Saturday, February 23, 2013

YANGA 1 AZAM 0


 Mashabiki wa yanga furaha zikiwatawala baada ya kuwatandika wana ramba ramba..

 Furaha zilitawala uwanjani.

 Baba Mage(Rado) na Jimmy Mafufu...

 The Greatest  nikiwapongeza vijana wangu wa Yanga...

Nini tena jamaniii...

 Yanga rahaa jamani

Amani ilitawala.

2 comments:

emmanuel matutu said...

hongereni yanga..
MBONA HUJAZUNGUMZIA NEW LOOK YAKO
unasubili magazeti yauze kwanza...
HII NDO KAZI YA BLOG SASA
SASAbadilisha na mavazi kaka...

Anonymous said...

ray mbona umepungua gafla sana?ni diet au kunatatizo?