Saturday, January 21, 2012WADAU WANGU WA BLOGU HII NAWAOMBA RADHI KWA KUWA KIMYA. 
NIKO SAFARINI HONG KONG, CHINA NA BANGKOK KIKAZI.
KUNA MAJAMBOZI MENGI
NITAWARUSHIA SI MUDA MREFU.
ENDELEA KUTEMBELEA BLOG HII


NAKUSHUKURU SANA

5 comments:

Anonymous said...

Nenda Hollywood kama kanumba kama we kweli kidume,hong kong kila mtu anaenda vitu vya bei chee.

raythegreatest2006 said...

nimeyapata maoni yenu wadau kuna mdau mmoja kasema kuwa nashindwa kuweka picha za mzee Kipara nadhani mimi kifo cha mzee kipara kimenigusa sana ila sikuwepo jamani nchini na ndio maana sijaweka ila mnafikiri ningekuwepo nisingefanya hivyo?sawa lakini nakushukuru mdau uliyosema hivyo maana nawe pia una uhuru wa kufanya hivyo

Anonymous said...

kaka ray jitahidi kuandika kiswahili fasaha, hapo juu uliposema NADHANI mimi kifo cha mzee kipara kimenigusa... ina maana huna uhakika na unachokisema
hilo neno pia munapenda kulitumia sana ktk filam zenu mfano mtu anasema NADHANI nikushukuru tu ina maana huna uhakika na shukurani unazotoa

Anonymous said...

Utafute na software za effect image... kwenda hollywood hakuna jipya wewe... tafuta vifaa huko huko hong kong....watundu wako huko huko,,sio hollywood......

Anonymous said...

ILA MIMI NAKUPA HONGERA RAY HATA KANUMBA HUWA HAMNA LUGHA ZA HASIRA NAKUTUKANA MAFANS WENU KWENYE KUJIBU MSG MNANIFURAHISHA SAANA KWA HILO MKO WASTARABU FULANI INALETA HESHIMA WAKATI MWINGINE.SIO WAKINA DADA WENGINE WENYE MABLOG HUWA WANAJIBIZANA NA FANS WAO KAMA WANASUTANA NAKUTUKANANA.SASA UKIFANYA HIVYO UTAGOMBANA NA WANGAPI AU UTAKASIRIKA MPAKA LINI,HAILET SENS.BG UP RAY.WADAU MUELEWENI RAY HAYUPO NCHINI MANA MIJITU MINGINE KUELEWA NIKAZI KWELI MIBICHWA MAJI TUU.WASIKUMIZE KICHWA RAY.MUNGU AKUONGOZE HUKO ULIKO URUDI SALAMA,MDADA SWEDEN.