Friday, January 11, 2013

UZINDUZI WA KILIMO KWANZA KWADELO

Bongo Movie Unity ni jadi yetu ya kufanya kazi za jamii juzi tulikwenda Kondoa kwa ajili kufanya uzinduzi wa Kilimo kwanza uliofanyika Kijijini Kwadelo lengo na dhumuni lilikuwa kwenda kuhamasisha mpango mzima wa vijana kuacha kuja mijini na kuwekeza kwenye kilimo. na kuanzia tu Serikali ilitoa Matrekta sitini na nne kama kianzio cha mradi huo.
Tukiwasili katika kijiji cha Kwadelo, na tulipokelewa vizuri na wanakijiji wa kwadelo, hapa tukisalimia wananchi.

Wema Sepetu na Irene Uwoya nao wakitoa salamu.

Bibi akitoa tabasamu zito...


Baadhi ya matrekta yaliyotolewa na Serikali. chini ya Diwani wa Kwadelo Bwana Omary Kariati.
Picha ya pamoja ya Bongo Movie Unity.

Wema Sepetu na wanakijiji wa Kwadelo katika picha ya pamoja.

Irene Uwoya naye akipata picha safi na wanakijiji.


Tukielekea kwenye mashamba kwa ajilia ya kufanya uzinduzi rasmi.

The Greatest na JB..

Ufunguzi ukifanyika..

Tuliweza kupata picha ya pamoja na Wazee wa Kwadelo..

Jb akifanya uzinduzi kwa kuendesha Trekta.

Irene Uwoya

Single Mtambalike(Richie)..

Tukiteta jambo na Diwani Kariati

The Greatest nikipiga Trekta kama ishara ya uzinduzi.

Cheki mambo hayo ya Kilimo kwanza.

Baada ya kumalizika kwa uzinduzi tulifanya mahojiano na waandishi wa habari

Diwani Kariati naye akitoa neno kwa wanakijiji wa Kwadelo.

Jb pia akitoa hamasa kwa vijana wa Kwadelo wawe shupavu kwenye Kilmo.

Richie naye akiongea yakwake.

Mambo yakiendelea.

Tukisiliza jambo kwa umakini.

Tukielekea kwenye gari.

Uwoya akitoa pesa kwa watoto wa Kwadelo.

Tukipta dua toka kwa wazee wa Kwadelo.

8 comments:

ME UK said...

MNAFANYA VIZURI SANA BONGO MOVIE NAWAPENDA BURE....MUYASHINDE MAJARIBU YANAYOWAKATISHA TAMAAA...HUWA NAWAFWATILIA SANA JAPO MIMI BADO NI MSANII BUBU...

ME UK said...

MNYONGE MNYONGENI NA SIFA ZAKE MPENI..IRENE LOVE U GIRL WEE NI MSIKIVU SANA....

Anonymous said...

hongera saana ray,umepungua sasa umependeza saana hayo ndomambo sasa ,maana ulikuwa bonge sana,umevaa shati kali sana sasa unakuja na style nzuri zakisasa zavijana wakisasa,maana yale manguo yenu yakungaa mashati na suti zinawakakama satini mhmhmh sio kabisa ,sikuiz unavaaa mashati na jeans kali saana umenifurahisha sana mimi niko huku amerika naona nguo nzuri na mashati kama ulovaa hapoo kwakweli umependeza sana ,endelea na gym usiache umekuwa handsome zaidi hapoo ,amakweli unene unapoteza uzuri.barikiwa ,nimimi TANIKA WA USA.

Anonymous said...

HUYO SINGLE MTAMBALIKE SURA YAKE IMEKAA KINAFK NAFK

Anonymous said...

kaka jina lako sokoni linashuka kwa nini? ushauri wa bure anza kujipanga jinsi ya kutoka kwenye kiwanda kama huwezi kubadilika haswa kupunguza nyodo. kama kawaida ya wabongo hawakufagilii tena. nilishawahi kukwambia hilo hapahapa jamvini

Anonymous said...

Ray nilikutumia email niliyoambatanisha na movie storyline, vipi hiyo email umeipata? Naona kimya mkubwa, hata kunambia tu nimeipata inatosha!

Anonymous said...

Tatizo la Ray ni ushamba, hizo heleni zina sehemu zake sio kila sehemu unavaa tu. Chagua mavazi kutokakana na mazingira, unachekesha walionuna

Anonymous said...

ray jamani weka mambo mengine haya mambo ya kwadero yametuchosha na mambo shemsa ford matukio yaliyopitwa na wakati tunataka news, tulitegemea kuona habari ya kudhaminiwa mchumba wako lulu!mtunze huyo mtoto umuweke tena mjini, ukizubaa cheni anakubwaga chini maana kaonyesha ushirikiano, huyo mtoto bado ni mbichi achana na hao manungayembe