Thursday, February 21, 2013

UZINDUZI WA OFISI YA WEMA SEPETU

Haitmaye mwanadada ambaye kwa sasa anatisha kwenye game pamoja na mafanikio makubwa anastahili sifa na pongezi nyingi sana kwa kuzindua ofisi yake kubwa sana ambayo kwakeli ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wengine wa kike aliwalika wasanii wenzake baadhi na waandishi wa habari kwa ajilia ya kuwaatambulisha ofisi yake hiyo Hongera sana..


Wema Sepetu akiongea machache mbele ya waandishi wa habari pamoja na wadau walioalikwa

Dotinata wa kulia akiwa na Mama Mlezi wa Bongo Movie Unit Mama Rolaa Masai wakimsikiliza Wema kwa umakini mkubwa..

Wema pamoja na Mama yake Mzazi..

 Martin Kadinda Meneja wa Wema Sepetu..


Wema Sepetu

Muda wa maswali na majibu ulifika kwa waandishi mbalimbali wa habari..

Hiki ni chumba cha Editing.

Jikoni

Frank Andrew(Kibonge) Editor wa Endless Film..

Tin Daddy bila kukosa..

Waandishi wa vyombo vya habari mbalimbali wakipata matukio mbalimbali


The Greatest nikiwa nimeenda kumpa sapoti Dada Wema Sepetu..

Akijibu maswali ya waandishi wa habari..

JB naye alikuwepo umefika muda ya wewe pia kutupeleka ofisini kwako

Cloud 112

Millady Hayo mtangazaji wa Clouds Fm kipindi cha Emprifaya aliyevalia kofia..


Muda wa mahojiano na wasanii mbalimbali ulifika pia hapa Jb akiulizwa maswali kuhusu mtizamo wake kuhusu ofisi ya Wema ..

Cloud akiulizwa maswali na Zamaradi Mketema.


Mama Sepetu akiongea mchache juu ya Mwanae kipenzi.Mama na Mwana.

Mama Rolaa na Wema Sepetu..

Millady Ayo na Martin Kadinda.

15 comments:

Anonymous said...

RAY UMEPUNGUA UMEPENDEZA SN SN SN MMMWAAAH

Anonymous said...

HONGERA SANA Wema ofisi nzuri sana....

Anonymous said...

siwaoni wadada wa bongo muvi vp kwanini sio vizuri

Anonymous said...

siwaoni wadada wa bongo muvi vp kwanini sio vizuri

Anonymous said...

wema Mungu azidi kukubariki Ameen

Anonymous said...

Kweli anastahili sifa, big up wema love uuuuuuuuuu so much. napenda wajina Irene aige mfano wa wema kwasababu naye ni mkali. me irene sozigwa

Anonymous said...

its a beautiful office WEMA HONGERA SANA najua wengi wanakuonea wivu we songa mbele kwa umri wako katika sanaa then kumiliki hiyo office nyumba, magari ya kifahari duuu UMETISHA MDADA

Anonymous said...

BIG UP YOURSELF binti Sepetu

Anonymous said...

HONGERA HONGERA HONGERA HONGERA HONGERA HONGERA HONGERA HONGERA HONGERA HONGERA HONGERA HONGERA HONGERA

W

E

M

AAnonymous said...

hongera zake kwa ofisi nzuri..umetisha Wema

Anonymous said...

hongera zake kwa ofisi nzuri..umetisha Wema

Anonymous said...

hongera zake kwa ofisi nzuri..umetisha Wema

Anonymous said...

Congrats wema sepetu

Anonymous said...

Congra wema keep it up

Unknown said...

Duuuu nice wema.nimependa......