Tuesday, February 21, 2012

VIFAA VIPYA VYA RJ VYAANZA KUFANYA KAZI

 Kama kawaida wadau nilisema kuwa mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko kwa kampuni yako ya RJ company, Tutafanya mambo makubwa katika tasnia yetu ya filamu nilisafiri na kushuka na vifaa vya nguvu hapa ni kazi mambo mengine no watu watasema kwa kazi tu, wadau tegemeeni mambo mapya katika mzigo huu mpya unaopikwa na vijana wako wanaofanya kazi kwa kujituma.

 Hii ni Crane. hiki kifaa kinatumika mara nyingi kwa scene za nje na za ndani mtaona wenyewe tofauti kubwa wala nisiseme mengi

 Cheki mwenyewe mimi sisemi


 Mambo yakiendelea ,,,,,,,,

 Camera ikiwa juu kabisa ili kupata shorts nzuri

 Mambo mengine haya jamani hili ni Dolly mara nyingi utumiwa katika shorts za kutembea na kuleta radha tofauti kabisa

 Vijana kazini

 Hii ni monitor kwa ajili ya kuhakiki picha kama iko sawa mara nyingi utumia kwa nje ndani huwa natumia tv

 ON SET

 Haya kazi nyingine hiyo mimi ufanyaga vitu kwa vitendo na sio maneno hiki kifaa kinaitwa Steady Cam matumizi yake katika scene za kutembea barabarani, kukimbia na mambo mengineyo mengi

 Cheki watu wailvyokuwa makini

 Mambo hayo

 Baba na Mwana, humu ndani ni hatari sana

 Hatari sana


12 comments:

Anonymous said...

Ray me nakukubali sana kwa kazi nzuri unazozifanya. Mungu akubariki na hongera sana.... lkn siku hizi unachelewa sana ku update blog yako, just emagine toka tar 4 up to jana ndo umeupdate. Jitahidi ku update mapema bro.

Anonymous said...

baby mi naomba uwe unavaa hivi yani hapa ulipo na mwanao km ulivosema umependeza sn shati la ukwee,raba,jeans yani vimeka mwilini na sio yale mashati ua kumeremeta au suti za mauamaua sijui mistari piga suti plain .

Albert said...

Afadhali kidogo kwa kuwa umekumbuka kutublogisha. Naona mambo yanazidi kuwa mazuri na kwa kasi hii naamini hata wa Nigeria tutawafikia. Cha msingi gtu tuache maneno-maneno tufanye kazi!
Sisi mashabiki wenu hata siku moja hatutawaangusha.
Albert, Australia

khadija said...

upo juuuuuuuuuuuu kaka hakunaga kama wewe.

Anonymous said...

wow hongera sana and Big up.

Anonymous said...

kweli kabisa anonymous wa feb 22 2:30 am, yale masuti yako sijui mekundu sijui ya njano hayakupendezi hata ray, ur such handsome young man unahitaji hizo pamba za jeans n tshirt or jeans na shati kali, ndo unanoga, sasa kutuvalia yale masuti unaniuzigi haujui tu, naomba uzingatie ushauri plsssssssss!!
ur fan!

Anonymous said...

hivi wewe ray ni lazima kila movie uwepo na wewe unaigiza ?

Anonymous said...

ray napenda sana film zako wewe ni wa ukweeeeee,,hongera sana ,,mdau HOLLAND

Anonymous said...

hivi huyo lulu anamimba mbona tumbo kubwa hivi jamani au hao mapombe mtoto hata miaka 20 hana kachoka kabisa

Anonymous said...

nakukubali sana hakuna kama wewe ni tz huo ndio ukweli kamili banaaaa

Anonymous said...

mbona mnapenda kuwaambia wenzenu wamechoka ooo sijui wanavaa masuti ya rangi rangi mingao guys you need exposure.

Anonymous said...

kuna muda namuangalia lulu namuonea huruma ila kuna wakati naona ni mtoto ambae ni pasua kichwa,sasa hayo mavaz gan jaman afu na wazaz wake wanamwangalia tu!anywaw Mungu amsamehe bure maana hakuna aliyemkamilifu!