Sunday, January 8, 2012

RAIS DK. SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA YA MADKTARI WANORWAY
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Nyumba ya madaktari wa Norway Chuo cha Sayansi ya Afya Mbweni,ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 48 ya Mapinduzi.

No comments: