Tuesday, December 4, 2012

WAVES OF SORROW


Wadau hii ndio movie yangu mpya itayokuja baada ya sister mary inaitwa waves of sorrow....

9 comments:

Anonymous said...

KWAKWELI I-VIEW WANAFANYA KAZI NZURI SANAAAAAA COVER INAUZA

Anonymous said...

Batuli Tena hapo ray umegusa mtima wangu

Anonymous said...

Sijui ni kipi kinachowadanya mumpe nafasi ndogo Nesh huyo dada Kwangu mimi ni level nyingine namuheshmu sana kikazi kwa kuona tu warembo hao kaka ray umeburuzwa humo

Anonymous said...

Hapa Rose pale Batuli I can't wait to see this movie The Greatest umefunika au umefikwaaaaa ona cover linatia hamu kuona umecheza na sura mpya zenye haiba Goodluck

Anonymous said...

Nampenda huyo nesh sana

Anonymous said...

One mistake one goal umeburuzwa hapo kigosi hao wanawake ni moto wa kuotea mbali sasa angeongezeka na Johari sijui pangekuwaje, napenda unavyofuata ushauri

Anonymous said...

whatsup Ray before Kanumba Death nilikuwa nachangia sana comment zake kupitia email adress yake kwa kuwa sina your private email let me teach you something here i'm very sorry kama nitakuwa nimekosea in this industry i mean film there is 12 steps yaani hatua 12 za How to be a good actor 1.The main Idea in being a good actor is expressing emotion and what you're feeling 2.Have good posture 3. Monitor your speed and volume 4.Play with emphasis 5.Put yourself in the place of your character 6. Dont brake the fouth wall 7. Make impressions from popular movie8. Think beforeyou say, so you dont pull the wholr "um" thing or stutter 9. Make body movements 10. Be aware of things that you do when you're nervous 11. Try to do actions someone would really do 12. Never let your understudy say something to you on set to make you quit kila nilichokuandikia kina ufafanuzi mpana kutokana na kipengele chake niliandika hapa mwenzio alikifanyia kazi na nimehamasika kukuandikia baada ya kuona umeamua kutumia sura mpya katika kazi zako msanii mkongwe ni yule anaebadilika kwenye kila movie mfano mkubwa angalia movie za denzel utaona director kambadilisha kuanzia hair style mpaka uchezaji your a director right? change everythng kwenye kila movie yako beside nampenda Rose Ndauka na nazikubali kazi zake vilevile nampenda sana Nesh nadhani ndio Batuli kama sikosei nampa Salute pia kwa kiwango chake wakiwa serious hawa wadada wataleta historia katika movie za kitanzania kila la kheri naitwa Samson Ndimba ni Lecture pale DSM karibuni sana kwa mwongozo hakuna anaejua siku zote watu wenye akili hujifunza wish u all the best brother.

Anonymous said...

Mmmmwaaaaaaaaaaaaaaa Nesh

Anonymous said...

Samson Ndimba nimefurahishwa na uchangiaji wako Mr,Kigosi katoka ushauri Basi huyu kaka amekupa ushauri, langu mimi Ni 1 tafuta shule tu