Saturday, January 21, 2012

NEW  MOVIE
A WRONG SHORTUCT

TRAILER

VDC/DVD COVER
 
Wadau wa filamu za RJ company tuna stock ya kutosha huu ni mzigo mwingine amabao nao tuliutengeneza kabla ya safari yangu, Kama mnakumbuka wadau wa tasnia hii niliwaambia kuwa katika mzigo huu sitokuwepo nimewaachia vijana wafanye kazi nami nikiwa nyuma yao kama Director

Wakisikiliza maelekezo

Kitu poda..

Hemed (kulia)  na Kajala Masanja pamoja na camera man wangu Farid Uwezo

Picha ya pamoja

Hemed akipata maelekezo kabla ya mtanange kuanza

Kazi Ipooooooo....Choka mbaya

On Set

Kajala Masanja pamoja na Jack Pentezel

Johari (kushoto) na Ray wakijaribu kukalili Script kabla ya kazi kuanza

Mambo yakiendelea

Kazi imeanza

Dada Zabibu huyu ni msanii wa zamani sana nilikuwanae kwenye kundi la Kaole naye yupo ndani ya mzugo huu

Mkongwe mzee Chilo naye yuko ndani ya nyumba

Hemed akiwa na Johari-----Peace

Kama kawaida watu wakiwa bize na kazi

Joto limezidi

Johari na mwanya huo jamani

Kwa karibu bibie akiwa katika pozi

Hapo mnasemaje?

Hatari sana watu wako makini na kazi

Poooooooooozi

Mapouuuuuuuuuuuda

Blandina Chagula

Hapo je?

Ofisini kabla ya kazi kuanza sijui dada anawaza nini?

Hemed mzee wa watotooooozi

Kajala Masanja

Jack Pentezel2 comments:

Anonymous said...

RAY NIMEPENDA SAANA MOVIE HII INAONEKANA ITAKUWA BOMBA SAANA.ALAFU KITU KINGINE NAOMBA KULIZA NAPIA NAOMBA UNIJIBU RAY J.TUMESHAKIA FUNUNU MUDA MREFU SAANA KUWA UNATOKA NA JOHARI JE NIKWELI AU UTAKI KUWEKA WAZI MANA NAE ALIULIZWA AKAJIKANYAGA ILA INAONEKANA NIKWELI,NAHATA UNAVYOMSIFIAGA KWA PICHA ZAKE INAONEKANA SOMETHING GOING ON.ANYWAY SIKUYASIKU TUTAPATA JIBU.

Anonymous said...

jamani nampenda sana wajina huyo Johari she z da best actress amna atakae mfunika ata wafanyeje