 Bata la kufa mtu....


 Mauuuuuuuuuuuaaa


 Wadau wakisakata rumba...


Bonge la Bwana na Petty Man wa,,,,,,

 Misosi ya kumwaga..

 Gelly wa Rymes

Kijana wangu Inno Bacahard akiwa na Mariam Ismail..

Bataaaaaaaaaaaaaa..

Kalunde Band walitoa burudani ya kufa mtu..

Kisaaaaaaaaanga Chief..

6 comments:

Anonymous said...

HONGERA MAMMY MUNGU AKUJALIE MAISHA MAREFU

Anonymous said...

jamani Ray nauliza mbona johari simwoni kwenye maparty kama haya vipi hapendi kujumuika na wenzake au kulikoni

Anonymous said...

Jamani Shamsa mbona umechuja? Huvutii Kama zamani imekuaje bi dada? Umekaa Kama kopo la kombolela Jipende Mdau Johari nahisi ni mzimu wa Rj marufuku kutoka

Anonymous said...

mpe hongera Jackline Wolper ila muulize sifa hizi ataacha lini? kajenga hapa dar? au ndio punda afe ila mzigo ufike? ushauri wangu kwake ageuke nyuma halafu namuwekea picha ya MWAMVITA MAKAMBA kisha ajifunze kupitia star huyu mwenye mali lukuki na sifa 0 asipojirekebisha leo atajuta kesho poleni bongo unit kwa kuongozwa na wanawake wenye vichwa vya panzi haya tunasubiri birthday ya uwoya. CALL ME SABRINA

Anonymous said...

Looking good jack hao waliovaa vimini huwa hawana ubunifu mwingine? Mxiiiiiiiu

Unknown said...

Waoooooo mungu akusaidie mama eeeeeeh.... love u jacj mwaaaaa