Tuesday, January 24, 2012

THE GREATEST NDANI YA CHINA

 Kama kawaida wadau wangu nilivyowahidi kuwa nitawaletea matukio ya uku niliko, Cha kwanza kabisa nimekuja uku kwa ajili ya kuongeza vifaa vya kampuni ili mwaka huu tufanye mapinduzi makubwa katika tasnia yetu. Mimi sisemi sana wewe mwenyewe utajionea  mambo yatakavyobadilika mwaka huu,pili kuna sinema nayotegemea kupiga katika nchi hizi tatu nilizowatajia China,Hong kok pamoja na Thailand katikati ya mwaka huu twende pamoja.

 Hapa nikiwa na mshikaji wangu Choba katika maswala mazima ya kununua camera za still picture

 Hapa pia nikiwa na kijana wangu Kounja, huyu kijana jamani hachagui chakula chochote yeye poa tu mpaka supu ya nyoka kijana twende ni hatari sana huyu kijana cheki anvyonikata jicho

Ili ni soko kubwa la simu ni original tu hakuna feki lakini ukitaka soko la feki nalo lipo pia

Baadhi ya mizigo yangu ikiwa ipo katika chumba nilichofikia

Kama kawaida mambo yakipamba moto

Wadau chumba changu kilikuwa kiko lafu sana kwa ajili mizigo ilikuwa ni mingi sana


Hapa nikiangalia camera ya still picture nikipata maelekezo kutoka kwa mtaalam toka Congo niliyekutananae uko uko wa katikati ,kwa kweli akinisaidia sana...


Mizigo yangu ikiwekwa sawa na wachina wenye duka hapo hakuna boss wao ndio wauzaji na wao ndio wafunga mizigo,Hawa jamaa wapo makini sana na kazi na ndio maana sikuku yao ya mwaka mpya wanakaa mwezi mzima bila kufanya kazi yoyote kama muda huu ukienda China utakuwa umepata hasara hakuna duka la shughuli yoyote inayoendelea kwa sasa..

Picha ya pamoja  rafiki yangu Choba na wachina wenye duka

The greatest naye akipata picha ya kumbukumbu

Nikikagua vifaa ukiingia kwenye duka ili ukosi kitu cha video production

Hapa ni hatari wewe angalia mwenyewe .

Dolly nimenunua hela nyingi kidogo ni special kwa ajili ya shorts flani hivi ambazo mtaziona kwenye movie mpya ambazo nitawatajia

Taa mpya pia nimenunua kwa ajili ya kuongeza ubora hizi ni taa bora sana kwa matumizi yetu

Upande wa camera

Duka zima linavyoonekana sijui hata haya maandishi yana maana gani?kwa ndugu zangu wachina watakuwa wanajua maana yake. Haya ni baadhi tu ya matukio bado mengi  nitawaletea na usiku huu nategemea kuondoka kurudi bongo hapa napowablogisha nipo uwanja wa ndege

Saturday, January 21, 2012



WADAU WANGU WA BLOGU HII NAWAOMBA RADHI KWA KUWA KIMYA. 
NIKO SAFARINI HONG KONG, CHINA NA BANGKOK KIKAZI.
KUNA MAJAMBOZI MENGI
NITAWARUSHIA SI MUDA MREFU.
ENDELEA KUTEMBELEA BLOG HII


NAKUSHUKURU SANA

MY NEW RIDE
Ray The Greatest

Wadau huu ni mkoko wangu mwingine nashukuru sana kwa kunipa sapoti kubwa sana katika tasnia hii bila nyiyi mimi sio kitu kwenu. Nawashukuru sana wadau, , Nasmshukuru sana Mungu kwa kunivusha katika hatua nyingine pia ningependa niwaombe radhi kwa kuondoka bila kuwaaga niko nje ya nchi yapata wiki mbili sasa nitawaletea matukio ya uku nilipo nimeenda kufanya nini? fuatilia blogu hii. 

Kwa mbele

Jinsi inavyoonekana kwa upande huu..

Kama kwa makamuzi yanaendelea..

My lovely door

Back of my car


Mmmmmm balahaaaa

 
Kwa upande mwingine jinsi inavyoonekana

Cooooooool.................Wheel




MY NEW MOVIE IS COMING SOON
....I HATE MY BIRTHDAY.....
TRAILER



VCD/DVD COVER

Kama kawaida ya kampuni yako ya ukweli RJ company wanakuletea mzigo mwingine wa kukatana na shoka , Wadau mzigo huu umetengenezwa kabla ya kusafiri  ni si ya kuikosa wapo mastaa kibao wa Bongo Movie inatoka mwisho wa mwezi huu

Ray (right) with friends discusing

Mambo yakipamba moto

Ray (right) and Aunt Ezekiel (left) before action

Aunt Ezekiel

Watu nao kwa kupiga simu wakati wa shooting mmmmmm

Nikipambana na Aunt

Crew participating to the maximum. 

Vijana kazini

Kama kawaida nikiwa na kijana wangu Msungu

Peace for Everyone

Ray The Greatest receiving messages

Dada wa make up akifanya kazi

Jack Pentezel au mwenyewe upenda kujiita Jack sex


Kama kawaida mapambano yakiendelea
NEW  MOVIE
A WRONG SHORTUCT

TRAILER

VDC/DVD COVER
 
Wadau wa filamu za RJ company tuna stock ya kutosha huu ni mzigo mwingine amabao nao tuliutengeneza kabla ya safari yangu, Kama mnakumbuka wadau wa tasnia hii niliwaambia kuwa katika mzigo huu sitokuwepo nimewaachia vijana wafanye kazi nami nikiwa nyuma yao kama Director

Wakisikiliza maelekezo

Kitu poda..

Hemed (kulia)  na Kajala Masanja pamoja na camera man wangu Farid Uwezo

Picha ya pamoja

Hemed akipata maelekezo kabla ya mtanange kuanza

Kazi Ipooooooo....Choka mbaya

On Set

Kajala Masanja pamoja na Jack Pentezel

Johari (kushoto) na Ray wakijaribu kukalili Script kabla ya kazi kuanza

Mambo yakiendelea

Kazi imeanza

Dada Zabibu huyu ni msanii wa zamani sana nilikuwanae kwenye kundi la Kaole naye yupo ndani ya mzugo huu

Mkongwe mzee Chilo naye yuko ndani ya nyumba

Hemed akiwa na Johari-----Peace

Kama kawaida watu wakiwa bize na kazi

Joto limezidi

Johari na mwanya huo jamani

Kwa karibu bibie akiwa katika pozi

Hapo mnasemaje?

Hatari sana watu wako makini na kazi

Poooooooooozi

Mapouuuuuuuuuuuda

Blandina Chagula

Hapo je?

Ofisini kabla ya kazi kuanza sijui dada anawaza nini?

Hemed mzee wa watotooooozi

Kajala Masanja

Jack Pentezel