Saturday, January 21, 2012

MY NEW RIDE
Ray The Greatest

Wadau huu ni mkoko wangu mwingine nashukuru sana kwa kunipa sapoti kubwa sana katika tasnia hii bila nyiyi mimi sio kitu kwenu. Nawashukuru sana wadau, , Nasmshukuru sana Mungu kwa kunivusha katika hatua nyingine pia ningependa niwaombe radhi kwa kuondoka bila kuwaaga niko nje ya nchi yapata wiki mbili sasa nitawaletea matukio ya uku nilipo nimeenda kufanya nini? fuatilia blogu hii. 

Kwa mbele

Jinsi inavyoonekana kwa upande huu..

Kama kwa makamuzi yanaendelea..

My lovely door

Back of my car


Mmmmmm balahaaaa

 
Kwa upande mwingine jinsi inavyoonekana

Cooooooool.................Wheel
28 comments:

Anonymous said...

poa kaka tungoje la bwana kanumba manake kwa kuingana nyie ila hongera kwa maendeleo big up bro

Anonymous said...

Nyumba mbona hamtuonyeshi!!!!!nyie ni magari..wewe tuonyeshe tu hata ka ya kupanga useme yako...!!!duuu...na kanumba naye hatatuonyesha....lake

Anonymous said...

JAMANI RAY.YAANI UNAZIDI KUNUA MAGARI WAKATI NASIKIA UNAKAA KWA MAMAKO ADI LEO HATA KIBANDA HUJAJENGA.KWANINI USIJENGE NA NYUMBA YAKO NZURI HATA UKIPAKI MAGARI YAKO SITA HAKUNAMTU ATAKUJAJI.MWENZIO KANUMBA ALISHATUONESHA KWAKE TUMERIDHIKA SASA WEWE HATA UNAONA AIBU KUONYESHA MANA NASIKIA UNAKAA KWA MAMAKO ADI LEO NAKAOFISI KAKO KAKO NJE YANYUMBA YA MAMAKO UMERIPAIR VBANDA VYA MBELE NDIO RJ COMPANY IPO HAPO WATU WANAKUDISKAS SAANA USIONE HIVI.FANYA NA MPANGO WANYUMBA BASI JAMANI.MAGARI YAPO NAYANAENDELEA KUJAMAPYA KILA KUKICHA.NI USHAURI MUHIMU TUU.NAKUPA.

Anonymous said...

Hongera sana, ila na mimi namuunga mkono mtu aliyetangulia kukupa ushauri. Ni kweli jenga nyumba yako nzuri kwanza hayo magari siyo aseti nzuri. Na pia hivi hiyo tabia ya ushamba itaisha lini. Kila mtu anunue kitu na kukiweka kwenye mtandao itakuwaje. Nunua kitu kwa faida yako na familia yako na si kwa ajili watu wakuone Ray kanunua nini. Badilika acha mambo ya kishamba. mkubwa wewe sasa.

Anonymous said...

nyie mnaodisikasi....nyumba si ya mama yake...kwani ya mama zenu ..kwani kuna ubaya gani acheni upubavu...hebu na nyie fanyeni mambo yenu...acheni kuwaza maisha ya watu.....wenzenu wanawaza kujiendeleza ki maisha nyie mnapoteza mda kuzungumza mambo ya watu.....Ray wewe kaza msuli tu achana nao pasua vichwa...
mdau..
Newcastle
lajons

idrisa said...

nina kuhamini bwana mamboyako simabaya bwana nakutakiya kila laheri katika mamboyako mungu hakubariki

Anonymous said...

nina kuhamini bwana mambo yako simabaya nakutakia kila laheri mungu akubariki

Anonymous said...

wwaaooo kigari kitamuu ichoo mashaALLAH, Mungu akupe hio na nyengine,,,

Anonymous said...

masanja aliwahi kusema hakuna baba mwenye magari, yupo baba mwenye nyumba, sasa wewe vipi hebu jenga bwana maisha huwa yanabadilika, kama mdau alivyosema hapo juu, nikweli utakaa kwa mama hadi lini wewe mkubwa sasa

Anonymous said...

ray me n shabiki sn wa ww na kanumba km n kwel mna tofauti kwann mckae pamoja mkayazungumza yakaishaaa!!! nlikuwa nafurah sn kpnd kle n marafk sn mkienda kwny vievent mnakuwa pamoja lkn saiv mnancktisha mnagombana ksa magari!! kwan c kla m2 anunue kutokana na uwezo wake unapoishia kuna haja gan ya kushindana!! kwan ile gar nyngne ulonunua umepeleka wap had ununue nyingne km mdau wa hapo juu amesema kwel kuwa bado unaishi kwenu bac c vzr badala ya kla ck kununua magari mapya kwann ucjenge nyumba badala yake, jenga nyumba nzuri ya kuishi mwenyewe, jenga zngne pangsha km hutak kukaa mana ztakusaidia badae wkt utakapokuwa huna pesa mana hz pesa znakujaga na kuondoka saiz wekeza au kuliko kununua magari kla ck bac hzo hela km n nyng sn zngne wasaidie watoto yatima au kuna wagonjwa hosp wanahtaji misaada wanakufa sbb hawana hela kdg tu ya kununua dawa. N USHAURI TU.

J.

Anonymous said...

UNUNUE/KUJENGA NYUMBA SASA, MAGARI KITU GANI?NI USHAMBA TU HUO, WANAUME WENYE AKILI WANARINGISHIA NYUMBA SI MAGARI, YANI MNASHINDWA HATA NA DIAMOND?

Anonymous said...

wanashindwa na Daimond kwani yeye kajenga?!

raythegreatest2006 said...

Nawashukuru sana Watanzania wote mliotoa maoni yenu mazuri na hata mabaya pia kwa kuwa mimi kwa upande wangu nachukulia kama chalenge katika maisha yangu, Ila ningependa kuwaambia ndugu zangu kila kitu kina muda wake mambo mazuri hayataki haraka na maneno mengi hayajengi ghorofa kila kitu kitawekwa wazi, Si kosa ukifanya kitu nakurudisha shukrani kwa watu wanaokupa sapoti si ushamba jamani mbona tunaona maisha ya mastaa wa nje wanavyoonyesha mali zao. Lakini tukifanya sisi ni washamba dahaaaa hii ni hatari sana lakini hii ndio bongo na hii ndio Tanzania yetu hatuna jema wala zuri kwetu kila kitu kwetu ni kibaya nawashukuru wadau na huu ni mtizamo wangu kama nimewakwaza na kuwakosea basi mniwie radhi kwani hakuna binadamu aliyekamilika

Anonymous said...

umeongea vzr sn Ray pia angalia suala la kuondoa tofauti zako na kanumba km zpo km nlivosema hapo juu.

J.

Anonymous said...

Vp mbna haujawahi kuzungumzia bifu lako na kanumba? Co vizuri kaka umoja ni nguvu cku zote msikubali magari na tofauti ndogondogo ziwatenganishe, remember where u came from u ppo

Anonymous said...

Vp mbna haujawahi kuzungumzia bifu lako na kanumba? Co vizuri kaka umoja ni nguvu cku zote msikubali magari na tofauti ndogondogo ziwatenganishe, remember where u came from u ppo

Anonymous said...

mnavyomshambulia kaka wa watu ka vile nyie nyumba mnazo,mtampangiaje mtu maisha yake ya kuishi jaman,acheni hzo,Ray umeongea vizur sana,si kila kitu utakachofanya kila mtu ata kusupport ndo binadamu tulivyo,KEEP IT UP mwaya

Anonymous said...

akili zako kama magari yako ...pambaff weh !!

Anonymous said...

ray naomba kujua njins zakounanunulia wapi

Anonymous said...

Ray sikuji wala unijui, lakini nakuomba kama mtanzania mwenzio, mwanaume mwenzio, kijana mwenzio,fanya hima hili muyamalize na swaiba wako, sisi ni binaadam kila mmoja ufanya sivyo sometimes, so haina haja watu mkakaa msizungumze, nakuomba chukua muda na kaa chini ufikiri imekuwaje mpaka umekosana na swaiba wako utaona mambo yenyewe ni ya kipuuzi sana, kiukweli mnamkasirisha Mungu sana,siyo vizuri kabisa ndugu yangu, hata sisi tusio mastaa ukosana pia, lakini tukishaambiwa na watu urudisha mioyo nyuma na kumaliza tofauti zetu, embe fanya kwa ajili ya Mungu, Mwenyezi Mungu apendi kabisa nawe unajuwa hilo, maneno haya ninayokuandikia naenda kuandika kwa Kanumba pia, tafadhali rudisheni mioyo yenu nyuma mkae kwa amani. na Inshallah Mwenyezi Mungu atawajalia zaidi!

Anonymous said...

Aliyewaambia hajengi au hajajenga nani? Na kuna ubaya gani ye kukaa na mama yake? Mnajua sababu zake? Go Ray go!

Anonymous said...

Babe wangu usiwajali hao, nani kasema nyumba inajengwa kwa siku moja??? (it's impossible) ila gari inanunuliwa kwa siku moja na unakua barabarani the same day, usijistress chocolate wangu, nunua kitu robo inataka, kama ni nyumba tutajenga pamoja sweetie wangu slowly but sure tena kwa afya, dont stress yourself kwa maneno yao my sweetdarling. tabasamu basi nifurahi chocolate wangu eeh, usinune ukaharibu babe face yako tamu honey wangu. love you always,kissss mnmwaa ya kifuani, mnmwaa ya shingoni mnmwa ya lips, mnmwaaaa ya------. Babe hadi hii msg wataifuatilia ila usijali, PIGA KAZI SWEETIE WANGU NA MIMI NAKAZANA NA KAZI ZA OFISI ZA WATU IPO SIKU WATAONA MATUNDA YETU SWEETIE. WITH LOVE ---- (TUSIWAPE SIRI HII)waache wabaki Puzzled

Anonymous said...

huyo anayeitwa chocolate sasa mhuuuuu carolite imemkolea ana uchocolate gani????!!!! alafu eti baby, hahahaaaa baby wakati ana tumbo kama pipa kitambi kimejaa mafuta sijui kama anaweza hata kufunga gidam za viatu vyake huyo tumbo tumbo tuondolee wazimu wewe mwanamke sijui mke mtarajiwa kama ni kumbembeleza kambembelezee huko kwenye nyumba yake ya kupanga asokua na akili ya kujenga mume gani huyo cha wote

Anonymous said...

??????!!!!!!!! ETI RAY NAYE NI CHOCOLATE KWELI CAROLITE ISHUKURIWE ALAFU WEWE BINTI HIVI UMEKOSA WANAUME HUKO KAZINI KWENU HADI UTAKE KUOLEWA NA HUYU MTUMIA CAROLITE!!!! UTAKUFA MTOTO KIMBIA KILA UKIMUONA, KAMA TAYARI USHAMGAIA TUNDA LA HAPO KATIKATI BAKI NAE TU MANA FUTI SITA KWENDA CHINI ZINAKUSUBIRI MUONE MWENZIO JOHARI ALIVYOKONDAGA NA KUKONGOROKA KIPINDI KILE WALE WADUDU WANANYEVUA NYEVUA USIPIME, USIONE MIJITU IMENENEPEANA VITAMBI NDANI KUNAVYEVULIWA. DAAAH MASIKINI POLE SANA BINTI SI VYOTE VING'AAVYO NI ALMASI VINGINE VINANG'AA KWA NJE TU ILA NDANI NI UOZO MTUPU KUNA WADUDU WANANYEVUANYEVUA HAYAAA WE

Anonymous said...

wewe kama umetumwa na kanumba uje kumpatanisha na ray kiujanja au kumuombea msamaha kiujanja sema tu. kwani huyo kanumba hawezi kukaa bila kuongea na ray??? kwani ray asipoongea na kanumba kuna nini??? kwani walizaliwa wote???? kama umetumwa na huyo kanumba mwambie amfuate ray amalizane naye usitusumbue wanablog ayaa

careen said...

hivi kaka ukioa utamruhusu mke wako aendeshe gari lako??? maana mchuma wako mzuri tuache masihara

THE GREATEST'S FUTURE WIFE said...

OMG???? Why mnaandika msg mbaya kiasi hiki, anyway, nawashukuru kwa kutembeleas blog ya babe wangu, ninachoweza kuwahakikishia ni chocolate wangu anawapenda sana fans wake, muda mwingi amekua akiwaza jinsi gani awaburudishe ipaswavyo, msisite kuandika comments zozote mnazoona zinawafurahisha ila tambueni sweetie wangu nae ni binadamu anakwazika pia kama kuna njia mnazodhani zinaweza kupunguza ukali wa maneno please zitumieni, tunawapenda mno ::. RAY CHOCOLATE WANGU, SWEETIE WANGU, HONEY WANGU, DARLING WANGU WAKUFA NA KUZIKANA WANGU, NAJUA UTAKUA UMEUMIA KWA HIZO MSG HAPO JUU, I CAN FEEL IT BABE, HONEY WANGU WE KNOW EACH OTHER VERY WELL KWA HIYO MANENO YASIKUUMIZE CHOCOLATE WANGU, OK SWEETIE??? You know what babe?, It’s true that even Lord knows dreams are hard to follow but don't let anyone tear them away lets hold on, in time we'll find the way, sawa babe wangu, SWEETIE HATA WASEME NINI YOU’RE THE ONLY MAN I WOULD LOVE TO SPEND ALL MY LIFE WITH. PUUZIA KILA KITU WALICHOSEMA CHOCOLATE WANGU OK?? I promise you I will always be there to comfort you with a love that's strong, let them call you whatever ila ninachojua wewe kwangu ndio mfalme mpenzi wangu na I will love you as long as I live. Kisssss kissssss, ngoja niingine kwenye kikao babe, we’ll chat later chocolate wangu...:::..
KWA SASA BABE WANGU SEARCH WIMBO WA SHANIA TWAIN WA YOU'RE STILL THE ONE UUSIKILIZE. ukisoma hizi comments zangu mbili ya hapo juu na hii naamini utakua na raha mpenzi LOOOOOOVEEEEE

Anonymous said...

babe wow!!!!!!!!!