Thursday, February 21, 2013

WAVES OF SORROW

Waves Of Sorrow yaingia mtaani kesho tarehe 22/02/2013. Pata nakara yako bila kukosa.

12 comments:

Anonymous said...

Kuitupa blog yako ni kupoteza wadau, kuwa makini na hili nimelipenda cover na kwa hizo sura 2 za mauzo film utakuwa balaa big up Rose na Batuli

Anonymous said...

Kaka nimenunua hii movie ni balaa sana, kwanini hukuifanyia uzinduzi? Ipo tofauti na movie zako zote mpe mkono wa pongezi Miriam (Batuli) kwakweli ameitendea haki. Mr,Joseph from Arusha

Anonymous said...

By my side I'm not ur fan, ila hizo sura 2 za hao mastaa wa kike ndio zimenivutia, nimeiangalia movie hii kwa ufupi unaweza kulia kama mtoto, da Miriam anajua anachofanya jivunie kufanya nae kazi salam nyingi kwao hata rose amefanya kazi nzuri sana kwa Mara 1 nakuunga mkono ukiebdelea hivi utampita aliyekuwa swahiba wako story imekaa vyema na mazingira yetu ya kitanzania

Anonymous said...

Personality is the most important thing to an actress's success. Good job the greatest umechagua nice couples nadhani hawa waigizaji wakijitambua kiakili wao ni kina nani wanaweza kuishangaza Tanzania hapa nawaongelea Rose & Batuli Mimi sio muangaliaji sana wa movie za hapa kwetu ila kwa hii movie nimepata idea flani hivi kuwa kuna hana ya kuwa mzalendo Ktk kazi za Tanzania kwa mengi zaidi tuwasiliane kwa fredngoma@hotmail.com nitabeba copy nyingi kwa akili ya kupeleka kwa watanzania Norway. Naomba uweke direction hapa kwa blog yako ni jinsi gani tunaweza kufika kwa ofisi yako. I wish u all the best.

Anonymous said...

Its a nice movie, nimefurahi sana kuona kitu kipya kutoka kwako, I mean main character ni Miriam (da batuli)film zako nyingi main huwa ww mwenyewe umeuanza mwaka vizuri Mr,ray congratulations another point mpe big up Miriam (da batuli) hana mpinzani

Anonymous said...

0754300311 ni namba yangu ya voda naomba wape wale wapuuzi {jack wolper, aunt ezekiel, irene uwoya n.k} hii movie and then flash me kwahiyo # nitatuma hela, wape bure waone hawa Wadada wamefanya nini rj hakuna movie kama hii 2013 mmekuwa wapya nawapa mkono wa pongezi rj wapeni zawadi Rose na Batuli wamevaa uhusika 100% pia mpe mkono wa pongezi maua. Uncle H.M

Anonymous said...

Jamani movie inasikitisha hii, nzuri sana batuli,ray,na rose kwakweli kazi nzuri.

Anonymous said...

Ray wa nnje tutaipataje??nimevutiwa na comment so would like to get it..do something about that.mimi mdau wa London-UK.nasubiri jibu

Anonymous said...

Kuna umaarufu wa kazi halafu kuna umaarufu kunuka. Batuli & rose wanaumaarufu wa kazi nawapa 5 sana kwa film hii

ME UK said...

ray tujibu wa nje like uk tutaipataje?

Unknown said...

hii filam ya waves of sorrow iko poa sana na pia nimependa story yake ni story ambayo co kama nyingi zilizozoeleka pia starting point yake ni ya ukweli sana.kingine kizuri zaidi ni ujio mwingine wa koreta.BIG UP MZAZI RAY THE GREATEST.

Anonymous said...

Kuna watu wanajua wanachokifanya natoa pongezi kwa batuli na rose ndauka movie nzuri sana karibuni mwanza kitu kingine naomba kuona batuli akicheza kama mwanamke mtukutu au changudoa nataka kumuona kivingine film zake nyingi analia sana muwekeni kwenye movie za aina nyingine tuone tofauti yake.