Thursday, February 2, 2012

RESPECT OF NYERERE

 Kijana mdogo anayekuja kwa kasi katika tasinia ya filamu nchini Tanzania 
Steven Mengere(Nyerere).
Hanakuja na mzigo mpya unaoitwa Respect Of Nyerere ni story inayozungumzia maisha ya mwalimu Nyerere na hapa wakiwa na mama Maria Nyerere wakipata mawaidha kabla ya kuanza shooting uko Butihama

 Wakiendelea kupata mawili machache yaliyokuwa yakifanywa na Mwalimu Nyerere enzi za uhai wake.

 Picha ya kumbukumbu pamoja na mama Maria Nyerere.

 Hapa wakiwa katika kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

 Kazi imeanza!

 Cheki mwenyewe kijana alivyokuwa na njaa pamoja na shida


 Rechel na Davina kulia

 Vijana wakiwa kazini kuhakikisha kuwa hawakosei wanachokifanya maana mtu wanaomcheza alikuwa ni mtu mkubwa sana kataka nchi hii

 Nyerere akiwa na Ally Yakuti mwandishi mkubwa script hapa nchini Tanzania

 Hapa Mwalimu Nyerere akiwa na waanndishi wa habari shambani kwake


 Mainda pamoja na Saguda Gorge, hawa ndio maproduction manager wa kampuni ya Nyerere the Power

 Hapa Mwalimu Nyerere akiwa anacheza bao, Wadau hii ni sehemu kubwa ya Baba wa Taifa alipokuwa akichezea bao

 Mainda akiwa kazini kama kawaida yake uwa hafanyi makosa akiwa kazini

 Steve Nyerere katika pozi

 Ally Yakuti

 On Set

 Mambo yakipamba moto

Hatariiiiiiiiii vijana wana njaa sana cheki huyo mwandishi wa habari bwana Juma Chikoka akifanya vitu vyake

13 comments:

Anonymous said...

Hiyo miwani imekuwa mikubwa imeondoa uhalisia wa Nyerere. otherwise kazi nzuri

Anonymous said...

Jamani you guys your doing a great job,....Kwa ushauri hiyo picha ya pamoja na Mama Nyerere, Huyu kijana anayeact Mwalimu nyerere angevaa nguo za kiheshima na more prezentable, siyo tishet na Sandoz...Hiyo ni picha ya kihistoria Please. You should consider mambo kama hayo mkichukua picha.

Anonymous said...

wewe mpumbavu sana ray , wenzio wakifanya shoot wana njaaa ila shott zako unakuwa huna njaaa, acha maneno yako haya kama demu, ndo maana hupatani na kanumba kwa tabia zako za kike.. pumbavu sana we

Anonymous said...

Safi

raythegreatest2006 said...

Ngoja nijibu mdau uliyenitukana kwanza nashukuru sana, matusi kwangu si kitu kigeni kwani mpaka hapa nilipofika nishatukanwa sana na hizi ndio gharama za ustaa ila nilitaka kukufahimisha kuwa sikuwa na maana ambayo umeitafsiri wewe maana yangu ilikuwa ni hii njaa sio maana ya umasikini bali nilikuwa namaanisha kuwa kijana alivyokuwa makini na kazi na ndio maana nikasema cheki njaa hiyo hizo ni lugha za kisanii mdau katika njia ya kusifia sio ulivoelewa wewe kama nimemdharau pole sana lakini ulikuwa ujui namaanisha nini? waswahili wanasema hivi usilolijua na sawa usku wa giza

Anonymous said...

safi sana Ray ulivyo mjibu manake hata hajui umemaanisha nn anatomboka tu ,,Ray wewe uko juu

Anonymous said...

steve kazi nzuri, jaribu ku2pia k2 cha kaunda suti uta2peleka enzi za mwalimu bro

Anonymous said...

halafu wewe mdau uliyemtukana Ray ujue umemtukana mama yako, dada zako, shangazi yako mke au girl friend wako. What do you mean mambo ya kike ina maana wanawake ndo hawana akili au ndo wanatukana wenzao? Kama Ray angekuwa na nia ya Kuwatukana hao wasanii wenzake zdhani kama angeweka picha zao kwenye blog yake. Ni afadhali ungemwuliza anamaanisha nini kuliko ulivyomtukana halafu ukatutukana wanawake wote. WILL YOU PLEASE HAVE A RESPECT TO WOMEN COZ NDO WAMEKUFIKISHA HAPO ULIPO. BEFORE HUJASEMA MAMBO YA KIDEMU JARIBU KUMKUMBUKA MAMA YAKO THEN ANGALIA THAMANI YAKE KWAKO HALAFU ULINGANISHE NA HILO TUSI, JE WANAWAKE TUNADESERVE? UMENIKWAZA KWA KWELI MIMI NI MWANAMKE.

Anonymous said...

Steve maeneo mengine jaribu kuvaa kaunda suti, baba wa Taifa alipenda sana kaunda suti, tena nyingi hazikuwa na colar( ukosi) shingoni. Itakuwa nzuri sana kama utatukumbusha huo uhalisia maana mashati ya batic hakuyavaa sana.
ni hayo tu.

Architect said...

Sure! Hata mimi nilielewa wana njaa! au uchu wa kupiga kazi...sio njaa za tumboni.Mdau amekunyaka vibaya! Pole ray

Anonymous said...

Ray achana na huyo mjinga yeye ndo haelewi chochote.Big up 2 u.

kokusimah said...

siku nyingine kaka unaiweka kwenye mabano ili tuelewe vizuri hata mimi nilikuwa sijaelewa mpaka nilipo fikia koment yako, tofauti na hapo kazi nzuri.

Anonymous said...

Kazi nzuri ila picha zinakuangusha, kama hizo za harusi ya Maimartha cjui mpigaji alikua anatetemeka nini, I dont recommend them to be posted here, inashusha hadhi ya kazi yako.