Saturday, January 21, 2012

MY NEW MOVIE IS COMING SOON
....I HATE MY BIRTHDAY.....
TRAILERVCD/DVD COVER

Kama kawaida ya kampuni yako ya ukweli RJ company wanakuletea mzigo mwingine wa kukatana na shoka , Wadau mzigo huu umetengenezwa kabla ya kusafiri  ni si ya kuikosa wapo mastaa kibao wa Bongo Movie inatoka mwisho wa mwezi huu

Ray (right) with friends discusing

Mambo yakipamba moto

Ray (right) and Aunt Ezekiel (left) before action

Aunt Ezekiel

Watu nao kwa kupiga simu wakati wa shooting mmmmmm

Nikipambana na Aunt

Crew participating to the maximum. 

Vijana kazini

Kama kawaida nikiwa na kijana wangu Msungu

Peace for Everyone

Ray The Greatest receiving messages

Dada wa make up akifanya kazi

Jack Pentezel au mwenyewe upenda kujiita Jack sex


Kama kawaida mapambano yakiendelea

4 comments:

Anonymous said...

movie inaonekana kuwa nzuri lakini hiyo make up unayopakwa haiendani na rANGI YAKO jaribuni kutafuta za rangi zenu mana hiyo ni more light than ur skin color duh!! na hiyo simu zima ukiwa kazini.

Anonymous said...

mziko unaonekana kuwa babu kumbwa mtu wangu na cc mashabiki wako tunasubiri kwa hamu kubwa.mdao kutoka sweden

Anonymous said...

Kaka naomba ufafanuzi, mbona watu walisema umegombana na Aunt Ezekiel na hapo namwona kwenye cover lako?

Anonymous said...

KAKA MIMI NI MDAU WAKO SANA, NAPENDA SANA MOVIE ZAKO, NAKUSHAURI SANA PENDA KUCHEZA MOVIE NA AUNT EZEKIEL, NI MZURI KI UKWELI, ANAJUA KUVAA ANA NATURAL COLOUR ANAJUA KUACT, HAPRETEND YANI AUNT AKICHEZA MUVIE LAZIMA HIYO MOVIE IWE BOMBA NA LAZIMA IUZEEE BALAAAA, AUNT ANAJUA KUACT KUSEMA UKWELI, SASA TUNAOMBA UTUCHANGANYIE AUNT EZEKIEL, IRENE UWOYA, LULU, NA IWE MOVIE YA KITAJIRI, DAAA ITAKUA BALAAAA, ITAUZA MBAYAAAAA