Thursday, January 26, 2012

THE GREATEST NDANI YA HONG KONG

 Kama kawaida watu wangu niliwaambia kuwa nilienda nchi tatu hapa sasa nipo  Hong Kong, nikiwa ndani ya treni ya umeme nikielekea matembezini, kuna mdau mmoja alisema China na Hong Kong ni nchi moja  sikweli kaka ni nchi mbili tofauti hata unapotoka Hong Kong kwenda china unaingia kwa viza na hata Muong kong anaingia China kwa viza pia, Mdau kwa hiyo tusiwe wajuaji sana wakati hatujui tujifanye wajinga ili tuweze kuwa welevu

 Kama kawaida tukiendelea na matembezi yetu hapa ni baada ya kushuka kwenye treni 

 Cheki mji huo jamani sijui viongozi wetu wa nchi wanapopata ziara za nje ya nchi hawajifunzi kitu kutoka kwa wenzetu mimi naamini nchi yetu tuna kila kitu kwanini tuashindwa kuijenga nchi yetu inauma sana jamani

 Umati ni mkubwa sana sasa kwanini nchi isiwe ya kitajiri, wewe cheki mwenyewe na hii ni kawaida wala  si kitu cha kushangza kwao yani kupishana ni tabu kweli kweli

 The Greatest katika pozi

 Wacha weeeeeeeee 

 Hapa vijana wakicheki flight yetu ni namba ngapi ili tuweze kujua tunaingia geti namba ngapi kwa kuwa viwanja vyao vya ndege ni vikubwa sana 

 Mambo yenyewe ndio haya mpaka ujue unaingia geti namba ngapi ni hatari lazima macho yako yawe makini sana

 Nikipata picha ya kumbukumbu 

 Kijana kapendeza. lakini nimesikitishwa sana na baadhi ya mashabiki wangu kuniambia heti najichubua jamani ningekuwa nalipwa na kitu nachopaka ningekitaja lakini silipwi kwa hiyo siwezi kutaja. Wakiwa weupe wakina Jay Z wameiva sisi tuanjichubua ahaaa jamani
 ubinadamu kazi .

 Choba na The Greatest

 Ndani ya pipa kuelekea Thailand


14 comments:

Anonymous said...

ha ha ha ! wameiva kwani wamekua ndizi?usipende kudanga'nywa ray ukiambiwa ukweli kubali tu unachopaka kinabadilisha rangi za ngozi yako,ndo maana fans wako wanasema umejichubua,ushauri badilisha unachopaka

Tinah said...

Ray usipende kuwashushua watu wako inawezekana yeye alikuwa hajui kuwa chu hizo mbili zimetenganishwa kwa sasa na alikuwa ana idea ya zamani kuwa hongkong ni mji tu kama ilivyo china na ndio maana akataka kukuelimisha lakini ulichotakiwa kufanya ni kumuelimisha tu na sio kumuambia anajifanya mjuaji koz wengi walikuwa wanajua hivyo kama anavyojua huyo mdau wako...binadamu tupo tofauti so usimuattack....SINA MENGI PIA ZAIDI YA KUSEMA ALL THE BEST!

Anonymous said...

Visa ya Hong kong kwa Tanzania inapatikana wapi?

Anonymous said...

Kaka nisamehe usinipende kushushua watu ovyo, nilikwambia vile sababu mimi nina diplomatic passport situmii visa kuingia china wala hong kong. Enjoy

Anony said...

Ray umenenepa mpaka macho yanapotea...Duh Gym is calling you and control food,Hongera sana kwa kazi nzuri

Anonymous said...

unajichubua wewe wacha kubisha lol, rangi ya kujichubua kabisa unakataa hahahahhahahahha kwa hiyo ndo una helazikakufanya utakate hivyo? hjahahahahha wewe acha kufanya watu wajinga, unapiga mkorogo, ukiniambia unapiga mkorogo wa laki mbili nitakuelewa, maana kuna mikorogo hadi ya laki tano hahahahahahhahaha wacha mkorogo, uone utakavyotisha, au unaiga wakongo hahhahahah lol

Anonymous said...

JAMANI MUACHENI RAY MNA NINI WATANZANIA?????, MNAJUA MAAANA YA KUJICHUBUA NYIE????, MSANII LAZIMA ATAKATE, AKIFUBAA MANENO AKINAWIRI MANENO, JAMANI MNATAKA RAY AFANYEJE?? MPENI BASI HIZO LOSHENI MNAZOPAKA NYIE ZA BUKU MBILIMBILI ALAAAAH,MNACHOSHA JAMANI, KAKA WA WATU ANAJITAHIDI KUTOA FILAMU TAMU MFURAHIE MAISHA HAMNA HATA SHUKURANI KAZI KUMSINGIZIA OOO UMEJICHUBUA MLIMNUNULIE NYIE MNANIBOA, NYIE WENYEWE MNATAMANI KUA KAMA YEYE SEMA HAMNA BABY FACE KAMA KAKA WA WATU, LEAVE HIM ALONE BWANA AAAAAAAHHH , NITAWAANDIKIA KICHINA NA KIJERUMANI ILI MUELEWE KAMA HAMJUI KISWAHILI GHHHEIH ADHHEHII ASWEHISD ALONEIEE RAYHANDSOME BOYLEAVE HIM ALONEEY

Anonymous said...

Ray usijali maneno wanayosema watu, unafanya kazi nzuri sana, mimi binafsi natamani sana ungekua mume wangu, wewe ni msanii nakushauri usioe msanii mwenzako, tafuta binti anayejua maisha anayejiheshimu na mwenye kazi ya maana pia msomi kiasi, ningekua najua jinsi ya kukutana na wewe najua lazima ungenipenda tu na tungefanya familia ya kuheshimika, angalia kina Ramsey wa Nigeria na wengine hawajaoa wasanii wenzao ila wameona wanawake ambao hawako kwenye usanii kabisa. waache waseme unajichubuaaaa weee hadi wachoke, mimi napenda jinsi ulivyo, unafaaa kua baba wa familia tena familia ya kuheshimika, mimi na wewe tutakua mfano mzuri wa kuigwa hapa Tanzania, tafuta pesa na mimi natafuta pesa tutaziunganisha pamoja tutakua na maisha mazuri sana kila mtu atatutamani. waache waseme usijali mimi nakupenda sawa babe wangu

Anonymous said...

KUSEMA UKWELIRAY WEWE NI HANDSOME, UNAFAA KILA IDARA, UKICHEZA KAMA KAKA WA HESHIMA UNAKUJA, UKICHEZA KAMA BITOZI UNAKUJA POA, UKICHEZA KAMA BABA WA FAMILIA YA KIFAHARI UNAKUJAA, UKWELI WEWE NI HB HAO WANAOKUPONDA SIJUI UNAJICHUBUA NI HAOHAO WASANII WENZAKO WANAFIKI LAKINI NAKUAPIOA HAWAWEZI KUKUFIKIA KAMWE, MIMI UKWELI LIPS ZAKO NATAMANI KUZIPIGA KISS, ZINAONEKANA NI TAMU, NINGEWEZA KUKUKISS HATA MARA MOJA TU MOYO WANGU UNGESUUZIKA, HAPA NIKO JOB NACHECK PICHA ZAKO NAKUTAMANI SANA, INGAWA MIMI NI MWANAMKE MREMBO NINA KAZI NZURI SANA NA NINA ELIMU YA KUTOSHA NA NIMEONANA NA WATU WENGI SANA WENYE PESA ZAO ILA WEWE UNANIVUTIA KWA KILA KITU NAJIKUTA NATAMANI KUWA WAKO WA MILELE, samahani kwa swali hivi huyo dada aliye coment kwenye picha ya gari yako ni kweli ni mke wako mtarajiwa?? anaonekana anakupenda sana sio, dah una raha sana

Anonymous said...

hellow ray, namuunga mkono dada wa juu aliyesema wanaokuponda ni wasanii wenzako, unawapa kazi wanafaya alafu wakigeuza migongo wanakusema, kama wangepewa nafasi ya kukudidimiza wangekuzamisha kabisa, tanzania ndivyo ilivyo ukitenda wema unalipwa ubaya ushauri wangu wewe wape kazi wafanye lakini usiruhusu wakujue kila kitu binadamu sio wema, msalimie sana johari anatisha kwa kucheza filamu baba na mama wote mnakimbiza

Anonymous said...

NAMUUNGA MKONO ALOPITA, NDIO RAY USIOE MSANII KABISA, WEWE UNATAKIWA UOE MWANAMKE MWENYE ELIMU KIASI KAMA ALIVYOSEMA HUYO HAPO JUU ANAYEFANYA KAZI OFISINI ANAYEJUA NINI MAANA YA KUJIHESHIMU,ANAYEJUA NINI MAANA YA KUOLEWA,ANAYEJUA NINI MAANA YA FAMILIA ANAYEJUA NINI MAANA YA SHIDA NA RAHA UKICHEZA TU UKAOA MSANII NAKUHAKIKISHIA NDOA YAKO HAITADUMU,HUNIJUI ILA MIMI NI KAMA DADA YAKO NAPENDA NIKUONE UNA FURAHA KILA SIKU, KWA UFUPI USIOE MSANII, LABDA ROSE NDAUKA NDIO ANAFAA, SIKUCHAGULII ILA NAKUSHAURI TU KAMA DADA YAKO

Anonymous said...

ray ni muda mzuri wa kufuata ushauri wa fans wako nadhani Mungu ameamua kukupatia watu wa kukushauri kupitia hii blog yako nawaunga miguu na mikono hao waliopita kweli kabisa ndugu yetu usijaribu kuoa msanii, fuata nyayo za JB jembeee, hebu angalia ndoa za wasanii waliooana wengi hawajadumu ingawa kuna ambao watadumu kwa kua wanajiheshimu sana na wako serious na life kama Tea,Ray unatakiwa uoe sasa kulingana na umri wako ila oa mfanyakazi wa ofisini na sio msanii ni ushauri wangu tu samahani kama nimekukwaza

Anonymous said...

He kunja naye alikwenda thailand poa kaka au ulikuwa mkalimani hahahahaha

Reginald said...

WABONGOOOOOOOO ACHENI WIVU JAMANI....TATIZO LA MSKINI WA KITANZANIA NDIO HILI....BADALA AWAZE ATAKULA NINI, ATAVAAJE....ATALALAJE YEYE ANAKUJA KUMPIGA MABANGO KAKA WA WATU VINCENT KIGOSI.....TUMIENI AKILI HUYO SASA HIVI ALIKO NI SAWA NA WEWE KUCHUKUA JIWE KUPONDA ANGANI.......USE UR BRAIN NA MUACHE JELOUSY HAISAIDIII