Sunday, January 29, 2012

POLE BLANDINA CHAGULA

 Msanii nguli wa filamu Tanzania Blandina Chagula (JOHARI) aliponea chupuchupu kifo katika tundu la sindano baada ya kupata ajali mbaya iliotokea maeneo ya ubungo mataa akielekea ofisini kwake,Lakini yeye anasema gari sikitu kwa kuwa ametoka salama katika ajali hiyo anamshukuru sana Mungu sifa na utukufu zirudi kwake hayo yalikuwa maneno ya Dada Johari, kama unayoiona gari ya mwanadada huyo ilivyoharibika vibaya

 Cheki wewe mwenyewe ni hatari sana

 Kwa karibu sana

wadau hiyo ndio hali halisi 

Mwanadada mwenyewe ndiyo huyu, Dada mashabiki wako wengi wanakupa pole na wamekusii sana uwe makini unapokuwa unaendesha gari bado wanakuhitaji sana katika gurudumu la tasnia ya filamu Tanzania...

8 comments:

Anonymous said...

pole sana johari.. ALLAH akuepushe hilo na jengine amiin

Anonymous said...

pole sana Johari! shukuru Mungu ilitoka salama

Anonymous said...

Pole sana, nawashauri wasanii wote msipende mkato wa kufundishana udereva wenyewe kwa wenyewe kujua alama na sheria za barabarani ni muhimu kwa kila mtu.

Anonymous said...

Pole sana, nawashauri wasanii wote msipende mkato wa kufundishana udereva wenyewe kwa wenyewe kujua alama na sheria za barabarani ni muhimu kwa kila mtu.

Anonymous said...

Pole sana Dada,kama nina kumbukumbu hii ni mara ya pili unapata ajali ya gari,kwa sisi wa Imani ya kikristo tunasema rishetani ninakuandama likumalize kupitia ajali,cha msingi inabidi uende kwenye kanisa la kiroho uombewe ili spirit of accident ikutoke,lakini nakutakia kila la heri na Mungu akuepushe.

Anonymous said...

chapombe nini maana nakumbuka kama sio ajali ya pili hii kupata? awe na mwendo mzuri awapo barabarani

Anonymous said...

pole mama R&Johari hope utakuwa makini siku nyingine

Anonymous said...

huu urembo utawapeleka wabongo wengi pabaya sana mcheki huyu mdada hapa katoka full mchina uhalisi umeondoka zaidi ya hayo pole kwa yaliyo kupata