Thursday, February 21, 2013

KUPA


Mwanachama mkeleketwa wa Bongo Movie Unit ameamua kuondokana na ukapera kwa kuamua kutafuta jiko la kuliweka ndani, juzi kati timu yote ya Bongo Movie Unit ilimpa tafu mwanachama huyo kwa kwenda ukweni kwa ajili ya kutoa mali ili taratibu zingine za ndoa ziendelea pata habari kamili.

Tukiwa tunawasili maeneo ya Mbezi ambapo mrembo huyo anaishi kwa ajili ya kukamilisha zoezi la kutoa posa..


Cath Rupia na Mayasa Mrisho nao walikuwepo kumpa kamapani mdogo wao Kupa kwa jambo zuri alioliamua kulifanya..


Tukijadili machache kabla ya kuingia ndani..

Picha ya pamoja na Bwana Harusi mtarajiwa bwana Kupa wa kulia aliyevalia shati jeupe..


Baba Mdogo wa Bi Harusi mtarajiwa...

Wolper na Chiki Mchoma wakisikiliza neno toka kwa Baba Mdogo wa Bibi Harusi mtarajiwa..

Baba Mdogo akiendelea kuongea machache kabla ya zoezi la kutoa posa kufika..

Mery Mawigi katika pozi...

Ulifika muda wa kutoa posa..

Tukitoa posa...

Baada ya zoezi kukamilika Chiki naye aliongea yake machache..

  Chidi..

                                       
Warembo wa Bongo Movie Unit wakipta picha ya pamoja na Bibi Harusi mtarajiwa wa katikati aliyevalia gauni la blue..


Bi Harusi mtarajiwa akitoa machozi ya furaha..


Muda wa misosi ulifika..

Tukipata chakula kwa pamoja na jambo ili la heri lilipokwisha na taratibu zingine kuendelea..1 comment:

Anonymous said...

Poleni na kazi