Thursday, February 21, 2013

HAPPY BIRTHDAY BATULI

Mrembo wa kiwanda cha sinema Tanzania Nesh Yusuph (LISA) aliangusha bonge la party katika Hotel ya Shamoll iliypo mitaa ya Sinza Lion katika kusheherekea siku yake ya kuzaliwa miaka kapuni kama kawaida ya wasanii wengi kukataa kutaja miaka yao, warembo na magentleman walikuwa wakumwaga wacha tuone mambo yalivyokuwa matamu..

Umati mkubwa uliudhuria Birthday ya Lisa katika Hotel ya Shamoll nikiwa pamoja  na Jb hapo tukitakari jambo kama mnavyocheki wenyewe wadau..

Mayasa Mrisho katika pozi..


Mariam Ismail mbona umenuna hivyo nani kakuudhi..

JB na The Greatest..

Pozii........... Inno Bchard na Shamsa Ford..

Kupa na Mwalubadu..

Mambo yalikuwa si mchezo siku hiyo watu walikunywa na kula bata saaaaaana 

Johari na Mtitu William.

Recho akiwa na Mke wa William Mtitu katika pozi la kibantu..

Kitasa na Simpe The Boy..

Johari na Batuli nilisikia fununu kwamba wanakaundugu hawa madada, wadau hivyo ndivyo mambo yalivyokuwa..

4 comments:

Anonymous said...

nimefulai umerudi hewani, jamani wiki 2, bado ya uzinduzi wa wema nilikuona kaka jana. alafu unajitaidi mazoezi naona umepungua. irene wa magomeni

Anonymous said...

Nampenda batuli mpaka basi kama wanaundugu na johari itakuwa sio mchezo wamebarikiwa kipaji.

Anonymous said...

Batuli she 's nice girl kwakweli

SA said...

undugu na johari c kweli hatakufanania kwa mbali hakuna kwanzabatuli very cute alafu ni mwislaam