Saturday, February 4, 2012

MAIMATHA AFUNGA PINGU ZA MAISHA

 Mtangazaji maarufu wa TBC television ya taifa Maimatha wa Jesse juzi alifunga pingu za maisha na kutoka katika chama cha ukapera na kuingia katika maisha ya ndoa sherehe iliofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Vip, Tunawatakia maisha mema katika maisha yenu mapya muwe wavumilivu katika shida na raha katika kuijenga familia yenu Mungu yuko nyuma yenu katika ndoa yenu hivyo msimuweke kando siku zenu zote za maisha yenu

 Wageni waalikwa wakifuatilia jambo lililokuwalikiendelea siku hiyo iliojaa mastaa kibao wa nchini Tanzania

 Flowerrrrrrrrs

 Wakati wa burudani ulifika na mwanamuziki wa taarabu Dada yetu Hadija 
Kopa alitumbuiza katika harusi na kuleta burudani ya aina yake

 Penny na Kajala Masanja kulia 

 Penny

 Kajala

 Sajenti

 Wamependeza jamani

 Mainda

 Hadija Kopa akifanya mambo yake

 Hatariiiiii mwanamke nyonga shepu majaliwa

 Flower

 Kama kawaida ya madada zetu bize na simu 

 Picha ya kumbukumbu

Pamoja tunawakilisha

2 comments:

Tinah said...

kila la heri tunakutakia maimatha, mungu akuongoze katika ndoa yako iwe mfano wa kuigwa hasa kwa mastaa wetu hawa wa bongo ambao ndoa zao huwa hazidumu!NAKUTAKIA KILA LA HERI MAMAAA

Anonymous said...

Naona mcheche wa Camera mpya blaza. Shots za Maimatha hazipo vizuri