Friday, April 13, 2012

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU STEVEN KANUMBA(THE GREAT)

  Kila binadamu aliyepewa pumzi kutoka kwa mungu aliyeumba mbingu na ardhi basi nafsi yake itaonja umauti.Kanumba ametangulia na sisi tuko nyuma yako tulikupenda lakini mungu alikupenda zaidi,Hapa ni viwanja vya leaders club ndipo alipopewa heshima ya mwisho marehemu Steven Kanumba na wasanii wenzake wa Bongo Movie na viongozi wa nchi yetu ya Tanzania. Mungu ailaze roho ya marehemu maari pema peponi Amina

 Mashabiki wa marehemu Steven Kanumba wakiendelea kumiminika.

Muheshimiwa Sugu mbunge wa Mbeya mjini akiwasili kwenye viwanja vya leaders tayari kwa kumuaga marehemu Steven  

Ben Branco(aliyevaa t sheti nyeupe) miongoni waliocheza Filamu nyingi za marehemu  


 Camera man/Editor wa Kanumba The Great akiojiwa juu ya msiba aliyekuwa bosi wake.

 Maojiano yakiendelea.

Mheshimiwa Nchimbi akiwa na Riz One Kikwete(katikati)
na Iddi Azani Mbunge wa Kinondoni wakisubili mwili wa marehumu kuwasili 

 Mheshimiwa Nchimbi akiongea jambo fulani.

 Umati mkubwa ulioudhuria.

Hemedy Sulemani.

 Monalisa ni msanii aliyekuwa anamkubari marehemu.

 Rose Ndauka.


Mwili wa marehemu ukiwasili kwenye viwanja vya leaders.

Mama wa marehemu akilia kwa uchungu baada ya mwili wa marehemu ulipowasili.

 The Greatest akiwa makini kusikiliza kinachoendelea.

 Mashabiki wa marehemu wakiwa kwenye majozi makubwa.

The Greatest akiwa makini kufuatilia msiba.

 Baadhi ya wana kamati wakiwa kwenye majozi.

 Wasanii waliobeba mwili wa marehemu.

Mama wa marehemu wa kwanza kushoto akiwa na baadhi ndugu wa marehemu.

Richie na JB wakiteta.

 Ratiba zikiendeleya.

Baada ya eshima ya mwisho mwili wa marehemu uliondoka viwanja vya leaders na kuelekea makaburini.

 Gari la maiti likielekea makaburini.

 Hii ndiyo nyumba ya milele ya marehemu.

Hii ndo safari ya mwisho ya marehemu Steven Kanumba.

65 comments:

Anonymous said...

He!bado sijaamini kwa macho yangu,yaani haija nikaa kichwani kabisaaa.Ray pole sana kwa yote.na mambo ya watu wapotezee wanao kutukakana.

Anonymous said...

acha individualism wewe kila kitu the greatest umefanya ina maana hao wenzako magogo au? jitahidi sana kujali wenzio otherwise watu wataendelea kukuchukia .

JAMILA said...

POLE SANA RAY,MUNGU ATAKUTIA NGUVU KTK KIPINDI HIKI KIGUMU.

Anonymous said...

RIP Kanumba!!!!!!!pole Ray!

Anonymous said...

tunajaribu kusahau we ndo unaweka picha za msiba shem on you

Anonymous said...

WEWE ACHANA NA MAZISHI YA KANUMBA SASA DUUH!MUACHE MWENZIO APUMZIKE UMESAHAU ULE WIMBO WA ZABURI ALIOUTOA?AU HUJAUSIKILIZA?UJUMBE KWAKO NA WENGINE....WENYE CHUKI BINAFSI WOOTE

judy ca said...

Naifikiria siku ya kufa kwangu ikifika. Ndugu marafiki mlioishi kwa upendo wanakulilia umenyamaza kimya.Wapo watakaonenewa mabaya kwa ajili yako na kushutumiwa lakini hutaweza kujibu ili kuwatetea. Mama na ndugu zako na wote waliokupenda sana watalia sana na kuzimia ila we hutawajibu kitu wala kuwapa neno la faraja. Wapenzi uhai tulio nao ni zawadi inayotakiwa kutunzwa mno ni kama tumeazimwa na mtu akikuazima kitu mda wowote anaweza kukitaka.tukumbuke kwamba sis ni wasafiri daima.

Anonymous said...

KAKA RAY NAKUOMBA SNA UBADILIKE USIWE MMNAFSI NA MUNGU ATAKUSAIDIA. UTAONA BARAKA ZITAKAZO MIMINIKA KWAKO.

Anonymous said...

Judi ca ume nitouch mno na message yako hakika msiba wa Kanumba utugungue machi binadamu siku zote hii pumzi si kitu cha kuringia kabisa tutafanya yote lakini mwenye haki na dhamana nayo akiihitaji dakika anaichukua. basi na tujifunze kuishi kwa upendo na amani miongoni mwetu daima chuki haijengi tutende yaliyo mema tukiishi kwa mifano yake

Anonymous said...

Hata hivyo pole, umejitahidi pamoja na maneno ya watu, move on

Jacob Malihoja said...

RAY Kaza Moyo, binafsi naamini Umeumia kama Watanzaniawengi na zaidi ya watanzania wengi na Kifo cha Kanumba. Usimjibu mtu vibaya katika wote wanao kunenea Vibaya .. wasamehe wote, washukuru wote wema wako na wabaya wako pia .. ni kawaida ya wanadamu hasa ngozi Nyeusi tunapenda sana kuongozwa na hisia, tabia ambayo huzusha migogoro mingi katika jamii.

Anonymous said...

sasa Ray ndo nini kujiita the greatest?we kila kitu ulikua unamuiga kanumba.kanumba kajiita the great we ukajiita the greatest.kanumba kanunua gari na wewe unaenda nunua ilo ilo.kanumba alikua juu usingeweza kushindana nae.kwa nini usiwe mtu creative wa kubuni mambo yako na sio kuiga ya wenzio?

Anonymous said...

POLE SANA RAY.
TUMUACHE KANUMBA APUMZIKE JAMANI. PIA TUMUOMBEE KWA MUNGU APATE REHEMA YA MILELE.
AGAIN, POLE SANA RAY. UTASIKIA MENGI KUHUSU KANUMBA BUT JIPE MOYO, VAA UJASIRI, MTIZAME MUNGU NA USONGE MBELE.
REST IN PEACE MPENDWA WETU KANUMBA

Anonymous said...

RAY HEBU NIPATIE JIBU KWA MASWALI YANGU. JE KIFO CHA KANUMBA ULIKIJUA MAPEMA? JE NI KWELI ULIKUWA UKIMCHUKIA KANUMBA KWA MAFANIKIO YAKE NA ULIBEBA JENEZA LAKE KAMA ALIVYOIMBA?

Anonymous said...

Mwacheni Ray aposti anavyojisikia hujalazimishwa kuingia humu, kama hutaki kula kona wenzio tunapewa habari. Acheni chuki binafsi haters nyie, kwa kuwa hamjafika alipofika Ray basi msimseme jitahidini na nyie mtafika chuki binafsi hazijengi watanzania. Nakufagilia sana Ray, na wasanii wote wa Tasnia hii maana mnaitangaza nchi yangu. Hongera sana Ray na pia pole sana kwa msiba. Simama imara maneno machafu ya watu yasikukatishe tamaa, hizi ni changamoto tu, hakika utashinda vishawishi.kumbuka si rahisi kumfurahisha kila mmoja wetu, kuna wanaokuchukia na wanaokupenda tuko wengi tena wengi zaidi.
Ni mimi
Mzalendo halisi

Anonymous said...

Mbona umejiweka center of attention kila kitu the greatest hivi na the greatest vile. Unalazimisha tukuite hivyo?? Only Kanumba was the GREAT and you can't get to his level.

natasha said...

RIP Kanumba,we love u and will continue to love u, here on earth and in the heavens. Ray be strong and POLE sana. Only u and God know what's. In ur heart, now we can only pray Mungu amlaze mahali pema.My prayers are also with Lulu,

Anonymous said...

pole ray!umebak ww bro tunaktegemea uiendeleze tasnia hii ya filamu,all the best br0ther

Anonymous said...

Huyu ray ni mnafiki mkubwa! Anachukiwa sijui kama analitambua hilo

Anonymous said...

Ray,kila mwanadamu ana thamani yake hapa duniani,vizuri ni kwamba unamfahamu mungu hiyo itakusaidia kuishi kwa tumaini, kufa kwa kanumba kukumbushe tu kuwa hata wewe au mimi siku moja tutaondoka,

maneno mabaya ya watu wanayozunguzwa juu yako wala yasikupe shida kumbuka yesu mwenyewe alinenewa mabaya hadi msalabani,wewe ni nani?hivyo puuzia maneno mabaya ya watu ishi maisha yako ambayo mungu amekupa,fanya kazi kwa kadri ya uwezo wako,ulikuwa kwenye kamati ya mazishi hukupata muda wa kuweka picha humu usijali umepata nafasi umeweka,hii blog ni yako hivyo unafanya unavyotaka wewe sio watu wakuamlie,

najua bado upo kwenye majonzi ya kuondokewa na mpiganaji mwenzio kanumba mungu akutie nguvu,uchungu uondoke,kumbuka paulo alisema kuwa hutakufa bali utaishi ukiyasimulia matendo makuu ya bwana,mkumbuke mungu,rudi kanisani na maisha yako yaendelee,hata kama kuna wanaokuchukia wapo tunaokupenda pia,naamini hata wewe unaowachukia napia unaowapenda,
ishi maisha yako,usiogope maneno ya watu

Latifa said...

Dah pole sana bro Ray kwa yaliyokupata na Mungu atakupa faraja, alilolipanga Mungu halipingiki mapenzi yake yametimilika, ijapokua sisi the great sisi tulimpenda, lakini Mungu alimpenda zaidi yetu.

Anonymous said...

burian kanumba, hatutakuona tena. This is too sad :(

Anonymous said...

jama hii ni nje ya msiba samahani
mnisaidie
ETI JAMANI NAOMBA MNISAIDIE NI KWA NINI WATU WENGI SANA WANAMCHUKIA MR. VICENT KIGOSI.
a. USHUA WAKE KWENYE MOVIE ZAKE yaani MAISHA ANAYOISHI NDANI YA MOVIE ZAKE
b. HAJICHANGANYI NA WATU WA AINA ZOTE KWA MAANA NYINGINE ANAJISIKIA AU?
c. AU HAJUI KUIGIZA
d. au nini unachokijua zidi ya huyu msani wetu tunayemtegemee siku za usoni....
MWISHO MI NITAWAMBIA KITU FULANI
JUU YA HUYU JAMAA
I AM PROFFESSIONAL TRUST ME WADAU WOTE

Anonymous said...

safari ni yetu sote leo kwa kanumba kwesho kwetu lkn nafikiri watu huwa hatufikirii haya wala kutuingia akilini na kama tungefikiria, tungependana sana hapa duniani, tusingechukiiana hata kidogo, tungesaidiana, tungethaminiana, kwa kuwa wote tukijua tutaiaga dunia wengi hatuzingatii haya, mh bwana ametoa bwana ametwaa jina lake liheshimiwe, hakuna wakuziba pengo la kanumba alikuwa mtu wa watu hata yy hakujua kama watu wanampenda kiasi hiki au anaumanti wa watu unaomkubali hivi ndo hivyo Tulimpenda sana ila yeye kampenda zaidi, tutamkumbuka sana, tutamiss na Tutampenda daima
MLAZE MAHALI PEMA PEPONI AMIN!

Anonymous said...

Ndugu zangu upendo na ukae mioyoni mwenu,acheni chuki wapendeni sana wenye kuwaudhi,so ni nani anayeonyesha chuki ya waziwazi kati yako wewe na Ray hasa nyinyi mlio andika Ray anachuki binafsi pia na wewe alisema kuhusu wimbo wa zaburi,wimbo huu wa zaburi kaimbiwa nani kama sio wewe na mimi!! Ndugu zangu hakuna ajuwaye siku wa saa wakati pia hakuna ajuaye baada ya msiba huu nani anafuata so tutengeneze safari zetu tuache chuki binafsi,pia sio lazima sana kila unaposoma sms lazima ucomment kaa kimya ili Mungu ajivunie wew.Unaweza ukawa unajua sana maandiko ya biblia lakini maandiko hayo yakawa hukumu kwako kwa kuwa unayajua lakini hujui kuishi ndani ya neno so take care.Ray kijana mwenzangu kaza buti endele kumtegemea Mungu pale ulipotambua kuna mapungufu rekebisha kwa maaada wa Mungu pia neno la faraja kwako ni kwamba wewe niwathamani sana kwa Mungu usikate tamaa kwa maneno ya wanadam.Zaburi ya 100:1-2 na Zaburi 112:5-7 Mungu akubariki.ERICK BRIGHTON.

Anonymous said...

Ray kaza buti kijana mwenzetu simama na maandiko haya 100:1-2 pia 112:5-7.Usiogope maneno ya mwanadam yeyote simama na Mungu tu!!.barikiwa

Anonymous said...

HUNA LOLOTE MNAFIKI MKUBWA RAY ULIKUWA HUMPENDI KANUMBA KUTWA KUMSEMA KUWA WEWE NDO UMEMPOKEA KAOLE NA MENGINE MENGIIII UNAONEKEANA KABISA UMEFURAHIA MSIBA WAKE LAKN KAMWE HAUTAWEZA KUSAFIRIA NYOTA YA MWENZIO WA MOJA WA MOJA TU KANUMBA ALING'ARA WW HUWEZI KUNG;ARA KAMA YEYE NA JAMII HAIKUPENDI NA JIANGALIE

Anonymous said...

SIKUPENDI NA SITA KUPENDA NA ZAIDI SIKUPENDI KWAKUWA NAHISI UNAKITU NYUMBA YA KIFO CHA KANUMBA NA NTAHAKIKISHA KIJIJINI KWETU HATUNUNUI KAZI ZAKO

denis said...

ray usiwachukie wale wanaokupondani wao ndiyo wanakutia kiburi cha kuwa imara ktk game hii,keep it up bro ray.

Anonymous said...

Ray soma hiyo link ninayokutumia uwe mwangalifu watu wasije kukuaa bure. sasa hivi imesambaa kwenye mitandao mbalimbali
http://hassbaby.blogspot.com/2012/04/mange-kimambi-lulu-hausiki-kwenye-kifo.html
MANGE KIMAMBI - LULU HAUSIKI KWENYE KIFO CHA KANUMBA - RAY ~ Hassbaby's (Mapacha)
hassbaby.blogspot.com
Chagua Lyrics AY Ft. Ms. Trinity - Good life Mad Ice - Mapenzi Sumu Mwana Fa- Unanijua unanickia Quick Rocka Ft. Shaa- Tutoke Shetta Dastamina - Nimechokwa

Anonymous said...

Ray No matter what people say,Kanumba alikua best friend wako.Unachotakiwa kufanya pale alipoachia mwenzio paendeleze.Watu watasema sana ukweli utabaki kuwa Kanumba Hatunaye tena,hata kama mungu angekutanguliza wewe watu pia wangemsema Kanumba.POLE KWA MSIBA WA SWAHIBA WAKO RIP BRO SCK

Anonymous said...

RAY BILA KUKUFICHA KAKANGU WATU WANAKUCHUKIA HUPENDWI KAMA ALIVYOKUWA AKIPENDWA KANUMBA..NA KUHUSU MSIBA WA KANUMBA WATU NDO WAMEZIDI KUKUCHUKIA..NA BAADHI YA MITANDAO IMEANZA KUSEMA KUWA WEWE NDO ULIMPIGIA LULU USIKU ULE NA WEWE NI X BOY WA LULU, NA PIA WEWE ULIKUWA WA KWANZA KUFIKA KWENYE TUKIO..YAANI KUNA BAADHI YA WATU WANAHUSISHA KIFO CHA KANUMBA NA WEWE..KWAHIYO OMBA MUNGU SANA ILA WATU WANAKUCHUKIA KWA KUWASIKIA KABSAA WAKIONGEA, LIVE NA KWENYE MITANDAO...KWA SASA UNAMUHITAJI MUNGU ZAIDI....NA SASA HIVI WATU MACHO YAO YAKO KWA JB ....HATA MIE MMOJA WAPO...POLE SANA...NADHANI HAYO NDO MALIPO YAKO.

Anonymous said...

kwanza wanadai wewe unahusika haswa kwenye kifo cha SK, binafsi yangu sizipendi movies zako hata kidogo! mtu alinifanya niangalie bongo movies sasa anaitwa marehemu, mimi na wanangu tumesikitika sana! wewe husalimii mtu mtaani kwetu mori, nakujua fika toka utoto wako wakati mna baba mzungu, najua ndiye aliyewainua mpaka mkawa watu fulani, toka upate jina unajisikia! hebu badilika, heshimu watu wa rika zote, salimia watu mtaani hata ukiwa kwenye gari pungia, it doesnt cost u anything! acha mapozi, acha kushabikia kifo cha mwenzio!

Anonymous said...

Sio km 2nachukia ray ila anajihalibia mwenyewe ugomvi Kanumba na bb yk yeye unamuhusu nn? halafu Kanumba alikua hana makuu anajichanganya na wa2 pia anaji2ma zaidi yy kazi yake kuiga Kanumba haya ss utaiga nn?kz yk wewe kuongea ma2c 2 kwenye movie zk,wewe na cloud acheni roho mbaya,huyo mwenzio ckuile anahojiwa anasema w2 wacfikilie 2mekuja kuomba misada wewe umefiwa utakumbuka kusemwa kweli?Mimi naamini Kanumba amekufa na yesu.

Anonymous said...

Kanumba ameshakufa haina haja ya kujua nani kausika na kifo chake, sisi wakristo tunaamini kuwa hapa duniani sio kwetu, kwetu ni mbinguni. Na nyie mnao muhukumu Ray mmesahau maandiko kuwa kipimo cha hukumu ya mwezio ndio utahukumiwa wewe.

Anonymous said...

Ray wengi tunajua kama wewe ni swahiba wa marehemu,mbona umeandika kama sio hivyo tena unashindwa kuelelezea huzuni yako

Anonymous said...

RAY HUWEZI WALA HAUTOKA UWEZE KUWA KAMA KANUMBA KAMA ULIDANGNANWA UUE ILI UWE FAMOUS UTABAKI NA JOHARI WAKO SINZA MORI. NA UKIFA WEWE LABDA WATU WALIPWE NDO WAJE MSIBANI...KANUMBA TU NA BABA WETU WA TAIFA NDO MAZISHI MAKUBWA YATAKAYO KUMBUKWA NO ONE ELSE.

Anonymous said...

ivi kaka ray wewe unamini kanumba kafa,, mi tene naona pcha zake kwenye magazeti nahisi kama yupo sehemu atarudi THE GREAT
KUNA MUDA HUWA KWELI UNAWAZA KUHUSU KUTOKUMUONA KANUMBA TAKRIBANI WIKI

jamani nani ataziba nafasi yake,, jamaa anacheza character za aina zote
mwanafunz...more than pain
kichaa...
msomi....moses..pilato anahusika
mselaa
mtu mwye hekima zka...fake smile
mchawi...point of no return
mshua kweli....young billionare
DU HUYU JAMAA ALIKUWA HATARI

take one ya clouds TV.. YA MWISHO KWAKE ALISEMA.....wasani wa bongo wana overact...hapa alilenga hasa wewe... bt una TALENT SAFI HILO NDO TATIZO TU

emmer matutu

Anonymous said...

ENOUGH OF THIS AH!

NA WEWE RAY KUJIITA THE GREATEST ULIKOSA JINA HADI UIGE? U COULD USE RAY THE INVENTOR, RAY ZE VURUGU, RAY ZE ONE AND ONLY, RAY ZE CARPENTER, RAY ZE FIGHTER, RAY THE SALT AND PEPPER, ETC.

ALL AM TRYING TO SAY IS U SHOULD HAVE USED SOMETHING COMPLETE DIFFERENT...TO SOUND UNIQUE.

emuthree said...

KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI

Anonymous said...

RAY WEWE ZIBA MASIKIO YAKO USISIKILIZE MANENO YA WALALA HOI COZ KAMA MTU YUKO BIZZ HATAKUWA NA MDA WA KUTOMBOKA OVYO,,KIFO CHAKANUMBA MUNGU NDIIE ALIYEPANGA SO WASIKUTIE TOMBO JOTO WE LOVE U SO MUCH

Anonymous said...

ulikuwa unamchukia sana kanumba. Et the greatest, u wil never ever be lyk him. N tangu uanze unafik na chuki kwa kanumba honestly akuna movie naipenda,... Wewe mbinafsi sana, kanumba iz the great forever n nt u.

Anonymous said...

MANGE YUPO LUMANDE??????
Written by Mange
Thursday, 19 April 2012 22:31


GUYS,

OK NAJUA MNAPENDA KINIONGELEA BUT WHATS THIS THING YA MANGE KUWEKWA JELA OR SOME CRAZY SHIIIZ LIKE THAT????

HAYA NIPENI MICHAPO?? MAANA LEO THE WHOLE DAY NDO NNACHOULIZWA UKO NDANI MANGE? IM LIKE KAMA HUKO JELA HUWA WANARUHUSU BBM NA LAPTOP I GUESS NIPO NDANI….LOLEST….

FOR THOSE WHO ARE WAITING FOR MY DOWNFALL, JUST DON'T HOLD YOUR BREATHE.
Like · · Unfollow Post · about an hour ago

Kija Mohd haya kazi kweli DianaRose Ssebuyoya nishakucopia maana ulikuwa unataka kulia hahaaa
about an hour ago · Like
Princess Dina Duh au kuna mtu anapost
about an hour ago via mobile · Like
Shiffah Mmary Mmmh!dunia inamambo
59 minutes ago via mobile · Like
Yasmin Amri mm naamini ana back up plan!!!! ama katolewa kwa dhamana...
58 minutes ago · Like · 1
Kija Mohd ndo hapo sasa mie sielewi dina hahaaa
58 minutes ago · Like
Prissie Joel Mwe,mbon nmemckia ray amethibitisha kwa radio sasaiv yupo celo?lazma amem2ma m2 amwandikia kuficha aibu huyu
58 minutes ago via mobile · Like
Kija Mohd yaa Yasmin Amri yawezekana katolewa kwa dhaman maana hajakubali wala hajakataaa kama alikuwa cello hahaaa
57 minutes ago · Like · 1
Yasmin Amri ‎Kija Mohd siunajua makosa mengine mtu unawekwa chici ya ulinzi then unapewa dhamana,,, then unatakiwa uripoti,,,,
56 minutes ago · Like · 2
DianaRose Ssebuyoya Huyu dada mjanja sana itakuwa mshostito wake wamepost hii angekuwa yeye nnavyomjua na domo lake chafu angeandika na maneno ya kashfa kibaoooooo huyu sio yeye bana
56 minutes ago via mobile · Like · 2
Kija Mohd ndio yawezkana katolewa kwa dhamana DianaRose Ssebuyoya hahaa la kusema hana we si umeona wala hajakataa wala kukubali

Anonymous said...

RAY POLE SANA ILA USIMUACHE MANGE AENDEE TUU AMEKUCHAFUA SANA NILIIONA ILE POST YAKE SIKU ILE KWA KWELI ULE SIO USTAARABU NA BADO ANAJITAMBA KWAMBA HAKUWA POLISI...ANAZIDI KUKUCHAFUA

Anonymous said...

Ray hukuzaliwa na kanumba sawa,wote mmekutana hapa duniani,bahati yako wewe si ya kanumba,ila mtu mungu anampango naye,hao wanakutishia sijui hawakupendi,hawatanunua kazi zako vyovyote vile,mungu ndio anayejua hatima yako,hatima yako haipo mikononi mwa mwanadamu,as i told u before fanya kile unachoweza ambacho mungu amekujalia,maneno ya watu yasikutishe riziki yako ipo mikononi mwako sio kwa mtu yeyote,hebu mfanye mungu pekee ndio rafiki yako wa karibu utaona tumaini kubwa sana ndani,tupo tunaokupenda

Anonymous said...

Pole sana Ray kwa yote!

Deal na huyo Mwanamke Ray, hadi kieleweke, amezidi sana kujishaua, muke ya mzungu Bongo! Nimekuskiliza Radio Clouds u r very right! Sheria ifanye kazi yake, ili watu wabadilike.

Anonymous said...

Mwenyezi Mungu Amlaze pema mpendwa wetu Kanumba.

Mie naona watu tumezidi kutoa maneno makali kwa Ray.

Katika watu ambao marahemu aliwaandika kwenye web side Yake kwamba wamechangia kiasi mpaka hapo alipofikia mmoja wao ni Ray.
Marehemu anafahamu mchango wa Ray Katika movie Ind. TZ.

Leo hii watu wanampaka Ray kwamba Kila kitu alikuwa anamuiga Kanumba.
Haya na kuanzisha kampuni Yake ya kush. Movie alimgeza Kanumba?. Ray alianza kuwa na Kampuni Yake ilipita kipindi kirefu na kanumba akaanzisha Yake.

Walikuwa na mawazo yanayofanana ni kitu vizuri kwa maendeleo.

Mimi naangalia Kila movie zinazotoka Tanzania. Wanajitahidi sana. Ukiweka best five comp. Za kutengeneza movie Tz. Kampuni ya Ray nayo imo. Picha ziko clear .

Anonymous said...

NIKIWAZA KIFO HUWA NAKOSA AMANI NAJARIBU KUJIPA MA HOPE LABDA NTAMUONA TENA KANUMBA ILA CKU ZINA ENDA TU KANUMBA WANGU HARUDI JAMAN,, KANUMBA AMENIKUMBUSHA MBAL JAMAN AMENIKUMBUSHA AMINA CHIFUPA (AC) DUH UDONGO UNAKULA JAMAN,, ALIVOKUFA MENGI YALIONGELEWA ILA NILIPENDA KITU BABA AKE ALISEMA KAMA KUNA MTU YEYOTE AMEHUSIKA KUHUSU KIFO CHA MTOTO WAKE BAC NA YY ATAFAT,, NARUD KWA RAY NA WEW KAMA UMEHUSIKA NA KIFO CHA KANUMBA BAC NA WW JITAYARISHE COZ KUNA MACHOZ MWNGI YA WATANZANIA WANALIA MPAKA LEO

jac said...

wewe ray ulikuwa unapenda sana kuiga kila kitu cha marehemu, haya kafa sasa na wewe iga basi ufe kama yeye, binafsi nakuchukia sana especially mamovie yako yanaboa, wala huwezi kumfikia kanumba kamwe hata robo yake,sasa ni zamu ya jb the greatest kushine.

Anonymous said...

DUH kaka nimesoma mesej zote za wadau yaani inaonyesha kweli hupendwi tena washabiki wengi hapa nahisi kama ni wanawake ... sasa KAKA kuwa makini sana sana sana

Anonymous said...

Ray you will never change uko too self centered and sadistic ndio maana watu wanakuona mnafiki unapo post picha wa kipenzi chetu Kanumba. Kanumba was more than greatest, alikuwa humble pamoja na charisma vitu ambavyo pamoja na hela yako yoote hutakuwa navyo.

Rekebisha tabia yako, jishushe hela siyo kila kitu. Umeeona mwenzio alivyo zikwa na taifa, hii ni dhahiri jinsi gani alivyokuwa anajishusha katika jamii pamoja na ustaa wake alisalimia kila mtu, hakuwa na majivuno, haki Mungu alimpenda zaidi.

Anonymous said...

we mbwiga umemtoa mangereza kwenye gazeti ndio nini??? eti unajisafisha kwa jamii tununue kazi zako! ndio umetutibua kabisa hatununui ng'o! coz its very true umemuua kanumba! realy pathetic! tunakuchukia mpaka basi! stupid idiot!

Anonymous said...

RAY me toka mwanzo nikikwambia watu watasema sana kuhusu kifo cha kanumba, we usiwajali madam unajua ukweli wa mambo. Sasa nini kupigishana kelele na yule mwanamke kule? Ebu achana nae songa mbele, mwachie Mungu. Ukiendelea kusumbuana nae watu watasema ni kweli ndio maana unatapatapa. Ebu achana na yule mwanamke, kuhusu makesi sijui nini. We endelea na kazi zako. tunakupenda hilo halitabadilika, na tutaendelea kununa kazi zako. Fikiria huu ushauri wangu, utapoteza mda bure na mtu kama yule anapenda attention.

Anonymous said...

mother fucker mkubwa wewe nakwambia damu ya Kanumba itakutafuna mbwaa wewe mfyuuuuuuuuuuuum na utakufa kama Kanumba tena kifo chako kitakuwa kibaya tena sana

Anonymous said...

Ray achana na maneno ya watu. mi binafsi sikuwahi kumuona kanumba live zaidi ya kumuona luningani na kwe media zingine. ila iliniuma na nilitoa mchozi, itakua wewe uliekua nae karibu. i know umeumia sana na huu msiba,wanaokusema vibaya acha waseme ila mungu ndo anajua wewe upo kwe position gani na kifo cha kanumba. nimeona post mbalimbali hasa za yule mdada anajiita mange kuwa umehusika na kifo hiki, mi naona huyu dada anatafuta umaarufu kupitia title yako. maana hata mi sijui ana title gani, is she an actress, or musician, model or what??? mana mi ndo kwanza nimemuona baada ya kukuandika wewe ndo ikabidi nijaribu kuuliza kwa watu ni nani huyu dada mbona hata hajulikani?? lakini kama ujuavyo tumempoteza kanumba katika medani ya filam sisi watanzania tunaona tumebakiwa na wewe hivyo tumia busara zaidi katika kutatua hili gogoro na hiki kijitu asije akakupoteza kwe dira ya filamu tumaini letu sasa ni kwako tu. though wapo wasanii wengine lakini you are the greatest. ukiweza mpotezee huyo mdada acha kumpaisha. utamfanya awe famous tu kwa jamii.

Anonymous said...

Ndugu Ray, sijui niseme nini, cha muhimu mumche Mungu, maisha ya short cut hayafai, haswa maisha ya kutafuta utajiri na umaharufu wa harakaharaka...Yesu anasema, itamfaidia nini mtu kuupata ulimwengu wote, afu apate hasara ya nafsi yake.
Ndugu yangu, mie napenda movie zako,ila sasa,uache chuki, na ufanye kazi vyema kaka...la muhimu..Yesu ndo kweli na njia ya uzima..msitoe maisha yenu kwenye uharibifu...ukimcha Mungu, na kumpaa maisha yako, utafanikiwa tu..ndugu yako umemuona hadi mwisho wake...bye kaka ni hayo tu

Anonymous said...

Ndugu Ray, sijui niseme nini, cha muhimu mumche Mungu, maisha ya short cut hayafai, haswa maisha ya kutafuta utajiri na umaharufu wa harakaharaka...Yesu anasema, itamfaidia nini mtu kuupata ulimwengu wote, afu apate hasara ya nafsi yake.
Ndugu yangu, mie napenda movie zako,ila sasa,uache chuki, na ufanye kazi vyema kaka...la muhimu..Yesu ndo kweli na njia ya uzima..msitoe maisha yenu kwenye uharibifu...ukimcha Mungu, na kumpaa maisha yako, utafanikiwa tu..ndugu yako umemuona hadi mwisho wake...bye kaka ni hayo tu

Anonymous said...

Unajua shule ni kitu cha muhimu sana, nafikiri wengi wanatoa maneno mabaya juu yako shule inawasumbua, mtu aliyeelimika hawezi kuongea maneno ambayo hana hata anachojua zaidi ya kusoma magazeti ya udaku ambayo siku zote huwa yako kibiashara zaidi. Mimi nashangaa sana na hizi habari za Ray kuwa na uadui na Marehemu. Kwa macho yangu niliwaona Zanzibar katika Tamasha la ZIFF mkiwa pamoja siku zote na nakumbuka hata siku ya kuondoka nami nilikuwa kwenye boti ambayo nanyi mlikuwepo na mlikuwa pamoja pia sasa mimi huwa nashangaa sana why people talk too much!!! I witnessed your friendship in Zanzibar so will not believe anyone. Be strong in this hard time of trial and with God's Mercy everything will be alright,it just a matter of time. Go ahead with your acting projects and your fans including myself will support you.

Anonymous said...

Pole sana Ray kwa misukosuko ya kidunia najuwa ukweli utadhiirika,wewe ktk wasanii wanao muomba Mungu wewe ni mmoja wapo,mimi nilitegemea labda Seth ndio atahusishwa kwa uzembe unaambiwa wewe,na Seth alieleza mbele ya vyombo vya habari chanzo ilikuwa ni simu,mizunguko ya kumuita doctor hadi kumfuata na kufika nyumbani huo ni uzembe,uwezi kumuacha mtu anakufa unamsubiri doctor wake haje wakati kuna hospital nyingi sinza,na alivyokuja huyo doctor wake amefanya nini?kuna vitu vingi vya kujiuliza sio kutoa tuhuma ambazo hata ukiitwa uelezee unashindwa uanzie wapi,Police wapo kwenye uchunguzi waache wafanye kazi yao,huyo aliyekuchafulia mchukulie hatua mbaya,mimi nakukubali kwa kazi yako,rejea nyimbo ya Bahati Bukuku -ukiinuliwa na wanadamu lazima watakushusha chini ila cha Mungu kitadumu tu

Anonymous said...

worry out Mr Kigosi,,, this is the Price of being a superstar..

Nakushauri utunge Movie...Ipe Jina..THE PRICE OF BEING SUPERSTAR

Anonymous said...

worry out Mr Kigosi,,, this is the Price of being a superstar..

Nakushauri utunge Movie...Ipe Jina..THE PRICE OF BEING SUPERSTAR

Anonymous said...

sijui chochote kuhusu kifo cha marehemu Steven Kanumba THE GREAT so i dont judge any nikimfikiria tu nafsi yangu inanisukuma sana sana kumuombea nami nafanya hivyo kadiri ninavyoweza kama njia ya kuonesha upendo wangu wa dhati kwa kazi zake raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie astarehe kwa amani.Amina

Anonymous said...

Pole sana bro ray,ucjali yasemwayo kwani cku zote domo ni jumba maneno.watu kuweni wastaarabu acheni matsi na shutuma,natumai wote mnaoshutumu,matusi na kumchukia ray hamna imani ya dini yoyote na wala hawamjui m.mungu ni nani.so ray keep on move.

Anonymous said...

RAY ENDELEA KUJIPA UJASIRI NA MUNGU ATAKUSAIDIA,TATIZO LETU WASWAHILI TUNASHABIKIA MAMBO YA MITAANI, WENGI WEMEJAWA NA WIVU, ROHA MBAYA NA PEGININE UJINGA UJINGA.
WATU WANAZUNGUMZA VITU AMBAVYO HAVINA UHAKIKA , SUALA HILI LIPO MAHAKAMANI , POLISI WAMELICHUNGUZA NA MADAKTARI PIA WAMEICHUNGUZA NA LULU PIA AMEHOJIWA KIKAMILIFU, SASA YANINI KUBWABWAJA.
NINACHOKIONA ELIMU NI TATIZO KWA WENGI.
POLE RAY, POLE FAMILIA NA MARAFIKI WA KWELI WA SK.

Anonymous said...

acemoney software coupon http://buysoftwareonline.co.uk/de/product-37385/DocRepair-3-1 seo software book search engine optimization [url=http://buysoftwareonline.co.uk/it/product-36728/Eshasoft-Desktop-Calendar-and-Personal-Planner-2011]driver software windows st121g vista bit[/url] share software files
[url=http://buysoftwareonline.co.uk/es/category-4/Extensiones-de-programas]Extensiones de programas - Cheap Legal OEM Software, Software Sale, Download OEM[/url] open source worship software
[url=http://buysoftwareonline.co.uk/product-35471/Kristanix-Password-Manager-Deluxe-3-8][img]http://buyoem.co.uk/image/1.gif[/img][/url]