Wednesday, February 27, 2013

OMOTOLA AFANYA BIRTHDAY PART YA KUSHITUKIZA...

 With a heart full of warmth and appreciation he hugged everyone one after the other after which she asked for permission to go freshen up for the party. Banky W eager to serenade the actress
 Ulifika mda wa kukata keki. Omotola akiwa  na furaha kubwa sana ni kitu ambacho kilikuwa kama surprised kwa Omotola.

Bata zikiendelea..

3 comments:

Anonymous said...

Ona alivyovaa kiadabu sio birthdy za mastaa wetu wanavaa ovyo washamba sana hawa wakina wema.

Ally said...

Habari ndugu Ray,
Nilikuwa naskia kwa watu tu kwamba wewe Ray unadharau sana, ni jeuri na kiburi! Kwakweli niyapuuza, na nilidhani wanakuonea choyo sababu ya mafanikio yako. Lakini sasa, naanza kupata wasi wasi, huenda ni kweli! Unadharau sana.

Mimi niliacha kazi na shughuli zangu zote, nikaamuwa kuandaa storyline, nikaandika storyline na kwa mapenzi makubwa nikakutumia wewe kwa njia ya email ili tushee idea!

Kiungwana, hata kama hiyo idea haikuwa nzuri, au hukuipenda au haifai ni mbovu sana (kupita kiasi), bado kama muungwana ulipaswa angalau tu, unambie " Ok nimeipata" au sawa lakini idea hii siihitaji au jibu linalofanana na hayo, just feedback! Haina haja ya kunipa ahsante, sababu hukuniomba! Lakini ulipaswa kunipa feedback sababu umeweka email ili sisi wadau tuwasiliane na wewe!

Najuwa na nna hakika email na attachement yake uliipata! Lakini kwa dharau zako, jeuri na ufedhuli ukaamuwa kunipotezea. Ahsante kaka! Nimejifunza kitu kutoka kwako, endelea hivyo hivyo!

Mimi nilie kutumia storyline kuhusu NDORORO VIRUS (au 2020)!

Anonymous said...

Hii inaitwa laana Ray badikilika