Monday, April 23, 2012

HONGERA SAJUKI NA WASTARA

  Familia husatawishwa na upendo kati ya baba na mama, na mtoto huwa ni chachu ya furaha katika nyumba
    Hongera sana Sajuki na Wastara, Mungu awape Maisha marefu na muishi kwa upendo na furaha

 Huyu ndiye Mama mtoto(Wastara) akiwa na mwanae na baadhi ya watoto waliohudhuria sherehe hiyo

 Sajuki ambaye ndiye baba wa mtoto akimwangalia mwanawe kwa furaha.

 Irene Uwoya ni mmoja ya wasanii maarufu Tanzania walioweza kufika katika tukio hilo.

 Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakiwa katika tafrija hiyo.

 Shughuli za kumwangalia mtoto zikiwa zinaendelea

 Recho Haule.

 Kupa mwenye fulana nyekundu akiwa anafuatilia kwa umakini wakati shughuli zikiwa zinaendelea.

 Wasanii mbalimbali.

 Sajuki wa katikati akiwa na wasanii baadhi wa Bongo Movie.

Sajuki akiwa na wana familia wa Bongo Movie.

21 comments:

Anonymous said...

hongera kwa wanandoa hao...mtoto mzuri..... ila hiyo hirizi mhhhhhh!!!!!

hilda j ca said...

NI VIZURI KUONYESHANA UPENDO KATIKA SHIDA NA RAHA. HAWA NI KATI YA WANANDOA WADOGO AMBAO WAMEKUMBANA NA MISUKOSUKO MINGI KIMAISHA BILA KUYUMBA. NI MFANO WA KUIGWA .KWA WALE WANAOFIKIRI NDOA NI MATANUZI TU WANAWEZA KUCHUKUA SOMO ZURI KWA WANANDOA HAWA. NAWAPENDA. NAAMINI MUNGU NI MUWEZA WA YOTE. GOD IS MERCIFUL FATHER AND THE SOURCE OF ALL COMFORT. HE COMFORTS US IN ALL OUR TROUBLES SO THAT WE CAN COMFORT OTHERS. WHEN THEY ARE TROUBLED WE WILL BE ABLE TO GIVE THEM THE SAME COMFORT GOD HAS GIVING US.

Anonymous said...

Hongera sajuki na wastara,n' pole sajuki kwa ugonjwa unaokusumbua.tunakuombea mungu akuponye

Anonymous said...

masikini sajuki, na wastara, hongereni lkn jamani muoneeni huruma sajuki wana bongo movie msaidie apate nafuu aendelee kuwa na furaha katika familia yake, tatizo la wabongo ukishakufa ndio watakuchangieni jamani msaidieni sajuki anatia huruma, mungu atamuafu inshallah

Anonymous said...

hongereni sana,mtoto mzuri,
jamani sajuki kweli anaumwa,pole jamani

Anonymous said...

HUYO KWELI NI SAJUKI AU NAMFANANISHA AMA KWELI KABLA HUJAFA HUJAUMBIKA

Anonymous said...

IRENE ONA NDOA ZA WEZAKO HIYO NDIO NDOA BWANA SIO WEWE MALAYA USIYE NA HAYA UNATAKA KUOLEWA KUKAA NA MUME HUWEZI

Anonymous said...

Sajuki bwana Yesu akuponye jamani.Amina

Esther kanda ya ziwa. said...

Mungu ampe afya njema Sajuki jamani.

Anonymous said...

we nyoko hapo juu, umeambiwa hii ni wall ya irene au sajuki? kakojoe ulale nyoko we!

Anonymous said...

Hongera Sana Sajuki na Wastara,mtoto mzurii, pia hongera wana bongo movie kwa umoja mlio nao, namuomba Mungu akusaidie Sajuki upone ufurahie maisha ya Familia...

Anonymous said...

hahaha jamani eti irene kataka kulewa lakini hawezi kukaaa na mume,,pole sana mume wa wastra mungu atakuponyesha inshallah

kay said...

hongereni bwana na bi sajuki,pia pole sajuki inshaallah mwenyezi mungu atakuafu,wastara amekuwa mama huku unauguza,usisikitike sana ukamkufuru allah,ndio maana tumeitwa bidaadam yote hayo kwa ajili yetu sisi,sawa dada angu,sema alhamdullillah rabbil allamin.

Anonymous said...

mama krish sijui macho yangu yanaona sawa,pete ya ndoa sasa hivi huna,kulikoni?

Anonymous said...

JAMANI MSAIDIENI MWENZENU ANAUMWA CHONDE CHONDE NAAMINI MKIKAA NYIE WOTE YAANI BONGO MOVIE NA KUTAFAKARI JINSI GANI YA KUMSAIDIA SAJUKI MNAWEZA MSAIDIENI APATE MATIBABU MAPEMA

Anonymous said...

Jamii inapaswa kutambua ndoa ni kitu cha uvumilivu na ni kitu cha kutoka moyoni kabisa, tazama Sajuki alivyomvumilia Wastara alipopata ulemavu hadi wakaoana, leo hii ni zamu ya Wastara kumvumilia Sajuki na ugonjwa wake. Mungu anatuonyesha kitu hapo na historia ya maisha yao hata kama ni filamu basi ingeuza nakala kibao kwa waangaliaji makini. Naomba Bongo Movie mkicheza mechi yenu na Twiga muichangie familia hii ya Sajuki ili jamaa aweze kutibiwa na kupona kabisa. Najua mechi yenu ina manufaa hivyo wekeni utu mbele jamaa apone. Ray usikubali kuachia comment zinazomdhalilisha mtu, kuna jamaa hapo juu amemtaja Irene kama malaya, si vizuri kwani hana uhakika na jambo hilo pia hajui maisha ya mastaa yalivyo. Sisi ni watu kama watu wengine tuna maisha yetu binafsi nje ya kazi zinazotupa umaarufu hivyo kuna vitu vinaingiliana. Wewe unayemsema mwenzio malaya, umeyatazama maisha yako au unamshutumu mwenzio tu? Siku njema

Anonymous said...

we ray! umeanika tu picha hapa! we umechanga??? hebu wekeni kamati kama ile mliyochakachua mpaka wengine mkatangaza na ndoa! mchangieni mwenzenu apate matibabu! siyo mnasubiri kinuke ndio mjitie viherehere kwenye kuchangia! mfyuuuuuuuuuuu! HONGERENI MWAYA SAJUKI NA WASTARA! MUNGU ATAWASAIDIA NA SAJUKI MTEGEMEE MUUMBA WAKO, ATAKUPONYA!

Anonymous said...

Hongera kwa Sajuki na famila yake kwa ujumla kwa kupata mtoto.

ODETHA PAIS said...

NDOA HII IMEBALIKIWA NA MUNGU WASTARA NA SAJUKI MUNGU AWABARIKI ZAID

ODETHA PAIS said...

NDOA HII IMEBALIKIWA NA MUNGU WASTARA NA SAJUKI MUNGU AWABARIKI ZAID

Anonymous said...

RIP Sajuki