Thursday, February 21, 2013

UZINDUZI WA BROKEN FAMILY

Baada ya kucheza sinema nyingi za makampuni mbalimbali ndugu Adam Philip Kuambiana kama mnakumbuka vizuri wadau wa tasnia filamu huyu bwana alicheza vizuri sana sinema ya Fake Pastor na ndio mzigo uliomtambulisha vizuri kwenye game, Sasa hivi anakuja na mzigo wake binafsi unaokwenda kwa jina la Broken Family. Ijumaa iliyopita aliwaita wadau kadhaa ili waweze kutoa maoni yao kabla mzigo huo kupelekwa kwa walaji. embu tucheki mambo yalivyokuwa..

Balozi wa Malysia Bwana Sisco Mtiro aliyevalia tisheti ya kijivu ndiye aliyefungua rasmi shughuli hiyo..

Baadhi ya wanachama wa Bongo Movie Unit..

Maua ya Bongo Movie Unit pia walipata fursa ya kuwepo katika tukio ilo.

The Greatest na Shamsa Ford..

Wadau wa RJ Company bila kukosa Chime Chande wa kulia na Inno Bachard.

 Cloud 112 akiwa na Rado(Baba Mage)..

 Richie na Amisa..

 Ratiba  zikiendelea..

 Mmoja wa wasanii walioigiza kwenye sinema Broken Family(Shamsa Ford) wa kushoto

Mambo yalianza na wadau wakaitizama na kutoa maoni mbalimbali na producer wa sinema bwana Adam kusema kwamba ataenda kufanya marekebisho ni jambo jema ili alilolifanya ndugu uetu ni mfano wa kuigwa wasanii wenzangu.

Adam Philip Kuambiana katika pozi..

No comments: