Saturday, March 24, 2012

SOBBING SOUND

 Mzigo mpya toka kampuni ya RJ company kwa jina la movie ni SOBBING SOUND.ni mapinduzi makubwa sana yamefanyika ndani ya mzigo huo sina mengi sana ya kuongea tusubiri na tuone mambo makubwa toka kwenye kampuni yako ya uhakika RJ COMPANY

 Mzingo ukiendelea kupikwa kwa makini sana hapa The Greatest na Uwoya on set

 Hapa tukipitia script kabla ya kazi kuanza

 Wadau wa RJ company wakifuatilia jambo

 Vijana kazini

 Mambo yakiendelea

 Hospital

 Ofisini mzigo ukiendelea kupigwa

 Kijijini radha toauti

 The Greatest na wasanii wake wapya

Air Port mambo yakiwa yanazidi kuendelea wadau huu mzigo si wakuukosa

11 comments:

Anonymous said...

hi, big up kwa kuchapakazi Ray or naweza kusema RJ Company nimefuatilia sana movie zako pamoja na Comment za Wadau au Fans wako binafsi mimi ni shabiki wako namba moja, na nikija Tanzania mwezi 5 nitakufikia ulipo ili nikupe msaada wa kusambaza kazi zako huku Miami, Kuna Comment zinasema umtafute Batuli binafsi yangu natamani kuona mabadiliko haya kiukweli yule dada yupo juu wenzangu waliotuma Comment kwako walinikumbusha mbali nikaingia Youtube kuikumbushia movie yake. Mungu awatangulie RJ muwe wenye mafanikio tele my I'd is aunt_rech20@gmail.com your welcome hi kwa Johari and Batuli.

Anonymous said...

Duh huyo Irene Uwoya kawa tipwa tipwa hivyoooooooooo au ni picha?

Anonymous said...

oooooppppssssiiiii.....oviously upo juu bro. kip it up wsh day ifke na mm nishut nwe.

Anonymous said...

wewe Ray unaroho mbaya sanaaaaaa lol.kufanya njama na kumuuwa mwenzio ndo nini?unafikiri ndo utapata zaidii?roho mbaya haijengii sasa subiria kufia jela mesej zako zote ulizokuwa unatumiana na lulu ziko polisi sasa subiria kufungwa habari ndo hiyoo mpango wako mzima tunao,hata haya huna watu wote wanajua kama wewe ndo muuaji mkuu..

Anonymous said...

katka hali gan unakwenda umevaa heren msiban mbona wasanii wenzio wakna jb,cloud,Dr chan mbona hawajava heren? Au umeshakuwa brazamen km vp anza kuimba nyimbo za wabanapua.Nhayo 2 broo

Anonymous said...

Irene umenenepa! wanawake wengi wakishapata mtoto/watoto unaongezeka, fanya hima upungue! nguo zingine hazipendezi kwenye hilo umbo! napenda umbile lako ila sasa limezidi, kitu chochote ni kwa kiasi! nakutakia mema kwenye zoezi hilo!

Anonymous said...

wewe unaesema kuwa ray ndiyo muuaji mkuu kama ww kweli nikidume au kijike mbona hukuweka full add ili ukatoe ushahidi mahakamani,kaza moyo ray,big up

Anonymous said...

wewe unaemwita ray muuaji ni mpumbavu huna akiri hata kidogo unalaana ya wazazi.katubu kanisani harafu nenda milembe.nawapenda ray na kanumba na sasa ray simamia vizuri kampuni ya kanumba shirikia na seth bosco.tumshukuru mungu hata na wewe ukifa utasema nana kakaua acha ujinga na ushabiki wa kijinga.

Anonymous said...

ray achana na huyo kichaa hii kanda itakuwa bomba

Anonymous said...

wewe kichaa nenda milembe.ray na kanumba wanapendana na hata siku ya mwisho wakikutana wataendelea kupendana.usimpe bro ray presha.muache asimamie majukumu aliyopewa na mama wa marehemu.kuna kampuni kuna familia ya marehemu mama yao frola ukirudia tena nitakuchukuria hatua.

Anonymous said...

wewe kichaa acha ujinga.ray anamajukumu makubwa sana familia ya kanumba inamtegemea yeye.acha ujinga.